Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Tuishi humo mkuusure
Haha! Basi yonyesha tupo wachache sana tunaopenda watu wote wafanikiwe!, Binafsi sina shida na mafanikio ya mtu wewe niwe nakujua ama sikujui we fanikiwa tu kwanza inakuwa na faida zaidi kuliko sote tuwe hohehahe!.. Nyie acheni masihara umaskini ni mmbaya...😂
1. ShetaniMarafiki na ndugu wanatupiwa lawama sana utafikiri single mothers...
kweli lakin umewasahau ndugu wa baba na ndugu wa mama nao ukifanikiwa kuwazidi wanafurahi saaana.Hiyo ni kweli. Baba na Mama yako ndo wanapenda ufanikiwe kuwazidi. Sisi wengine tunapenda ufanikiwe ila usituzidi.
Kitu ambacho watu hawataki kuelewa ni kwamba marafiki/ndugu hawana wajibu juu ya maisha yako.1. Shetani
2. Polisi
3. Single mothers
4. CCM
5. Marafiki na ndugu
Marafiki na ndugu wanatupiwa lawama sana utafikiri single mothers...
secretarybird pamoja na kupenda kusakata mbususu lakini pia napenda nyuzi zenye afya kama hii ndiyo maana huwaita Monetary doctor Al-mukheef Poor Brain na Nomadix katika nyuzi za dazaini hii ili nao wajionee na wajifunze.Ndugu na marafiki ni wanafiki tu siku ukifanikiwa ndio utaelewa au ukiwa umewazidi kimafanikio utaona jinsi walivyo kihalisi. Watajifanya kukupongeza kinafiki tu ila pembeni wanaumia sana.
Baba ni mpambanaji mwenzetu kila siku atakupa mawazo ya kukujenga. Na huwa anafurahi sana kuona watoto wake wana mafanikio kiuchumi, kielimu n.k kumzidi yeye
Na kadiri unavyokua kiumri na labda kuwa na majukumu ya kifamilia ndipo unazidi kumheshimu sana baba, ukifikiria jinsi alikuwa akipambana kuhakikisha mnakula, mnavaa, mnalala pazuri, mnasoma, mnatibiwa n.k
Hawa wamama huwa hata wanafanya maombi watoto wao wafanikiwe ni vile tu wamama wengi huwa hawawaambii watoto wao, wana uchungu sana na mafanikio ya watoto wao.
Ndugu wa familia (kaka na dada) hawa nao wakati fulani michosho inategemea sana na malezi na ukaribu wenu.
Mke ni tapeli yeye anapambania ugali wake na wa familia uumtunze yeye na watoto wenu. Alikubali umuoe kwa sababu aliona una kitu fulani na kuna uwezekano heshima ikashuka au kukuacha maisha yakibadilika kiuchumi.
Leo kuna watu wanalia kwa sababu wamefanikiwa kimaisha ila wazazi wao hawapo tena duniani huwa inawaumiza sana wanatamani angalau wazazi wao wangejionea matunda ya malezi yao na kuwasaidia kwa hali na mali.
The moral of the story: Kama wazazi wako wako hai wapende sana, wajali na uwatunze kadiri uwezavyo.
Ucha utani wako aise!kweli lakin umewasahau ndugu wa baba na ndugu wa mama nao ukifanikiwa kuwazidi wanafurahi saaana.
Hilo limewahi kubadilika? Hapana.Kuna ngoma ya Ngwair inaitwa no beef alimshirikisha TID aliimba kwa hisia sana baada ya mwamba kufulia washikaji, ndugu na clouds fm kumtenga.
Kuna interview Ngwair alisema huo wimbo mtu atauelewa akipitia hali kama yake
Kuna baadhi ya vipande aliimba ndio utaelewa ndugu na marafki sio watuNi siku moja tu niliyolia siku baba aliponitoka
Nakuona kama kicheche wangu wa zamani siku aliniporukia hewani baada ya hii ngoma kuingia mtaani Ngwair mbona huonekani
Nimeamua kuwa peke yangu kuchapa cargo sasa hivi ndugu ni mwanangu na mama mzazi ndugu, machizi siku hizi wanasnitch
6.Machawa1. Shetani
2. Polisi
3. Single mothers
4. CCM
5. Marafiki na ndugu
Very correct mkuuNdugu na marafiki ni wanafiki tu siku ukifanikiwa ndio utaelewa au ukiwa umewazidi kimafanikio utaona jinsi walivyo kihalisi. Watajifanya kukupongeza kinafiki tu ila pembeni wanaumia sana.