Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Ndugu na marafiki ni wanafiki tu siku ukifanikiwa ndio utaelewa au ukiwa umewazidi kimafanikio utaona jinsi walivyo kihalisi. Watajifanya kukupongeza kinafiki tu ila pembeni wanaumia sana.
Baba ni mpambanaji mwenzetu kila siku atakupa mawazo ya kukujenga. Na huwa anafurahi sana kuona watoto wake wana mafanikio kiuchumi, kielimu n.k kumzidi yeye
Na kadiri unavyokua kiumri na labda kuwa na majukumu ya kifamilia ndipo unazidi kumheshimu sana baba, ukifikiria jinsi alikuwa akipambana kuhakikisha mnakula, mnavaa, mnalala pazuri, mnasoma, mnatibiwa n.k
Hawa wamama huwa hata wanafanya maombi watoto wao wafanikiwe ni vile tu wamama wengi huwa hawawaambii watoto wao, wana uchungu sana na mafanikio ya watoto wao.
Ndugu wa familia (kaka na dada) hawa nao wakati fulani michosho inategemea sana na malezi na ukaribu wenu.
Mke ni tapeli yeye anapambania ugali wake na wa familia uumtunze yeye na watoto wenu. Alikubali umuoe kwa sababu aliona una kitu fulani na kuna uwezekano heshima ikashuka au kukuacha maisha yakibadilika kiuchumi.
Leo kuna watu wanalia kwa sababu wamefanikiwa kimaisha ila wazazi wao hawapo tena duniani huwa inawaumiza sana wanatamani angalau wazazi wao wangejionea matunda ya malezi yao na kuwasaidia kwa hali na mali.
The moral of the story: Kama wazazi wako wako hai wapende sana, wajali na uwatunze kadiri uwezavyo.