Mtu unamuheshimu Kabisaaa lakini anatembea na mke wa mtu na anajua ni mke wa mtu

Mi Kuna mtu/dada ni wa mambo ya kanisa afu ana ndoa yake lakini anapita na boss lake basi huwa nasema hiiiii haaaaaa na huyu tena?
 
Ndoa na iheshimiwe na watu wote semeni Amen!!!
 
Kuna dogo mmoja hapa anakula pisi moja kali hatari lakini imeolewa. Na dogo anajua. Na mumewe anamfahamu. Nimeongea naye anasema kuacha hawezi maana pisi ile ni hatari kunako sita kwa sita na inavyoonekana mumewe hayuko vizuri sana kwenye sekta hiyo (pengine kisingizio tu!).

Mume wa hii pisi hajulikani anafanya kazi gani hapa mtaani ila kuna tetesi kuwa pengine ni TISS. Ana vihela hela na majuzi tu hapa ametoka kumnunulia mkewe Harrier brand new. Wana nyumba nzuri na wana watoto watatu. Ukiwaona J'pili wanakwenda kanisani ni familia ya kupigiwa mfano!

Hizi ndoa hizi zina mambo mengi sana!
 
Hili jambo baya sana
 
Na mwanamke kwanini atembee na mume wa mtu wakati anajua kabisa ni mume wa mtu
 
D
Duuuh...
 
Ni tatizo la saikolojia, kuna watu wanajisikia wanaume zaidi anapotembea na mke wa mwanaume mwingine, tena akiambiwa anamfikisha kuliko mume ndo mdadi unapanda anavimba anajaa.
Yes ni tatizo la kisaikolojia. Unajua concept ya macho man (yeye ndio yeye) ?
 
Reactions: Tsh
Theres no fun, no jokes, no any reason that can justify someone in marriage cheating on their partner. You are either in or out. No in between
 
Nilijifunza zamani sana kuwa mke wa mtu ni mke wa mtu, ila shida vijana wengi wamejaa ubishi sana , tujitahidi kuheshimiana na kuheshimu wake za watu.
 
Je wale wanao jiuza sio wake za watu. Nani anazingua hapo ?
 
Ulichosema ni kweli kabisa, kuna wengine baba huku ndani ni heshima tu mme lakini hakuna kazi miaka 8, unategemea nini akikutana na mtu mzima maana wakwake ni nusu mtu hapo? Mtu anaweza mlaumu mwanamke kumbe nyumbani hakuna kitu, mfano 40-45 yrs atampata wapi wapekeyake? Wanaume wajue tu kama humpi mkeo vizuri tegemea wasaidizi wapo, na lingine unakuta likari balaa wakati hamna kitu, acha wasaidiwe tu .
 
Mie nilifumaniwa nikaliwa nikafumaniwa tena wakanitafuna sasa hivi nimeacha wake za watu ila kuna pisi nimeiona sehem flani afu imeolewa lazima nirare nayo mbereeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…