Mtu unajirekodi chumbani ili iweje? Nina uhakika Aslay na Lukamba wameteswa sana kisaikolojia kusubiri kuziona dhambi zao zilizovuja

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chiziii wee.
Napitwaa na visivyo nihusu au nisivyotaka tyuuh.
Ilaa hizi za aslay najua unazo tuuu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ni bless basi ili niepukane na lawama za ku mute watu PM huku πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Hazijavuja ,wameuza wenyewe maana sio bahati mbaya kinachotokea,fikiria unafanya se na menzi wako lakini mwanaume unajificha maungo yako hayaonekani,means upo kwenye misheni.
Mange anaingiza zaidi ya 300M,akimpa Aslay 100M wana hasara gani?
Thubutuuu, yaan Mange ampe aslay au Lukamba 100M?
Hata 20M Hawapii
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utakomaaaa km ulidanganya watu unayoo.
Daah mie nilifuta, poleeee.
 
Unataka kwenda Nchi ya ahadi United States of America sio? [emoji28]

Get prepared [emoji847]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan mie siku ya kwenda [emoji631] ntaweweseka kwenye [emoji3575] had abiria wengine washtuke.

Nna wivu nikisikia mtu kaenda au yuko huko.
Kamoyo kanachoma kwa ndani, I wish 1 day, iwe YES.

Uwiiiiiih
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan mie siku ya kwenda [emoji631] ntaweweseka kwenye [emoji3575] had abiria wengine washtuke.

Nna wivu nikisikia mtu kaenda au yuko huko.
Kamoyo kanachoma kwa ndani, I wish 1 day, iwe YES.

Uwiiiiiih
Hujaamua kuomba scholarship, vyuo ni vingi Kwa ujuzi wako hivyo possibly utapata udahili
 
Kujirekodi video ama kujipiga picha ukiwa katika tendo la ndoa/ngono/uzinzi huku ukiwa hutaki watu wazione ni dalili ya ugonjwa wa akili.

Kuna haja gani ya kujirekodi wakati wa tendo na mwenzako, lengo huwa nini hasa?

Watu wengi wanatembea lakini kichwani wanapitia mambo mengi yanayoathiri uwezo wao wa kuamua mambo. Hii ni hatua ya kwanza kuelekea kwenye changamoto ya afya ya akili.

Ni tabia sahihi kama utaamua kujirekodi na kuposti lakini kama unarekodi na hutaki watu waone basi una changamoto ya afya ya akili.
 
Suluhu ya hili jambo:
1. Ukipata malay* na ukakubaliana naye kwenda kufanya yenu hakikisha vifaa vyote vya kielektroniki vipo OFF, yaani vimezimwa! Usijichanganye kuanza chochote kabla vifaa hivi havijazimwa.
2. Nenda sehemu ambayo unafahamu kuna usalama wako binafsi kabla na baada ya kumaliza mchezo. Usijipe umwamba kwenye maeneo ambayo watu wanaweza kukufuatilia.
3. Usikubali kujirekodi ama kurekodiwa na mtu ukiwa mtupu au ukiwa na nguo! Acha kabsa kujitoa ufahamu kabsa Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…