Mtu ukiwa na pesa, somesha mwanao international schools, achana na hizi exam based schools or education

Kila Mtanzania bila shaka angependa mtoto wake asome International School of Tanganyika (IST) lakini wangapi wanaweza karo zake?
Ndio sababu unaambiwa usiseme TWAFA, sema NAFA. Lakini si kuna Watabzabia wanasomesha watoto pale?
 
Wadanganye wajinga
 
Kila Mtanzania bila shaka angependa mtoto wake asome International School of Tanganyika (IST) lakini wangapi wanaweza karo zake?
Watoto wa Bakhresa karibia wote wamesoma IST lakini woote ni MATAGA yaani hata kuwapa uongozi ktk kampuni Mzee analazimisha tu sasa hapo sijui tatizo ni nini Mkuu au inategemea na I.Q ya mtu kama kichwa chako ni maji ni maji tu. hii imekuwa ikinisumbua akili saana. Chukulia mfano shule walizosoma watu wenye akili hapa nchini kama Nyerere,Tundu Lissu, Warioba arafu linganisha na hawa wa kizazi cha sasa wakina Lemutuz waliosoma International schools
 
Tatizo mtu mweusi yuko brainwashed na fikra kwamba hakuna anachoweza hadi asomeshwe na mzungu au asome shule za wazungu. Na hii ndo imefanya wazungu wametu-undermine karibu kila sekta ya maisha toka miaka mingi sana. Sasa wewe umekiri kwamba you among a few best students, lakini bado unajidharau kwamba bila kufundishwa reasoning na analysis na mzungu bado wewe si kitu!
 
Lisu angejadili la mtoto kusoma privite na kupewa mkopo anapoanza chuo kikuu
 
Mtoto wangu wa kiume alisoma hizo za kulipia A level akatoka amefeli.

Msichana alisoma shule za Nyerere tu A level akatoka na 1.7

Nipeni jawabu hapo.
 

Kuna mashoga kibao mtaani na hawajasoma IST, nioneshe James Delicisous mmoja aliaesoma international school yoyote kubwa
 
Hizo skills zote ni Learned kikubwa ni efforts tu na basic unazo katika ulimwengu huu ambao resources za kujifunza chochote na muda wowote zimejaa basi hata Uwe umepita wapi ukitaka kuwa vile unataka unakuwa unaweza kuji sharp vile unataka, Ila mwisho kabisa hizi shule ni nzuri sana kwa kweli
 
Kuna facts apa ila umeongea kishabiki sana mpaka umepotez mantiki ya bandiko lako ambalo lina ukweli sehemu na sehemu, Umewahi kumsikia The late Ambassador Mahiga kwenye viunga vya international affairs? He was truly Diplomat
 
ni kweli mkuu mfukoni wanakuwa wapo vizuri cha msingi wazazi wao wanaamini wakipata exposure ya kuwa karibu na watu wengine from Royal families basi hata kimawazo na kusaidiana watafaidika.....wanakuwa kama wanatengeneza team ya wenye uwezo kubebana nje ya elimu
 
Hivi inamaana hatuwezi kubadilisha mitaala ya hizi shule zetu ziwe kama za kimataifa. Najiuliza tu. Kwani hatuwezi au ni nini shida
Shida ni viongozi wetu wa kisiasa kwasababu suala la kubadili mitaala limeanza kupigiwa kelele siku nyingi lakini wanachikifanya ni kubadilisha topic za nyuma kwenda mbele na za mbele kwenda nyuma au kuongeza content za mambo yasiyo ya muhimu sana.
 
Ume-expose upumbavu wako wote hapa, yaani hicho kichwa unafugia nywele tu...
 
Kuna mashoga kibao mtaani na hawajasoma IST, nioneshe James Delicisous mmoja aliaesoma international school yoyote kubwa
Sasa hizo fikra si zinaibuliwa huko na wakubwa wa kwenye international community waliosoma international schools. Au unafikiri mimi kutoka kijiji cha nyambitilwa naweza kuibua hoja yoyote wazito wa dunia wakaielewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…