Vandetta
JF-Expert Member
- Dec 5, 2013
- 1,572
- 1,951
Ushahidi uletewe hapo gheto unaposhinda ukivuta Bangi?
Lete ushahidi mkuu tukuamini, maneno matupu ni porojo. Bangi inakuja vipi boss mkubwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushahidi uletewe hapo gheto unaposhinda ukivuta Bangi?
Wananchi wameshaamua,shida ni hayo makundi mengineKiufupi ili CCM ionfoke madarakani inatakiwa.
[emoji117]CCM IPASUKE VIPANDE VIPANDE
[emoji117]System iamue hapa TISS,JWTZ na TANPOL
[emoji117]WANANCHI TUAMUE
kinyume na hapo haitawezekana eti Lema,Lissu na wengine kubadili chochote hasa kwa katiba tulionayo na system ya nchi ilivyo.
Nenda, tena usirudi kabisaMoyo wangu unasema pambana hadi kieleweke, akili yangu inasema waachie washenzi wanaotaka hili litokee niondoke nitarudi Tanzania after 5 years wakiwa wameishanyooka wajue kosa wanalolifanya. Nilikuja kupig kura tu kumrudisha matako chato, hakuna haja ya kuendelea kukaa hapa na vilaza kila kona.
Ni either tukatae uchaguzi au watu wote wajitoe waache bunge liwe 100% ccm peke yake ili watu wanyoshwe kwelikweli wajue umuhimu wa upinzani maana hadi sasa hivi wanaomtetea jiwe wanahisi upinzani kama vile wametumwa na wazungu, watanzania ni washenzi sijawahi ona
Afadhali wasingeitisha uchaguzi, maana sijui nani wanataka kumridhisha kuwa wamefanya uchaguzi wakati fujo na vitimbi kila mahali.
Kama ni hivyo majimbo ya ccm yangekuwa mbali sana,lakini ndio yanayoongoza kwa shida ya maji,L
leo mtazungumza lugha zote. Hivi mfano mtu wapinzani mnafanyaga muda wa kufanya kazi jimboni kweli wakati muda wote ninyi ni kupinga maendeleo. Mnawachelewesha wananchi jana wamewachinja poleni sana.
Tulia dawa iingie vizuri, acha kutapatapa. Manyumbu wa Mbowe ndio mpate akili sasa.Kituo chenye wapiga kura 125,239 (registered voters) msimamizi anatangaza wamepiga kura 437,980, hata wizi hauko hivyo.
Uchaguzi ambao karibu nusu ya wagombea ubunge nchi nzima aidha wamekamatwa, wanashikiliwa na polisi au kujeruhiwa kwa silaha, utashangiliaje matokeo haya.
Matokeo ya uchaguzi ambao karatasi za kura feki zimezagaa mitaani nchi nzima.
Uchaguzi ambao wakati wa kuhesabu kura polisi wanaingia vituoni wanawatoa mawakala wote wa vyama vingine anabaki wakala wa CCM na msimamizi wa kituo wakihesabu peke yao.
Uchaguzi ambao OCD anaingia kituo cha kupigia kura anakwapua ballot box na kuondoka nalo.
Hata mwana CCM mwenye akili timamu hawezi kushangilia matokeo ya uchaguzi kama huu unaokwenda kuligawa taifa.
Miaka yote polisi wanajiandaakuelekea uchaguzi, tena 2015 walinunua kabisa na magari ya maji ya washawasha. Hakuna kigeni chochote mwaka huu walicholalamikia ambacho hakijawahi kutokea huko nyuma, ni namna Upinzani ulivojipanga kudhibiti hizo mbinu maana zipo siku zote na kila siku wanazilalamikia, sio leo wala jana hayo malalamiko ndugu.
Wengi amewabeba yeye, hivyo sio rahisNatabili kutokea mpasuko mkubwa ndani ya CCM kutokana na dhuluma walioufanyia upinzani sasa wanaenda kutafunana wenyewe kwa wenyewe
Kituo chenye wapiga kura 125,239 (registered voters) msimamizi anatangaza wamepiga kura 437,980, hata wizi hauko hivyo.
Uchaguzi ambao karibu nusu ya wagombea ubunge nchi nzima aidha wamekamatwa, wanashikiliwa na polisi au kujeruhiwa kwa silaha, utashangiliaje matokeo haya.
Matokeo ya uchaguzi ambao karatasi za kura feki zimezagaa mitaani nchi nzima.
Uchaguzi ambao wakati wa kuhesabu kura polisi wanaingia vituoni wanawatoa mawakala wote wa vyama vingine anabaki wakala wa CCM na msimamizi wa kituo wakihesabu peke yao.
Uchaguzi ambao OCD anaingia kituo cha kupigia kura anakwapua ballot box na kuondoka nalo.
Uchaguzi ambao matokeo yanaonyesha wagombea wote wa ubunge toka CCM wameshinda.
Hata mwana CCM mwenye akili timamu hawezi kushangilia matokeo ya uchaguzi kama huu unaokwenda kuligawa taifa.
Mkuu Quinine, huu uchafuzi umekwishapita, tusubiri tu yatakayojiri kwa miaka mitano hii kama Mungu ataruhusu.Kituo chenye wapiga kura 125,239 (registered voters) msimamizi anatangaza wamepiga kura 437,980, hata wizi hauko hivyo.
Uchaguzi ambao karibu nusu ya wagombea ubunge nchi nzima aidha wamekamatwa, wanashikiliwa na polisi au kujeruhiwa kwa silaha, utashangiliaje matokeo haya.
Matokeo ya uchaguzi ambao karatasi za kura feki zimezagaa mitaani nchi nzima.
Uchaguzi ambao wakati wa kuhesabu kura polisi wanaingia vituoni wanawatoa mawakala wote wa vyama vingine anabaki wakala wa CCM na msimamizi wa kituo wakihesabu peke yao.
Uchaguzi ambao OCD anaingia kituo cha kupigia kura anakwapua ballot box na kuondoka nalo.
Hata mwana CCM mwenye akili timamu hawezi kushangilia matokeo ya uchaguzi kama huu unaokwenda kuligawa taifa.
Wananchi wana imani na Ccm. Wapinzani watabaki na ofisi zao za vyama wakinywa kahawa.
kwani si mlisema mtalinda kura na mmejipanga na kujiapiza kabisa kuwa safari hii hakuna wakuwaibia?? sasa haya malalamiko yanatoka wapi? CCM wamewazidi mbinu au wamekuja na mbinu mpya??si wanafanya mazoezi ili walinde masla ya ccm ambao ni WEZI WA KURA.
Hivi huu uchaguzi mtajisifu mmeshinda?
Kura feki zinaingizwa vipi? Idadi ya wapiga kura lazima iendane na matokeo.Kwa kuingiza kura feki tu.
Wananchi Wana Imani na nyie.
Mna NEC ,mna polisi,mna jeshi,mna ZEC .
lakini bado na kura feki mnatumia[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Ccm mmefanya uchaguzi wa aibu Sana.
Hamna Cha kujivunia mwaka huu labda mseme mnajivunia NEC na zec yenu.
Kura feki zinaingizwa vipi? Idadi ya wapiga kura lazima iendane na matokeo.