Mtu wa namna hii aachwe kuwa kiongozi kwakuwa alipata kura nyingi?

Hakika, binafsi Huwa siamini katika hii inaitwa dsmokrasia.. kwenye demokrasiaz wajinga watakuchagulia Mjinga akuongoze.
Demokrasia ya kweli hainaga rushwa.Kwa sababu ya Rushwa mnapata viongozi wabovu kama Mwigulu Nchemba,January Makamba,Job Ndugai,Lusinde na hao wote unaowataja wewe.
 
Kasome Katiba yako ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 ibara ya 3(1).Ndiyo uje na hoja zako.
 
Maelezo yako yanaashiria kampeni ya 2025 na kwa kuwa umewagusa ccm huo ni mzigo wako na chama chako ungekuwa mkweli ungehimiza katiba mpya ndio dawa ya hayo magonjwa lkn unajua fikka katiba ikipatikana hata huyo unaemta hapatikani kwani watu wengi watamchagua wanaemtaka
 
1.kwamba wewe mpumbavu wa uvccm na sukuma gang ndio unaweza kutathimin dira ya vyama vya upinzan nchin.
2. kwamba wewe mpumbavu wa uvccm na sukuma gang uliyezoea kunufaika awamu ya tano ndio unaweza kutathmin nan anaweza kutuvusha nchi hii huku ulikuwa ukishabikia mauwaji yaliyokuwa yakifanywa na dictator uchwara.
3. kwamba wewe uvccm na sukuma gang uliyezoea kushabilia uporaji wa kura na utekaji wa nduli magufuli ndio unaweza kutathimin sera za upinzan.
uvccm na sukuma gang ni wapumbavu kweli.
 
Umeongea vizuri lkn umekosea pale ulipowalaumu wapinzani, kumbuka upinzani umepita katka tanuru la moto na bado makovu hayajapoa na kibaya zaidi wanachi wenyewe bado sana tena sana katka kujitambua, ni kama viongozi wetu wanaongoza mag'ombe na mambuzi.
 
Huyo Jamaa Ni mjinga Mmoja anaamini katika falsafa za Magufuli za kuua watu na kuiba hela huku akiita watu wanyonge na kuwaaminisha watu kuwa bodaboda na Mama ntilie ni Ajira.
Kila siku haipiti bira kuudhibitisha ujinga wako kwenye hadhira.
 
Tunashukuru haya yanakuja ikiwa Bunge lote ni wana CCM baraza la mawaziri wote ni wana ccm na Viongozo ngazi zote Mkoa, wilaya hadi Kata ni wana ccm


Sisi sijui unataka kumlaumu nani hapa.
😆😆😆
 
Huyo Jamaa Ni mjinga Mmoja anaamini katika falsafa za Magufuli za kuua watu na kuiba hela huku akiita watu wanyonge na kuwaaminisha watu kuwa bodaboda na Mama ntilie ni Ajira.
Eeeh kumbe ana mlengo huo?
 
Demokrasia ni namna bora ya kuwapa wajinga nafasi ya kufanya maamuzi. We fikiria eti kura ya Juma Lokole iwe na thamani na sawa na Kura ya George Ambagile!
Udikteta wa Jamaa ndip ulituletea akina. Msukuma, Mwana Fa na Tale tale.

Sasa sijui mnataka kusemaje ndugu wana jukwaa.
 
Tanbihi:Siku CCM ikibakiwa na kundi moja la kimtazamo wananchi watachoka na kuamua kuchukuwa hatua zao wenyewe kwasababu usitegemee miongo ya hivi karibuni wapinzani kushika dola.
Wanachi hawana shida walishaamua kupitia Sanduku.......hado leo ukihesabu kura za Wananchi kwa Haki ccm haina Chake.

Wananchi sisi tulishaona mbali.....bado watu wenye matumbo yao na uroho wa mali za umma mnatuzidi nguvu.
 
Demokrasia maana yake wengi wape. Kwahiyo kama umekiri kwamba wapumbavu ndiyo wengi na wanaweza kumchagua mpumbavu wao ili atimize matakwa yao ya kipumbavu, kidemokrasia hiyo imekaa vizuri.

Wapumbavu hawataki kuona mambo yenye akili, wanataka mambo ya kipumbavu yapewe kipaumbele. Ukiwalazimisha wafuate mambo yenye akili itakuwa kama umewaweka utumwani.

Kama wapumbavu ni wengi acha wachague mpumbavu mwenzao, ili wafurahie upumbavu wao.
 
Na kwa kuwa wapumbavu ni wengi hopefully na viongozi ni miongoni Mwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…