Mtu ukiwa na pesa, somesha mwanao international schools, achana na hizi exam based schools or education

Hizo ni kazi za kufanywa na serikali yako kwa kuweka mazingira rafiki,we unataka afanye mtoto wa mwenzako aliyejipinda...acha iwe faida kwake na kwa familia yake, we lia na serikali yako
 
Hivi kwel usome international schools kutoka primary mpk secondary na chuo ukasome nje ww unarud bongo kuja kufanya nn

Yaan kama ni udaktar uache kufanye kaz hospital bora na zenye vifaa vizur uje kukimbilia muhimbili

Au kama ni Engineer uache project kubwa kubwa dunian uje kufanya kaz Tarura au Tanroads hiv hta kama ni wewe una CV hyo ungerud bongo ?

Most ya wanaosoma hizo shule mara nyingi hawarud bongo anarud kufanya nn connection sio wazaz tu hata watu aliosoma nao ni watoto wa mabaloz au wafanyabiashar wakubwa anarud kufanya nn

Swali la kujiuliuza ungekuwa ww ndo umesoma hvyo ungerud bongo?
Hapo utajua kwa nn impact yao huioni Tanzania utaiona na ww ukianza kupata exposure ya kufanya kaz mashrika ya nje
 
I second you
 
Mo dewji utajir na biashara zake karithi kwa baba yake tu.
Sasa kurithi utajiri na kuusimamia ndio impact ya shule ya IST?
leteni hoja zenye mashiko
 
Mo dewji utajir na biashara zake karithi kwa baba yake tu.
Sasa kurithi utajiri na kuusimamia ndio impact ya shule ya IST?
leteni hoja zenye mashiko
Waswahili hebu acheni kuwa hvyo kwa hyo yeye kusimamia zile pesa na kuongeza utajir n hakuna kitu amefanya au impacts yeyote

Itakuwa una matatizo naye binafs mkuu sio bure
 
mbona kuna matajiri wengi tu waliorithishwa biashara za baba zao ni darasa la 7 tu na wanaziendesha vizuri tu.
Ina maana wewe ukiachiwa assets na baba yako utashindwa kuzisimamia eti kwa vile hujasoma IST?basi utakuwa na dosari kichwani
Waswahili hebu acheni kuwa hvyo kwa hyo yeye kusimamia zile pesa na kuongeza utajir n hakuna kitu amefanya au impacts yeyote

Itakuwa una matatizo naye binafs mkuu sio bure
 
Mo pesa amepewa na baba yake tu sio kwamba alitumia nguvu zake kuzipata.
Hata kama lakini si ameziendeleza na hata ww si ungependa uwaachie watoto wako kitu cha kukiendeleza

Tuwache roho za namna hyo tujitahid kukubal juhud za mtu mi naona alichokifanya ni kikubwa na hta mzaz anaweza kuwa anajivunia

Kama ww utakavyo jivunia ukiacha pesa mwanao akaendeleza
 
Mo dewji utajir na biashara zake karithi kwa baba yake tu.
Sasa kurithi utajiri na kuusimamia ndio impact ya shule ya IST?
leteni hoja zenye mashiko
Mkuu unasema eti Mo karithi kwa baba yake...wewe umerithi nini kwa baba yako?.acha wivu mkuu..baba take Mo alikuwa the richest person in Tz?baba yake Mo alikuwa na utajiri wa zaidi ya usd 1B?.tueleze kwa elimu yako ulichorithi kwa baba yako umekikuza kwa % ngapi hadi sasa tukupime na Mo.
 
Hahiitaji kusoma IST ndio uweze kurithi mali za baba na kuzisimamia
 
Mkuu umetoka nje ya mada kabisa,habari za wivu zinatoka wapi tena ongea mada iliyopo mezani.
Mo karithi utajiri kwa baba yake kitu ambacho hata darasa la 7 pia anaweza kufanya kama kwa kuna mali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…