Mtu unamuheshimu Kabisaaa lakini anatembea na mke wa mtu na anajua ni mke wa mtu

Wake wa mtu huwapenda waume za watu kuliko wanaume single kwa sababu waume za watu hawana mambo mengi na wanajua ku-care....

Watu wazingatie hili neno. Hali kadhalika wote mnavyakupoteza ikitokea mambo yameenda mrama.

Sawa na kuwa na mahusiano na mtawa...niishie hapo.

Uko salama Jemedari, umekua kimya nikajua umemsindikiza Hidaya
 
Umeongea vema sana mtoa mada muda mwingine akili na busara zitumike
 
Mke wa mtu sio kifurushi cha mpunga kwamba ubakibeba tu na kutembea nacho. Sisemi kuwa aheshimike anaetembea na mke wa mtu ila tu huyu mke wa mtu nae hakujua Kama ni mke wa mtu?
 
Tatizo hapo lipo kwa nani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…