Uchaguzi 2020 Mtu timamu hawezi kushangilia matokeo haya

Uchaguzi 2020 Mtu timamu hawezi kushangilia matokeo haya

Nimekwambia waliolinda kura zao wameshauliwa huko Zanzibar.
SISI WENGINE TUMEISHAINGIWA NA HOFU NA UOGA.
Mmeshinda nyie..
kwani nani ANALALAMIKA?.
sisi tunasema tu ule ukweli kuwa kwenye uchafuzi huu kuna kura feki zimekamatwa.
sasa akili kichwani kwako.
na mimi nakwambia hakuna kitu kipya ambacho mwaka huu mnalalamikia ambacho hakijawahi tokea, mlikuwa na mkakati gani??kama mnahofu hata ya kupigania haki yenu basi hamuwezi ongoza hii nchi.
 
Mleta mada si Rais wenu wa mtandaoni aliwambia kuwa atawaingiza barabarani, una lialia nini sasa?

Labda tu nikuulize baada ya Kamanda mkuu kutangazwa kuwa kashindwa mpaka Sasa hivi Makamanda wake mmeshaingia barabara ngapi?
😀😀😀😀 Wapi waingie wanaugulia maumivu,Chuga wamepigwa kwenye udiwani bado kidogo ubunge tuu
 
Kwa hyo mnafanya haya yote ili upinzani use mtawale milele?
Si mseme tu mnafuta vyama vya upinzani?
CCM wanataka kufuta vyama vingi Nchi isalie na chama kimoja tu ipitishwe katiba awe Rais wa milele kama China
 
Kwa hyo kuiba kura ndo mnaona mnapigania haki yenu ya kuongoza hii nchi?
na mimi nakwambia hakuna kitu kipya ambacho mwaka huu mnalalamikia ambacho hakijawahi tokea, mlikuwa na mkakati gani??kama mnahofu hata ya kupigania haki yenu basi hamuwezi ongoza hii nchi.
 
Mungu amewaacha watz wateseke tena, walichezea jana nafasi wasahau wawe wapole na waandae machozi kwa miaka 20 hivi.
 
Kama kuna mtu atasema huu ulikua uchaguzi ! Haihitaji kujua ukichaa wake uko hatua ipi
 
na mimi nakwambia hakuna kitu kipya ambacho mwaka huu mnalalamikia ambacho hakijawahi tokea, mlikuwa na mkakati gani??kama mnahofu hata ya kupigania haki yenu basi hamuwezi ongoza hii nchi.

Tatizo ni hao askari ambao wanaish maisha yakikolo vibaya mno na bado wanatetea, haya wamebaki CCM pekeyao bungeni tutaona mausenge yenu huko bungeni tutakuwa tunacheka tu, utakuta wanaoshangilia wengi ndugu zao vijijin hata viatu hawana ila sababu wao wapo mjini wanaona sawa tu, me huwa nawashangaa sana watu wana level za ubinafsi za hali ya juu
 
Back
Top Bottom