Tony antony
JF-Expert Member
- Nov 17, 2013
- 4,988
- 3,268
Miaka yote polisi wanajiandaakuelekea uchaguzi, tena 2015 walinunua kabisa na magari ya maji ya washawasha. Hakuna kigeni chochote mwaka huu walicholalamikia ambacho hakijawahi kutokea huko nyuma, ni namna Upinzani ulivojipanga kudhibiti hizo mbinu maana zipo siku zote na kila siku wanazilalamikia, sio leo wala jana hayo malalamiko ndugu.nia yenu mnataka watu wafe amani itoke.
Tunajua tangu mwezi wa 8 mwaka huu polisi walikuwa wanafanya mazoezi ya ziada kwa ajili ya kuja kupiga watu kwenye uchaguzi huu.
Swali la msingi Kama hamtaki upinzani Tanzania uchaguzi mnafanya wa nini?
Hakuna baraka ridhaa ya watanzania hiyo Serikali itakuwa haramu na ya kishetaniMCHAƘATO WA ƘATIƁA NƊO ƁƳE ƁƳE. NA TUME HURU NƊIƳO ƁASI TENA. Watetezi wa wananchi wametolewa nje, wameɓaƙi watetezi wa serikali😫😫😫
Siyo ushindi ni uporaji madaraka CCM wamebaka sanduku la kuraNdio imeshakuwa tiyari ushangilie usishangilie ushindi kwa CCM , nadhani muda wa matusi umeisha sasa
sent from HUAWEI
Mimi ni mtanzania, na nimeipa baraka zote hiyo serikali. Sasa sijui unazungumzia watanzania wapi hao?Hakuna baraka ridhaa ya watanzania hiyo Serikali itakuwa haramu na ya kishetani
Mmeanza uongo baada ya kushindwa?Kituo chenye wapiga kura 125,239 (registered voters) msimamizi anatangaza wamepiga kura 437,980, hata wizi hauko hivyo.
Uchaguzi ambao karibu nusu ya wagombea ubunge nchi nzima aidha wamekamatwa, wanashikiliwa na polisi au kujeruhiwa kwa silaha, utashangiliaje matokeo haya.
Matokeo ya uchaguzi ambao karatasi za kura feki zimezagaa mitaani nchi nzima.
Uchaguzi ambao wakati wa kuhesabu kura polisi wanaingia vituoni wanawatoa mawakala wote wa vyama vingine anabaki wakala wa CCM na msimamizi wa kituo wakihesabu peke yao.
Uchaguzi ambao OCD anaingia kituo cha kupigia kura anakwapua ballot box na kuondoka nalo.
Hata mwana CCM mwenye akili timamu hawezi kushangilia matokeo ya uchaguzi kama huu unaokwenda kuligawa taifa.
Tutamlilia mungu kimya kimya mpaka mashetani yenu yawanyonge wenyewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kwani sasa si mko road mnakinukisha au?
Nazungumzia watanzania wenye Akili timamu siyo mazezeta wasiojitambuaMimi ni mtanzania, na nimeipa baraka zote hiyo serikali. Sasa sijui unazungumzia watanzania wapi hao?
Tulia unyolewe,mlishabikia wala ruzuku na michango mlitegemea nini?Tutamlilia mungu kimya kimya mpaka mashetani yenu yawanyonge wenyewe
Hakuna vyama vingi kuna ujinga mtupu sasa CCM inaenda kuwa Serikali haramu ya kishetaniKuna Mambo mengine unatakiwa kujiongeza mwenyewe.
Kuna faida gani ya kusema Tanzania ni ya VYAMA vingi?.
si Bora vyama vyote vifutwe ibaki ccm tujue MOJA hakuna uchaguzi.
Si mlikuwa mnasema kabla ya misa ya kwanza kuisha mtakuwa mshatangaza ushindi nyie?huu uchaguzi ulikuwa wa kimagumashi tu,haikuwa rahisi kukifungashia virago chama tawala ingekuwa aibu sana,ni safari ndefu kuking'oa madarakani
Wananchi wana imani na Ccm. Wapinzani watabaki na ofisi zao za vyama wakinywa kahawa.Kuna Mambo mengine unatakiwa kujiongeza mwenyewe.
Kuna faida gani ya kusema Tanzania ni ya VYAMA vingi?.
si Bora vyama vyote vifutwe ibaki ccm tujue MOJA hakuna uchaguzi.
Ruzuku ya CCM inaliwa kwa kazi haramu za kishetaniTulia unyolewe,mlishabikia wala ruzuku na michango mlitegemea nini?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu vipi uko road za sehemu gani muda huu katika harakati za kumng'oa mkoloni mweusi?Achana na mtu kama huyo anayefikiri kutumia makalio. JF ingekuwa tunajiunga kwa kiingilio pengine ingetu punguzia wajinga
Wewe unavyojiona uko timamu kweli?Nazungumzia watanzania wenye Akili timamu siyo mazezeta wasiojitambua
Sasa hawa wabunge waliokuwa wanatoka bungeni wa nini?Hakuna vyama vingi kuna ujinga mtupu sasa CCM inaenda kuwa Serikali haramu ya kishetani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Lisu siyo Lowasa ama siyo bwana?Mnatamani sana tusiseme kwani hayapendezi is tunasema tu.
Wananchi wa wapi unawasemea? au wananchi wa hapo unapovuta Bangi?Wananchi wana imani na Ccm. Wapinzani watabaki na ofisi zao za vyama wakinywa kahawa.
Hakuna bunge tena kuna ushetani unaenda kula posho DodomaSasa hawa wabunge waliokuwa wanatoka bungeni wa nini?