DA HUSTLA
JF-Expert Member
- Mar 5, 2012
- 3,805
- 4,107
Mwanao wa kiume ni kilazaMtoto wangu wa kiume alisoma hizo za kulipia A level akatoka amefeli.
Msichana alisoma shule za Nyerere tu A level akatoka na 1.7
Nipeni jawabu hapo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanao wa kiume ni kilazaMtoto wangu wa kiume alisoma hizo za kulipia A level akatoka amefeli.
Msichana alisoma shule za Nyerere tu A level akatoka na 1.7
Nipeni jawabu hapo.
Hizo ni kazi za kufanywa na serikali yako kwa kuweka mazingira rafiki,we unataka afanye mtoto wa mwenzako aliyejipinda...acha iwe faida kwake na kwa familia yake, we lia na serikali yakoHongera, maana umekuwa mzalendo. Jamii yetu imezungukwa na watu (wakulima, wafugaji, wavuvi) wanaoishi katika umasikini mkubwa. Je hizi elimu za IST zimewasaidia hawa watu wetu kuondoka kwenye umasikini? Kujieleza na confidence ni vitu vizuri sana, lakini elimu bora inatakiwa ijikite kwenye kuleta maendeleo ya watu katika jamii yetu na siyo mtu mmoja tu binafsi.
Natamani wanaosifia sana hizo international schools na wao kusoma Universities za nje ya nchi na kuishi huko watuletee mifano ya watu waliotoka hizo shule na kwa jinsi gani wamekuwa msaada/ role models kwa watu wetu wa Tanzania.
Je tunahitaji skills gani kuwasaidia wakulima na wafugaji wetu ambao ndio majority. Tunahitaji watu wa kwenda majukwaani na kwenye makongamano na kuongea kingereza/ kiswahili kizuri? Je ili vijana wetu waweze kujiajiri hapa Tanzania wanahitaji skills gani?
Hebu tuache haya mambo ya kurithiswa/ kuaminishwa na wakoloni tuwaze nje ya Box. Tunahitaji skills zipi za kuwatoa watu wetu kweye umasikini, wazalishe kwa ubora na ufanisi na kupata masoko ya bidhaa zao? Skills gani za kuwawezesha vijana kujiajiri?
Andiko lingekuwa zuri sana kama wangesema muasisi wa kampuni kama ASAS, Tanga milk, Shambani milk, alisoma IST kwa sasa anamiliki kiwanda cha bidhaa za maziwa. Ananunua maziwa kiwa wafugaji pia kaajiri waTanzania kadhaa kwenye processing, distribution na marketing. Hizo habari za exposure za kuishi na kufanya kazi nje ya nchi ni fursa zilizopo kwa vijana wachache sana na hazina trickle down effects kwa waTanzania walio wengi.
Sema hawatumii jembe la mkono,Ila watoto wanaosoma shule hizi hawajui kulima, kupika wala kuosha vyombo...
We lia na serikali yako sio mtoto wa mwenzioHao watu wainternational siyo msaada kwa taifa letu kabisa. Ni msaada kwao wenyewe na familia zao.
Kha!kha!kha!,Kwamba wanakuwa vizuri tu mdomoni.Sio rahisi kumkuta mtoto aliyesoma international school akawa daktari au injinia huwa wanaishia tu kusoma degree za arts na kuwa ma DJ wa muziki
I second youHivi kwel usome international schools kutoka primary mpk secondary na chuo ukasome nje ww unarud bongo kuja kufanya nn
Yaan kama ni udaktar uache kufanye kaz hospital bora na zenye vifaa vizur uje kukimbilia muhimbili
Au kama ni Engineer uache project kubwa kubwa dunian uje kufanya kaz Tarura au Tanroads hiv hta kama ni wewe una CV hyo ungerud bongo ?
Most ya wanaosoma hizo shule mara nyingi hawarud bongo anarud kufanya nn connection sio wazaz tu hata watu aliosoma nao ni watoto wa mabaloz au wafanyabiashar wakubwa anarud kufanya nn
Swali la kujiuliuza ungekuwa ww ndo umesoma hvyo ungerud bongo?
Hapo utajua kwa nn impact yao huioni Tanzania utaiona na ww ukianza kupata exposure ya kufanya kaz mashrika ya nje
Mo dewji utajir na biashara zake karithi kwa baba yake tu.Mkuu ni hivi graduates waliosoma hizo international schools ( sio english medium) kwa tz toka tupate uhuru hawafiki labda hata elfu tano na wanatakiwa dunia nzima so kama mfumo wa nchi husika hauwezi kuwaruhusu wafanye ideas walizojifunza wanaenda nchi zinazoruhusu huo mfumo...mfano wa product ya IST ni tajiri no moja wa tz Mohamed Dewji (Mo) nadhani unaifahamu impact aliyoleta Mo kwa tz...sasa kama Mo mmoja tu anawazidi maelfu ya hao unaowasifia sijui unataka nini kwa international schools!..ukitaka uzidi kuona impact yao basi pawepo na mfumo utakaoruhusu na kuwavutia wabaki tz..unavyofikiri ni sawa na kutaka Hashim thabit aliyecheza basketball NBA abaki tz na kuleta impact ya NBA tz!.never!
Kabisa watoto wa International school wazuri sana mdomoni .Lakini huwezi wakuta wakisoma degree za engineering au udaktari hawana uwezo huo.Wakimaliza masomo mbio nje ya nchi kusoma degree za Arts
MO halimi ila anawatuma watu wamlimie yeye anatumia pesa zake tuSema hawatumii jembe la mkono,
Mbona MO analima?
Basi na wewe pambana ili uwe unatuma pesa zako kama ni rahisMO halimi ila anawatuma watu wamlimie yeye anatumia pesa zake tu
Sasa arts siku hizi haina michongo mingi km sayansi.Kabisa watoto wa International school wazuri sana mdomoni .Lakini huwezi wakuta wakisoma degree za engineering au udaktari hawana uwezo huo.Wakimaliza masomo mbio nje ya nchi kusoma degree za Arts
Basi na wewe pambana ili uwe unatuma pesa zako kama ni rahis
Waswahili hebu acheni kuwa hvyo kwa hyo yeye kusimamia zile pesa na kuongeza utajir n hakuna kitu amefanya au impacts yeyoteMo dewji utajir na biashara zake karithi kwa baba yake tu.
Sasa kurithi utajiri na kuusimamia ndio impact ya shule ya IST?
leteni hoja zenye mashiko
Waswahili hebu acheni kuwa hvyo kwa hyo yeye kusimamia zile pesa na kuongeza utajir n hakuna kitu amefanya au impacts yeyote
Itakuwa una matatizo naye binafs mkuu sio bure
Hata kama lakini si ameziendeleza na hata ww si ungependa uwaachie watoto wako kitu cha kukiendelezaMo pesa amepewa na baba yake tu sio kwamba alitumia nguvu zake kuzipata.
Mkuu unasema eti Mo karithi kwa baba yake...wewe umerithi nini kwa baba yako?.acha wivu mkuu..baba take Mo alikuwa the richest person in Tz?baba yake Mo alikuwa na utajiri wa zaidi ya usd 1B?.tueleze kwa elimu yako ulichorithi kwa baba yako umekikuza kwa % ngapi hadi sasa tukupime na Mo.Mo dewji utajir na biashara zake karithi kwa baba yake tu.
Sasa kurithi utajiri na kuusimamia ndio impact ya shule ya IST?
leteni hoja zenye mashiko
Hata kama lakini si ameziendeleza na hata ww si ungependa uwaachie watoto wako kitu cha kukiendeleza
Tuwache roho za namna hyo tujitahid kukubal juhud za mtu mi naona alichokifanya ni kikubwa na hta mzaz anaweza kuwa anajivunia
Kama ww utakavyo jivunia ukiacha pesa mwanao akaendeleza
Mkuu umetoka nje ya mada kabisa,habari za wivu zinatoka wapi tena ongea mada iliyopo mezani.Mkuu unasema eti Mo karithi kwa baba yake...wewe umerithi nini kwa baba yako?.acha wivu mkuu..baba take Mo alikuwa the richest person in Tz?baba yake Mo alikuwa na utajiri wa zaidi ya usd 1B?.tueleze kwa elimu yako ulichorithi kwa baba yako umekikuza kwa % ngapi hadi sasa tukupime na Mo.
umeongea kweli mkuu liwe jua iwe mvua mwanangu kamwe hawezi soma hizi kayumba hata zege nitabeba.