Mtu ukiwa na pesa, somesha mwanao international schools, achana na hizi exam based schools or education

ulimwengu upi huo?kama unamaanisha ulimwengu ni ulaya kuna watu hawajasoma kabisa na kila mwezii wanaenda ulaya.
Sijaongelea kwenda ulaya popote katika comment yangu. Nimeonvelea exposure in a wide term!!
 
Yaani umegonga mule mule. Urudi kufanya nini bwana wakati huko ulaya wanakuona kifaa na unalipwa vilivyo.
Hapa utaishia kuambiwa ah kuwa mzalendo bwana while wanakulipa peanuts.
 
Si Mkwawa High School mkuu?
 
Kufaulu kwa elimu ya bongo ni kukariri.
 
Huyo dogo ana akili za kishamba na kimasikini.
 
Hapa ndio ujinga ulipojikita mizizi na kuuondoa huu,inahitajika nguvu sana.

Unaweza kuniambia PhD nyingi zilizopo nchini zina msaada gani iwapo tunaagiza nje ya nchi hadi chupi?
 
Wanatakiwa kufanya kwenye national level ili kuinua taifa, that's my opinion. Kama tuna wahitimu katika level ya kimataifa lakini maisha yetu bado duni, kuna faida gani hapo?
Huna uwezo wa kuaccomodate uwezo wao na huwezi kuwalipa.
 
Nimecheka sana hapo kwenye kuzuia wazazi
 
Majority ya watu wanaomiliki mabus na magorofa hawana hayo makaratasi yenu na wanaongea kiswahili tu kiingereza ni kwa mbali sana
Tatizo lako unaona maisha ni kumiliki mabasi na magorofa.

Maisha ni zaidi ya hayo.
 
Mzee issue ni Dhamira tu nivile tuna watawala wasiojua kwanini wanahizo nafasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…