Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Hizo shule za special zina uspesho gani?Wazo zuri aisee ,wangeanza hata na shule zao zile special (mzumbe,kibaha,ilboru,Tabora b&g,kilakala na msalato)
VyemaHayo NI mawazo yako
Na mtoa mada nae ametoa mawazo yake
Raha ya kuishi hapa duniani NI kutofautiana kimawazo na ndio maana kunakuwa na maendeleo
Hatuwezi watu wore kuwa na mtazamo mmoja
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Hata ndalichako alipata hizo scholarship huko Canada lakini ni mtu wa thee thee nkMbona wengine tumesoma hizi hizi shule za sirikali, tena shule ya msingi kijijini kwa babu kuongea kilugha mwanzo mwisho lakini tumefanikiwa kupata scholorship kusoma Masters na PhD kwenye international universities ambazo zipo kwenye world ranking ya 10 bora, what happened?
Tatizo sio kuongea English, Je, Lugha ya Kiswahili tunajua vema kuiongea na kuiandika? Majibu tunayo, suluhisho sio kusomesha shule za kimataifa. Bali ni kufanya mabadiliko makubwa katika mfumo wetu wa elimu. Tuachane na lugha za kigeni, tujikite kwenye lugha yetu. Ila tuwe wakweli tu, waliosoma hizo international schools kwa hapa Tanzania, sio msaada kwa taifa. Maana hawajabadili lolote katika maendeleo yetu. Ila imekuwa ni ufahari kwenye familia zao, nimekutana nao chuoni, waliisoma namba, nimekutana nao kazini, wamenikera, kwa uvivu maana wanajijua walivyokuzwa.Acha ujinga wako! Usijilinganishe na Wachina ambao hawasomi ktk Kiingereza. Kama mchina haongei Kiingereza ni sawa kwa vile anasoma ktk Kichina. Mama yako anasoma katika kiingereza sekondari mpaka anapata PhD halafu hawezi kuongea Kiingereza unamtetea nini?
Elimu mbovu. Acha kutetea ujinga wako na kujifariji. Kiingereza ni lugha kwa Mwiingereza ambaye anaweza kuongea bila kwenda shule. Mama yako huko Usukumani anaweza kuongea Kiingereza bila kwenda shule? Bichwa limetuna kwenye utosi kama Jiwe na mdomo umeanzia kwenye sikio na kuishia kwenye sikio lingine kama mkurugenzi wa NEC.
Umeenda mbali sana, huo ni udhalilishaji. Huu ni ushahidi kuwa elimu ulinayo haijawa msaada kwako katika uchambuzi wa mambo haya. Huyu Prof. kaingiaje hapa, vipi tukiwaleta waliozaliwa na kukulia England, ila wanababaika kuongea lugha ya malkia, vipi tukiwaleta waliozaliwa Tanzania na kukulia Tanzania, na bado wanababaika kuzungumza Kiswahili. Je, wote hawa hawajui, jibu ni hapana. WANAJUA. Ila sio waongeaji. Mfano huyo uliyemshambulia, hata kuongea Kiswahili anaongea hivyo hivyo, naomba tujiheshimu na pia tuheshimu watu. Hivyo tufanye mnakasha bila kutaja majina ya watu, huo ndiyo ukomavuHata ndalichako alipata hizo scholarship huko Canada lakini ni mtu wa thee thee nk
Hongera, maana umekuwa mzalendo. Jamii yetu imezungukwa na watu (wakulima, wafugaji, wavuvi) wanaoishi katika umasikini mkubwa. Je hizi elimu za IST zimewasaidia hawa watu wetu kuondoka kwenye umasikini? Kujieleza na confidence ni vitu vizuri sana, lakini elimu bora inatakiwa ijikite kwenye kuleta maendeleo ya watu katika jamii yetu na siyo mtu mmoja tu binafsi.Sasa bila mtihani tutajuaje kama ameelewa?
Shule za internationali ni ujinga mwingine tu wa kuendelea kuamini hao wenye mitaala yao.
Binafsi natamani kuona watoto wafundishwe vitu vilivyo katika mazingira yetu,na vitu ambavyo vinaendesha ulimwengu.
Mf watoto wajifunze
Kilimo kwa vitendo
Uvuvi
Ufugaji
Stadi za kazi
Tehama nk
Hivi viwe kwa vitendo zaidi na sio kukalilishana.
Shule zitengwe kama ilivyokuwa awali,yani shule za
Kilimo
Biashara
Tech nk.
Mtoto ajifunze kitu kimoja tangu kidato cha kwanza,sio anzie kidato cha tano kama tufanyavyo.hii itawafanya wabobee kwenye fani husika tangu awali,hili litawafanya wawe wabunifu zaidi,
Mambo ya shule za kimataifa nao ni aina ta ujinga
Ila watoto wanaosoma shule hizi hawajui kulima, kupika wala kuosha vyombo...Mtu ukiwa na hela ya kueleweka ama kama unataka kuwekeza kweli kwa watoto wako, wasomeshe international schools au shule zenye mitaala ya kimataifa.
Hizi shule zenye mitaala ya kimataifa zinawajenga watoto kwenye analytical skills, reasoning, logic, creativity, competence na mambo kama hayo.
Ukikutana na mtoto wa darasa la 6 wa hizi shule, reasoning yake ama analytical skills zake ni sawa na kijana wa form six wa necta schools.
Shule hizi hazilengi kuona mtoto anapata nini au maksi gani darasani bali kuibua talents nyingine alizonazo mtoto sio hizi za necta ambazo zimejikita kwenye ufaulu tu wa mwanafunzi.
Ukitaka kuwekeza kwenye elimu ya kweli kwa mwanao na kama uwezo upo peleka mwanao shule zenye mitaala ya kimataifa.
Hao watu wainternational siyo msaada kwa taifa letu kabisa. Ni msaada kwao wenyewe na familia zao.Tatizo sio kuongea English, Je, Lugha ya Kiswahili tunajua vema kuiongea na kuiandika? Majibu tunayo, suluhisho sio kusomesha shule za kimataifa. Bali ni kufanya mabadiliko makubwa katika mfumo wetu wa elimu. Tuachane na lugha za kigeni, tujikite kwenye lugha yetu. Ila tuwe wakweli tu, waliosoma hizo international schools kwa hapa Tanzania, sio msaada kwa taifa. Maana hawajabadili lolote katika maendeleo yetu. Ila imekuwa ni ufahari kwenye familia zao, nimekutana nao chuoni, waliisoma namba, nimekutana nao kazini, wamenikera, kwa uvivu maana wanajijua walivyokuzwa.
Hakuna Cha udhalilishaji ndugu,huu ni mfano hai,yaani unawaambia askari eti "take him inside celo" haaaa hao ndio wasomi wenye PhD za kibongo na wengine ni marais wa taasisi kadhaa,noma sanaUmeenda mbali sana, huo ni udhalilishaji. Huu ni ushahidi kuwa elimu ulinayo haijawa msaada kwako katika uchambuzi wa mambo haya. Huyu Prof. kaingiaje hapa, vipi tukiwaleta waliozaliwa na kukulia England, ila wanababaika kuongea lugha ya malkia, vipi tukiwaleta waliozaliwa Tanzania na kukulia Tanzania, na bado wanababaika kuzungumza Kiswahili. Je, wote hawa hawajui, jibu ni hapana. WANAJUA. Ila sio waongeaji. Mfano huyo uliyemshambulia, hata kuongea Kiswahili anaongea hivyo hivyo, naomba tujiheshimu na pia tuheshimu watu. Hivyo tufanye mnakasha bila kutaja majina ya watu, huo ndiyo ukomavu
I like the way you think....unaonekana Ni mtu unaejuwa kureason.Hongera, maana umekuwa mzalendo. Jamii yetu imezungukwa na watu (wakulima, wafugaji, wavuvi) wanaoishi katika umasikini mkubwa. Je hizi elimu za IST zimewasaidia hawa watu wetu kuondoka kwenye umasikini? Kujieleza na confidence ni vitu vizuri sana, lakini elimu bora inatakiwa ijikite kwenye kuleta maendeleo ya watu katika jamii yetu na siyo mtu mmoja tu binafsi.
Natamani wanaosifia sana hizo international schools na wao kusoma Universities za nje ya nchi na kuishi huko watuletee mifano ya watu waliotoka hizo shule na kwa jinsi gani wamekuwa msaada/ role models kwa watu wetu wa Tanzania.
Je tunahitaji skills gani kuwasaidia wakulima na wafugaji wetu ambao ndio majority. Tunahitaji watu wa kwenda majukwaani na kwenye makongamano na kuongea kingereza/ kiswahili kizuri? Je ili vijana wetu waweze kujiajiri hapa Tanzania wanahitaji skills gani?
Hebu tuache haya mambo ya kurithiswa/ kuaminishwa na wakoloni tuwaze nje ya Box. Tunahitaji skills zipi za kuwatoa watu wetu kweye umasikini, wazalishe kwa ubora na ufanisi na kupata masoko ya bidhaa zao? Skills gani za kuwawezesha vijana kujiajiri?
Andiko lingekuwa zuri sana kama wangesema muasisi wa kampuni kama ASAS, Tanga milk, Shambani milk, alisoma IST kwa sasa anamiliki kiwanda cha bidhaa za maziwa. Ananunua maziwa kiwa wafugaji pia kaajiri waTanzania kadhaa kwenye processing, distribution na marketing. Hizo habari za exposure za kuishi na kufanya kazi nje ya nchi ni fursa zilizopo kwa vijana wachache sana na hazina trickle down effects kwa waTanzania walio wengi.
Nashukuru sana mkuu.I like the way you think....unaonekana Ni mtu unaejuwa kureason.
Kabisa aiseeWahusika watakuwa wameingia mitini..
Hapo sasa nimekupata mkuuni kweli mkuu mfukoni wanakuwa wapo vizuri cha msingi wazazi wao wanaamini wakipata exposure ya kuwa karibu na watu wengine from Royal families basi hata kimawazo na kusaidiana watafaidika.....wanakuwa kama wanatengeneza team ya wenye uwezo kubebana nje ya elimu
Vipi, ana-deliver contents ya kile anachotakiwa kukiwasilisha, na aliweza vp, kushawishi jopo likampa uprofessa. Au alishiriki mbio za mita 100 basi akapewa uprofessa, tudadavulie mkuu...Hata ndalichako alipata hizo scholarship huko Canada lakini ni mtu wa thee thee nk
Mkuu ni hivi graduates waliosoma hizo international schools ( sio english medium) kwa tz toka tupate uhuru hawafiki labda hata elfu tano na wanatakiwa dunia nzima so kama mfumo wa nchi husika hauwezi kuwaruhusu wafanye ideas walizojifunza wanaenda nchi zinazoruhusu huo mfumo...mfano wa product ya IST ni tajiri no moja wa tz Mohamed Dewji (Mo) nadhani unaifahamu impact aliyoleta Mo kwa tz...Sasa kama Mo mmoja tu anawazidi maelfu ya hao unaowasifia sijui unataka nini kwa international schools!..ukitaka uzidi kuona impact yao basi pawepo na mfumo utakaoruhusu na kuwavutia wabaki tz..unavyofikiri ni sawa na kutaka Hashim thabit aliyecheza basketball NBA abaki tz na kuleta impact ya NBA tz!.never!Hongera, maana umekuwa mzalendo. Jamii yetu imezungukwa na watu (wakulima, wafugaji, wavuvi) wanaoishi katika umasikini mkubwa. Je hizi elimu za IST zimewasaidia hawa watu wetu kuondoka kwenye umasikini? Kujieleza na confidence ni vitu vizuri sana, lakini elimu bora inatakiwa ijikite kwenye kuleta maendeleo ya watu katika jamii yetu na siyo mtu mmoja tu binafsi.
Natamani wanaosifia sana hizo international schools na wao kusoma Universities za nje ya nchi na kuishi huko watuletee mifano ya watu waliotoka hizo shule na kwa jinsi gani wamekuwa msaada/ role models kwa watu wetu wa Tanzania.
Je tunahitaji skills gani kuwasaidia wakulima na wafugaji wetu ambao ndio majority. Tunahitaji watu wa kwenda majukwaani na kwenye makongamano na kuongea kingereza/ kiswahili kizuri? Je ili vijana wetu waweze kujiajiri hapa Tanzania wanahitaji skills gani?
Hebu tuache haya mambo ya kurithiswa/ kuaminishwa na wakoloni tuwaze nje ya Box. Tunahitaji skills zipi za kuwatoa watu wetu kweye umasikini, wazalishe kwa ubora na ufanisi na kupata masoko ya bidhaa zao? Skills gani za kuwawezesha vijana kujiajiri?
Andiko lingekuwa zuri sana kama wangesema muasisi wa kampuni kama ASAS, Tanga milk, Shambani milk, alisoma IST kwa sasa anamiliki kiwanda cha bidhaa za maziwa. Ananunua maziwa kiwa wafugaji pia kaajiri waTanzania kadhaa kwenye processing, distribution na marketing. Hizo habari za exposure za kuishi na kufanya kazi nje ya nchi ni fursa zilizopo kwa vijana wachache sana na hazina trickle down effects kwa waTanzania walio wengi.
Kusudi kuu la elimu sio kwa shule za kimataifa tu hata shule za kawaida ni kumuandaa mtoto aweze kuendana na mfumo wa kidunia kwa urahisi zaidi kwa kumpatia maarifa na ujuzi husika, na sio kutafuta kazi. Japo asilimia kubwa watu wengi hutumia ujuzi ule ule waliopata shule kupata kipato.International School tambua watoto wengi huwa hawaendi kutafuta kazi, kule watoto huwa kwa sababu wanajengewa confidence kubwa sana huweza kutunia vipaji vyao kuishi,.
Jambo la kufurahisha zaidi kuhusu hizi shule za kimataifa asilimia kubwa ya wanafunzi wao wanaosoma hizi shule wazazi wao ni waajiriwa wa mashirika makubwa ya kimataifa au makampuni makubwa binafsi wanakuwa na "office package" ya kusomeshewa watoto huko kama sehemu ya mkataba wa ajira zao. Ni kundi dogo sana la wafanyabiashara binafsi husomesha watoto wao huko ktk hizi shule. Kuna kipindi niliona mahala ktk takwimu za IST ilikuwa ni chini ya 8%. Yaani ktk kila watoto 100 pale Tanganyika ni 8 tu husomeshwa na wazazi kwa pesa zao mfukoni ila asimilia kubwa ni ofisi zilikuwa zikilipa ada za wanafunzi pale.Na pia wanapata Exposure kubwa sana, Exposure ina nguvu sana kuliko elimu, watoto wa International School kwanza unakuta rafiki zao Baba zao wana miliki ma investment ya kufa mtu, Wewe fikilia nakutana na mtoto wa Mengi au MO shuleni, yaani tiyari pale hutakuwa na mawazo ya kwenda kutafuta kazi.
Wanashindwa kuwa faida kwa sababu taifa lenyewe halithamini wasomi wenye taaluma zao...tunaleta siasa kwenye kila jambo.Hao watu wainternational siyo msaada kwa taifa letu kabisa. Ni msaada kwao wenyewe na familia zao.
Tatizo hizo shule zenyewe katuletea huyo mzungu unayembeza,Tatizo mtu mweusi yuko brainwashed na fikra kwamba hakuna anachoweza hadi asomeshwe na mzungu au asome shule za wazungu. Na hii ndo imefanya wazungu wametu-undermine karibu kila sekta ya maisha toka miaka mingi sana. Sasa wewe umekiri kwamba you among a few best students, lakini bado unajidharau kwamba bila kufundishwa reasoning na analysis na mzungu bado wewe si kitu!