Mtu pekee anayekutakia mema na uumzidi mafanikio ni baba na mama yako mzazi tu

Acha tu,unakuta ka-mama/ka-baba yako ni kachawi, yani kila ukikashirikisha michongo yako, inafeli utu..
 
Acha tu,unakuta ka-mama/ka-baba yako ni kachawi, yani kila ukikashirikisha michongo yako, inafeli utu..
Pole kwa unayopitia

Hiyo sio akili yake ni demons na devil wanamwendesha

Kiasili hakuna mzazi wa hivyo
​
 
Ndivyo mambo yalivyo, aliyekuwa na wewe wakati wa shida ndiye wa kuwa naye wakati wa Raha. Usijali watasema Nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…