Mtu ukiwa na pesa, somesha mwanao international schools, achana na hizi exam based schools or education

Mtu ukiwa na pesa, somesha mwanao international schools, achana na hizi exam based schools or education

Hongera, maana umekuwa mzalendo. Jamii yetu imezungukwa na watu (wakulima, wafugaji, wavuvi) wanaoishi katika umasikini mkubwa. Je hizi elimu za IST zimewasaidia hawa watu wetu kuondoka kwenye umasikini? Kujieleza na confidence ni vitu vizuri sana, lakini elimu bora inatakiwa ijikite kwenye kuleta maendeleo ya watu katika jamii yetu na siyo mtu mmoja tu binafsi.
Natamani wanaosifia sana hizo international schools na wao kusoma Universities za nje ya nchi na kuishi huko watuletee mifano ya watu waliotoka hizo shule na kwa jinsi gani wamekuwa msaada/ role models kwa watu wetu wa Tanzania.
Je tunahitaji skills gani kuwasaidia wakulima na wafugaji wetu ambao ndio majority. Tunahitaji watu wa kwenda majukwaani na kwenye makongamano na kuongea kingereza/ kiswahili kizuri? Je ili vijana wetu waweze kujiajiri hapa Tanzania wanahitaji skills gani?
Hebu tuache haya mambo ya kurithiswa/ kuaminishwa na wakoloni tuwaze nje ya Box. Tunahitaji skills zipi za kuwatoa watu wetu kweye umasikini, wazalishe kwa ubora na ufanisi na kupata masoko ya bidhaa zao? Skills gani za kuwawezesha vijana kujiajiri?
Andiko lingekuwa zuri sana kama wangesema muasisi wa kampuni kama ASAS, Tanga milk, Shambani milk, alisoma IST kwa sasa anamiliki kiwanda cha bidhaa za maziwa. Ananunua maziwa kiwa wafugaji pia kaajiri waTanzania kadhaa kwenye processing, distribution na marketing. Hizo habari za exposure za kuishi na kufanya kazi nje ya nchi ni fursa zilizopo kwa vijana wachache sana na hazina trickle down effects kwa waTanzania walio wengi.
Hizo ni kazi za kufanywa na serikali yako kwa kuweka mazingira rafiki,we unataka afanye mtoto wa mwenzako aliyejipinda...acha iwe faida kwake na kwa familia yake, we lia na serikali yako
 
Hivi kwel usome international schools kutoka primary mpk secondary na chuo ukasome nje ww unarud bongo kuja kufanya nn

Yaan kama ni udaktar uache kufanye kaz hospital bora na zenye vifaa vizur uje kukimbilia muhimbili

Au kama ni Engineer uache project kubwa kubwa dunian uje kufanya kaz Tarura au Tanroads hiv hta kama ni wewe una CV hyo ungerud bongo ?

Most ya wanaosoma hizo shule mara nyingi hawarud bongo anarud kufanya nn connection sio wazaz tu hata watu aliosoma nao ni watoto wa mabaloz au wafanyabiashar wakubwa anarud kufanya nn

Swali la kujiuliuza ungekuwa ww ndo umesoma hvyo ungerud bongo?
Hapo utajua kwa nn impact yao huioni Tanzania utaiona na ww ukianza kupata exposure ya kufanya kaz mashrika ya nje
 
I second you
 
Mkuu ni hivi graduates waliosoma hizo international schools ( sio english medium) kwa tz toka tupate uhuru hawafiki labda hata elfu tano na wanatakiwa dunia nzima so kama mfumo wa nchi husika hauwezi kuwaruhusu wafanye ideas walizojifunza wanaenda nchi zinazoruhusu huo mfumo...mfano wa product ya IST ni tajiri no moja wa tz Mohamed Dewji (Mo) nadhani unaifahamu impact aliyoleta Mo kwa tz...sasa kama Mo mmoja tu anawazidi maelfu ya hao unaowasifia sijui unataka nini kwa international schools!..ukitaka uzidi kuona impact yao basi pawepo na mfumo utakaoruhusu na kuwavutia wabaki tz..unavyofikiri ni sawa na kutaka Hashim thabit aliyecheza basketball NBA abaki tz na kuleta impact ya NBA tz!.never!
Mo dewji utajir na biashara zake karithi kwa baba yake tu.
Sasa kurithi utajiri na kuusimamia ndio impact ya shule ya IST?
leteni hoja zenye mashiko
 
Mo dewji utajir na biashara zake karithi kwa baba yake tu.
Sasa kurithi utajiri na kuusimamia ndio impact ya shule ya IST?
leteni hoja zenye mashiko
Waswahili hebu acheni kuwa hvyo kwa hyo yeye kusimamia zile pesa na kuongeza utajir n hakuna kitu amefanya au impacts yeyote

Itakuwa una matatizo naye binafs mkuu sio bure
 
mbona kuna matajiri wengi tu waliorithishwa biashara za baba zao ni darasa la 7 tu na wanaziendesha vizuri tu.
Ina maana wewe ukiachiwa assets na baba yako utashindwa kuzisimamia eti kwa vile hujasoma IST?basi utakuwa na dosari kichwani
Waswahili hebu acheni kuwa hvyo kwa hyo yeye kusimamia zile pesa na kuongeza utajir n hakuna kitu amefanya au impacts yeyote

Itakuwa una matatizo naye binafs mkuu sio bure
 
Mo pesa amepewa na baba yake tu sio kwamba alitumia nguvu zake kuzipata.
Hata kama lakini si ameziendeleza na hata ww si ungependa uwaachie watoto wako kitu cha kukiendeleza

Tuwache roho za namna hyo tujitahid kukubal juhud za mtu mi naona alichokifanya ni kikubwa na hta mzaz anaweza kuwa anajivunia

Kama ww utakavyo jivunia ukiacha pesa mwanao akaendeleza
 
Mo dewji utajir na biashara zake karithi kwa baba yake tu.
Sasa kurithi utajiri na kuusimamia ndio impact ya shule ya IST?
leteni hoja zenye mashiko
Mkuu unasema eti Mo karithi kwa baba yake...wewe umerithi nini kwa baba yako?.acha wivu mkuu..baba take Mo alikuwa the richest person in Tz?baba yake Mo alikuwa na utajiri wa zaidi ya usd 1B?.tueleze kwa elimu yako ulichorithi kwa baba yako umekikuza kwa % ngapi hadi sasa tukupime na Mo.
 
Hahiitaji kusoma IST ndio uweze kurithi mali za baba na kuzisimamia
Hata kama lakini si ameziendeleza na hata ww si ungependa uwaachie watoto wako kitu cha kukiendeleza

Tuwache roho za namna hyo tujitahid kukubal juhud za mtu mi naona alichokifanya ni kikubwa na hta mzaz anaweza kuwa anajivunia

Kama ww utakavyo jivunia ukiacha pesa mwanao akaendeleza
 
Mkuu unasema eti Mo karithi kwa baba yake...wewe umerithi nini kwa baba yako?.acha wivu mkuu..baba take Mo alikuwa the richest person in Tz?baba yake Mo alikuwa na utajiri wa zaidi ya usd 1B?.tueleze kwa elimu yako ulichorithi kwa baba yako umekikuza kwa % ngapi hadi sasa tukupime na Mo.
Mkuu umetoka nje ya mada kabisa,habari za wivu zinatoka wapi tena ongea mada iliyopo mezani.
Mo karithi utajiri kwa baba yake kitu ambacho hata darasa la 7 pia anaweza kufanya kama kwa kuna mali.
 
Back
Top Bottom