Mtu wa namna hii unachukua hatua gani?

Mtu wa namna hii unachukua hatua gani?

Choosen85

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2022
Posts
1,143
Reaction score
2,475
Wakuu MUNGU NI MWEMA HATA SASA

Nina rafiki yangu mmoja ambaye tumeshakuwa kama ndugu sasa.

Maana tokea tuko secondary mpk chuo tumekuwa wote mpk ndugu zake nao walishaniona kama ndugu yao tu.

Huyu rafki yng ni mtumish wa MUNGU yaan ni mchungaji na mimi huwa namsaidia pia napopata nafasi naenda uko kanisan kumsaidia kuendesha huduma hasa sku za ibada.

Tatzo linakuja anapokuwa na amani na mkewe bs hata ukmpigia simu hapokei na hakutafuti ingawa atakuta misd col, akiwa amekwaruzana na mkewe muda wote mtawasliana japo kumtia moyo na kushauriana.

Sasa wiki iliyopta jpl aliniambia ameandaa ibada ijumaa akaniomba niwepo ili nimpe kampani nikamwambia asijali takuwepo, shda ikaja tokea sku iyo nikmpgia simu haipokelewi na hanitafuti alipokea sku 1 tu tena napo akasema tutaongea bdae atanitafuta na hakufanya hvyo.

Nikawaza nikasema huyu atanitafuta sku ya ijumaa mapema ili anisistize kwenda kwenye ibada nimpe kampani pale church na ndivyo imekuwa leo mapema sn kanipgia skupokea na mchana kutwa amenitafuta pia skupokea kwani nimegundua jamaa ni kama ananihtaji kwenye mission zake tu ndpo naonekana wa muhimu kwaiyo sijapokea cm yake na sijaenda huko church kwake ukizingatia kwenda na kurudi nauli natumia elfu 10 nlipanga enda ila kwa tabia yake nimestisha na namba zake nimefuta kila mtu ashinde mechi zake tu.

Mbinguni wataingia wenye nguvu ulimwengu wa roho na watatifu tu si kwasababu ya mtu au watu.

Sasa hapo wakuu kuna mahali nimekosea au mnanishauri nini?
 
Fanya uende mwanao anakusubiri kwenye ibada mkuu.

C1D22E3C-EE60-477A-B233-0823ECB1E234.jpeg
 
Jf inazd kupoteza watu wenye afya ya akili mpo mnajadili upuuzi kwmb may be sina kaz ila nategemea enda uko ndo nipate sadaka achen upumbavu. Nimeajiriwa na nina biashara yng hata sasa sjarud hata home yule n rafk yng naye hana njaa na sadaka za washirika ana biashara zake za hardware kuwa mchungaji si kuwa maskini au kutegemea sadaka kama ni rahisi hivyo si wasio na ajira wafungue makanisa wapge hzo hela wanatembeza bahasha zanini wkt kuna short cut ya kupga pesa kiulaini.
 
Kama sio muhimu sana vunga tu usiende,, au nenda ibada ikiisha ukae nae chini umwambie kama anavyokifanyia wewe hupendi..kama ni muelewa atakuelewa 🤗
 
Wakuu MUNGU NI MWEMA HATA SASA

Nina rafiki yangu mmoja ambaye tumeshakuwa kama ndugu sasa.

Maana tokea tuko secondary mpk chuo tumekuwa wote mpk ndugu zake nao walishaniona kama ndugu yao tu.

Huyu rafki yng ni mtumish wa MUNGU yaan ni mchungaji na mimi huwa namsaidia pia napopata nafasi naenda uko kanisan kumsaidia kuendesha huduma hasa sku za ibada.

Tatzo linakuja anapokuwa na amani na mkewe bs hata ukmpigia simu hapokei na hakutafuti ingawa atakuta misd col, akiwa amekwaruzana na mkewe muda wote mtawasliana japo kumtia moyo na kushauriana.

Sasa wiki iliyopta jpl aliniambia ameandaa ibada ijumaa akaniomba niwepo ili nimpe kampani nikamwambia asijali takuwepo, shda ikaja tokea sku iyo nikmpgia simu haipokelewi na hanitafuti alipokea sku 1 tu tena napo akasema tutaongea bdae atanitafuta na hakufanya hvyo.

Nikawaza nikasema huyu atanitafuta sku ya ijumaa mapema ili anisistize kwenda kwenye ibada nimpe kampani pale church na ndivyo imekuwa leo mapema sn kanipgia skupokea na mchana kutwa amenitafuta pia skupokea kwani nimegundua jamaa ni kama ananihtaji kwenye mission zake tu ndpo naonekana wa muhimu kwaiyo sijapokea cm yake na sijaenda huko church kwake ukizingatia kwenda na kurudi nauli natumia elfu 10 nlipanga enda ila kwa tabia yake nimestisha na namba zake nimefuta kila mtu ashinde mechi zake tu.

Mbinguni wataingia wenye nguvu ulimwengu wa roho na watatifu tu si kwasababu ya mtu au watu.

Sasa hapo wakuu kuna mahali nimekosea au mnanishauri nini?
Punguza kumzingatia, muache akutafute kwa muda wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jf inazd kupoteza watu wenye afya ya akili mpo mnajadili upuuzi kwmb may be sina kaz ila nategemea enda uko ndo nipate sadaka achen upumbavu. Nimeajiriwa na nina biashara yng hata sasa sjarud hata home yule n rafk yng naye hana njaa na sadaka za washirika ana biashara zake za hardware kuwa mchungaji si kuwa maskini au kutegemea sadaka kama ni rahisi hivyo si wasio na ajira wafungue makanisa wapge hzo hela wanatembeza bahasha zanini wkt kuna short cut ya kupga pesa kiulaini.
shida umefanya maamuz ndo ukaja kuomba ushauri yan kuuliza km yaan kuuliza km ulichokifanya n sahihi au sio sahihi wanaume kwa hiyo mikausho hata haipendezi akikutafuta pokea simu zake pangeni kukutana mueleze vile anakukwaza km muelewa atajirekebisha usivunje urafiki wenu wa siku nyingi kwa sababu ambayo mwenzako hajui km anakukwaza
 
Back
Top Bottom