Mtu ukiwa na pesa, somesha mwanao international schools, achana na hizi exam based schools or education

Hahiitaji kusoma IST ndio uweze kurithi mali za baba na kuzisimamia
Kwan hapa watu wanaongelea kwamba ukisoma IST ndo utaweza kusimamia mali za wazaz

Watu wameonyesha product ya IST ambayo ni tajir nmba moja Tanzania swala ni tumeangalia nn IST imeitengeneza na nini imezalisha na hicho ndo tumekitumia kwa Mo
 
Mkuu umetoka nje ya mada kabisa,habari za wivu zinatoka wapi tena ongea mada iliyopo mezani.
Mo karithi utajiri kwa baba yake kitu ambacho hata darasa la 7 pia anaweza kufanya kama kwa kuna mali.
Sawa tutajie hao darasa la 7 waliorithi mali za baba zao na wakawa the richest person in Tz na the youngest billionaire in Africa...usiongee general statement zisizo na data.!.usiwe kama wale wanaosema wasio soma wana maisha mazuri kuliko waliosoma but wakiambiwa walete data wanarukaruka
 
Hizo ni kazi za kufanywa na serikali yako kwa kuweka mazingira rafiki,we unataka afanye mtoto wa mwenzako aliyejipinda...acha iwe faida kwake na kwa familia yake, we lia na serikali yako
Kama hii ndio reasoning na analytical skills ya mliopita international schools, basi aliyesema hamuwezi kusoma science, nyie mnaenda kuwa maDJ wa muziki hajakosea
 
Nadhani serikali ijaribu kubuni mfumo mzuri utakaojengea wanafunzi ufahamu na uelewa wa kusoma na kuweza kutatua changamoto za mazingira yetu
siku watakayothubutu kufanya ivi na madarakani watang'oka kitu ambacho wao hawataki kukisikia.....
 
nilipomuuliza mate wangu wa chuo anawalipia shs ngapi wanawe pale IST akanimbia shilingi milioni 17 tuu kwa mwaka, pumzi ikakataa kabisaaaa hapo hapo nikagundua hapa duniani kuna watu na viatu…………..
 
Usingekuwa hapa muda huu

Amini maneno yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sina tu pesa,laiti Kama ningekuwa nazo Hakika wanangu wangesoma hizi shule...
 
Mkuu huko IST hawanaga zile barua za "Mzazi unakumbushwa kumalizia karo ya mwanao"
 

Je hao wanaosoma Kayumba wana msaada gani Kwa hao wakulima na wafugaji??

Kama hao wa IST Wana msaada kwao binafsi na familia zao..je Hilo sio Jambo jema??

Hao kina ASAs ni exceptional cases hata
Huko USA wanaofanikiwa kuanzisha biashara na kuajiri wengine ni asilimia moja tu..

Dhana ya elimu Bora isipimwe na uwezo wa kuajiri wengine
Mradi hawarudi kuwa mzigo Kwa jamii basi elimu imewasaidia
 
Tatizo hizo shule zenyewe katuletea huyo mzungu unayembeza,


Kakufundisha kusoma na kuandika na una type kupitia device yake...then unataka uvimbe eti elimu yao ni kuwa brainwashed ,ha ha haaa kweli dunia haiishiwi vituko
Hiki ndo namaanisha kwamba upo brainwashed, kabla wazungu wakoloni hawajaja afrika walikuwa hawaishi? na waliishi vp, kama hawakuwa na reasoning na analytical capability mnazotafuta sasa kwa wazungu.
 
unaijua taasisi inaitwa MENSA?
 
Ila ukishindwa peleka English Media za ukweli angalau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…