Uchaguzi 2020 Mtu timamu hawezi kushangilia matokeo haya

Uongo huo endelea na stress zako tu. Faru John nje akifuatana na Sugu!!
 
Jaji Mugasha alaaniwe Kwa kutoa hukumu ya mwongozo wa dhuluma kuwa MaDED watatenda haki Kwa vile wamekula kiapo. Wanaopindua nchi si nao wanakula viapo?
Tulikuambia kuwa utakufa na stress na kama unaweza ingia barabarani au uende porini kama ulivyosema. Simba wanawasubiri.
 
Usiombee hilo na wala usitamani litokee jambo kama hilo hata wewe hutokaa kwa amani.
Tuliwaambia mwisho wenu wa kupiga kelele humu JF ni tarehe 27/10/2020. Asubuhi na mapema tumeanza na Faru John njeeee!!
 
Mtasema yote leo

Magufuli alishasema apelekewe wabunge wa CCM ambao anaweza kuwadhibi kwakuwa amepata wa kuwadhibiti watakuwa wanaongea anachokitaka yeye badala ya kuisimamia serikali na kutetea wananchi. Kwa serikali ya hivo kwenda bungeni kuishangilia ni bora bunge lisiwepo kabisa
 
Chadema ni waongo huku Kawe tumepiga kura vizuri tu. Kata ya Kawe Mdee tumeshamnyoosha.
 
Tunachotaka ni maendeleo siyo kupinga kila kitu. Chadema mmeshindwa hata na CUF wana Mbunge tayari Mtwara Vijijini
 
Tulimuonya lissu hakusikia. Hii kumtanguliza amsterdam na icc kwenye hii battle raia wengi watamchukulia kama wakala wa mkoloni so watapiga kura kwa hasira kuzikataa dalili za ukoloni anazokuja nazo lissu.
Hongereni watanzania kwa kumpa somo kibaraka wa beberu
 
Hapa kinachoendelea ni ile ile dhambi ya kuwabagua wapinzani itaendelea kuwatafuna maana kilichokuwa kinawaunganisha wajione wamoja ni upinzani wameshuondoa upinzani sasa watagundua kumbe na wao siyo wamoja Kuna CCM asili na CCM mpya ni jambo la wakati tu dhambi ya ubaguzi haijawahi kuliacha taifa salama.
 
Tumeshamnyoosha tayari na Beberu lake Amsterdam.
 
Hakuna wapinzani makini Tanzania bali ni Vibaraka na Wasaliti. Eti wanatuletea beberu Amsterdam ili kututisha sasa tumeshawanyoosha.
 
Mimi ni mpinzani, ila haya mengine tumeyataka wenyewe.
Ulipigwa vitani , unaingia tena vitani na adui yuleyule huku hujabadili jambo. CCM walishajiwekea mazingira haramu ya ushindi

Upinzani wamefanya vizuri sana maana wamemvua nguo mshindi sasa hivi hata wenyewe wanatafuta pakujinasulia ni aibu katika mfumo wa vyama vingi kufanya uchafuzi kama ule wa jana kila mtu anaona aibu ndiyo maana wamezima internet wanaona aibu hata kuirudisha maana nchi hii haitatawalika tena kwa yale yanayoendelea Zanzibar ya Kija na huku bara basi tena amani itakuwa historia
 

Kwa taarifa yako wenye akili timamu tulijua
 
Mbona hata Chadema walishanilia anguko la NCCR-MAGEUZI mwaka 2000? NCCR ilikuwaga ndo chama kikuu cha upinzani, kuanguka kwao ndo kuliipaisha Chadema.
 
Mbona hata Chadema walishanilia anguko la NCCR-MAGEUZI mwaka 2000? NCCR ilikuwaga ndo chama kikuu cha upinzani, kuanguka kwao ndo kuliipaisha Chadema.
Wewe unawaza anguko mimi ajadili matokeo ni vitu viwili tofauti, hata hivyo anguko la NCCR halikutokana na matokeo review your history.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…