Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Unataka kwenda Nchi ya ahadi United States of America sio? ๐Sio Dubai babuu, mie nataka [emoji631].
Tena Las Vegas au Miami. [emoji23][emoji23][emoji23]
Get prepared ๐ค
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka kwenda Nchi ya ahadi United States of America sio? ๐Sio Dubai babuu, mie nataka [emoji631].
Tena Las Vegas au Miami. [emoji23][emoji23][emoji23]
Ilaa hizi za aslay najua unazo tuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chiziii wee.
Napitwaa na visivyo nihusu au nisivyotaka tyuuh.
Wee babuu sema kweli, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]PM yangu iko wazi mjukuu [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji870]
Hii comment inafikirisha sanaKiukweli Aslay hajui kufir..na, alikua anamuumiza tyuuh yule dada, kwa hali ile dada lazima apate maumivu na bawaziri juu.
Afu ile walimpa mtu awa record, ilikua planned kabisa.
Lol
Thubutuuu, yaan Mange ampe aslay au Lukamba 100M?Hazijavuja ,wameuza wenyewe maana sio bahati mbaya kinachotokea,fikiria unafanya se na menzi wako lakini mwanaume unajificha maungo yako hayaonekani,means upo kwenye misheni.
Mange anaingiza zaidi ya 300M,akimpa Aslay 100M wana hasara gani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utakomaaaa km ulidanganya watu unayoo.Ilaa hizi za aslay najua unazo tuuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni bless basi ili niepukane na lawama za ku mute watu PM huku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Fikiri tena zaidi.Hii comment inafikirisha sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan mie siku ya kwenda [emoji631] ntaweweseka kwenye [emoji3575] had abiria wengine washtuke.Unataka kwenda Nchi ya ahadi United States of America sio? [emoji28]
Get prepared [emoji847]
Hebu PM tuone mkuuSema vijana wamewakilisha, hawapoi haha ha ha ha haaaaaa. Nimeona dhambi kwa bahati mbaya.
Hebu tuone mkuuaslay ameweza si haba anajituma bhana[emoji23]
Why ukafuta๐ฌ๐ฌ๐ฌ๐ฌ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utakomaaaa km ulidanganya watu unayoo.
Daah mie nilifuta, poleeee.
Ukipata ntumie na mm pmKweli watu mmepandwa na mzuka,,, leo sio OVA bali imekua ni OCA
Hujaamua kuomba scholarship, vyuo ni vingi Kwa ujuzi wako hivyo possibly utapata udahili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan mie siku ya kwenda [emoji631] ntaweweseka kwenye [emoji3575] had abiria wengine washtuke.
Nna wivu nikisikia mtu kaenda au yuko huko.
Kamoyo kanachoma kwa ndani, I wish 1 day, iwe YES.
Uwiiiiiih
๐๐๐๐hadi leo hujaonaHebu tuone mkuu
Hivi ni ajari au ajali?Acha tuji record, ni kwa ajiri ya kutazama marudio.
Kuvuja ni ajari km ajari zingine. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijaona mkuu,na sina namna ya kupata,naomba ni PM jamaani na mimi nishangae[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hadi leo hujaona
Suluhu ya hili jambo:Inasikitisha lakini ni funzo kwamba siri za chumbani ziishie chumbani
Mnaojirekodi vyumbani video zenu hazipo salama kwa asilimia 100 kama mnavyojidanganya, Simu yako ikiibiwa inaweza kuwa unlocked kwa software, Umeenda kuprint pdf stationery wezi wa data wananyonya folder zima la camera, umemuachia mtu kidogo simu yako kahamisha video, wewe upo makini ila video umemtumia mwenzako mzembe zinaanza kusambaa, n.k.
Sasa vuta taswira ikiwa video yako imemfikia mvujishaji alafu anasema ataitoa baada ya mwezi, hii inaitwa countdown, haya ni mateso makali sana kisaikolojia na hapo bado haijavuja, siku 2 kabla haijavuja huwezi pata usingizi, siku ikivuja utakuwa na wakati mgumu sana my friend, hata kama utajifanya everything is ok.
Unaweza kuzuga kama Lukamba kwamba hakuna kitu kimetokea unaweka picha za kutabasamu na kweli hii mbinu inafanya watu nao wapotezee lakini sio kwa watu wa karibu mnaoheshimiana
Kwa watu wa karibu unakuwa umejishusha sana heshim, watu hawa ni watoto wako, Wazazi wako, ndugu zako, mke wako, watu mnaoheshimiana, n.k