mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Waliolinda kura zao wameshauliwa na ccm huko Pemba.
Wengine wameshaogopa.
Watu 10 kuuliwa unafikiri ni mchezo?.
Wengine wameshaogopa.
Watu 10 kuuliwa unafikiri ni mchezo?.
kwani si mlisema mtalinda kura na mmejipanga na kujiapiza kabisa kuwa safari hii hakuna wakuwaibia?? sasa haya malalamiko yanatoka wapi? CCM wamewazidi mbinu au wamekuja na mbinu mpya??