Kwani akiwa mke wa mtu ndio haitaingia?Kingine kinachochangia
Wanawake wengi wakiwa wanaenda umri wananyima waume zao sex sasa wakifika hukoo wanaume wengi sana hushindwa vumilia?
Wanaume wengi tunapenda sex ndio tulivyoumbwa
Sema mzee baba...
Mwanaume/Mwanamke yeyote ambae hawezi zuia matamanio yake kwa kumuheshimu mke/mume wake ni malaya.
Ni uzinzi tu ila kwa walio wengi inaonekana ni ujanja.Naongezea japo ni ukweli mchungu.
Malaya ni kuwa na mahusiano na zaidi ya mtu mmoja.
Kunywa soda kwa Mangi nakuja kulipa. Ukweli dunia ina mchanganyiko wa vitu vyote. Sio wote binadamu.Sio kila unayemuona duniani ni binadamu wengine ni mapando ya shetani kuja kuvuruga watu
Ukiona mtu anajiachia hivyo jua hana cha kupoteza, watu hawataki kunywa dawa peke yao.
MwanaumeTatizo hapo lipo kwa nani
Nimeeleza hapoMke wa mtu sio kifurushi cha mpunga kwamba ubakibeba tu na kutembea nacho. Sisemi kuwa aheshimike anaetembea na mke wa mtu ila tu huyu mke wa mtu nae hakujua Kama ni mke wa mtu?
Na unaita my love mke au mume ya mtu kulaninaUkiwa ndoani ukianzisha uhusiano na asiye na ndoa unabambwa mwezi 1 tu.
Hawa ndo wale saa 12 anakuamsha na “Goodmorning my love”. Saa 4 usiku anapiga. Nani anataka dhahma??
SwadaktaUmeongea vema sana mtoa mada muda mwingine akili na busara zitumike
Sina mke na sifikirii kuwa na mkeMkuu umechapiwa ama?
Vita, ni uharibifu tu, akiachika anamgeuzia kisogo tenaNa mbaya zaidi ukimwambia huyo Mwanaume basi mchukue awe wako,uwe naye huru-hakuna anayetaka.
Ndio uchukue mke wa mtu?Kingine kinachochangia
Wanawake wengi wakiwa wanaenda umri wananyima waume zao sex sasa wakifika hukoo wanaume wengi sana hushindwa vumilia
Wanaume wengi tunapenda sex ndio tulivyoumbwa
Hakuna wapo hata madhabahuniWe acha tu ndugu yangu.
Haya mambo yanahitaji nidham ya hali ya juu.
Nakumbuka Kuna Rafiki yangu Mzimbabwe aliyeishi sana South alikua anasema... "Man, if I can only overcome this one sin, aaah I will go to heaven Chief. You know even pastors in their gatherings confess and discuss how they can overcome this stuff...mind you am talking about pastors..."
Ipo siku wataingiza kwakoKwani akiwa mke wa mtu ndio haitaingia?
Sio ndio hapo. Uliolewa ili iweje kama hujitambui kama mke wa mtu. Nashangaa watu wanalumu eti umeiba mume au mke wa mtu? Hivi mtu anaibwaje kwa mfano.Mke wa mtu sio kifurushi cha mpunga kwamba ubakibeba tu na kutembea nacho. Sisemi kuwa aheshimike anaetembea na mke wa mtu ila tu huyu mke wa mtu nae hakujua Kama ni mke wa mtu?