Choosen85
JF-Expert Member
- Jun 22, 2022
- 1,143
- 2,475
Wakuu MUNGU NI MWEMA HATA SASA
Nina rafiki yangu mmoja ambaye tumeshakuwa kama ndugu sasa.
Maana tokea tuko secondary mpk chuo tumekuwa wote mpk ndugu zake nao walishaniona kama ndugu yao tu.
Huyu rafki yng ni mtumish wa MUNGU yaan ni mchungaji na mimi huwa namsaidia pia napopata nafasi naenda uko kanisan kumsaidia kuendesha huduma hasa sku za ibada.
Tatzo linakuja anapokuwa na amani na mkewe bs hata ukmpigia simu hapokei na hakutafuti ingawa atakuta misd col, akiwa amekwaruzana na mkewe muda wote mtawasliana japo kumtia moyo na kushauriana.
Sasa wiki iliyopta jpl aliniambia ameandaa ibada ijumaa akaniomba niwepo ili nimpe kampani nikamwambia asijali takuwepo, shda ikaja tokea sku iyo nikmpgia simu haipokelewi na hanitafuti alipokea sku 1 tu tena napo akasema tutaongea bdae atanitafuta na hakufanya hvyo.
Nikawaza nikasema huyu atanitafuta sku ya ijumaa mapema ili anisistize kwenda kwenye ibada nimpe kampani pale church na ndivyo imekuwa leo mapema sn kanipgia skupokea na mchana kutwa amenitafuta pia skupokea kwani nimegundua jamaa ni kama ananihtaji kwenye mission zake tu ndpo naonekana wa muhimu kwaiyo sijapokea cm yake na sijaenda huko church kwake ukizingatia kwenda na kurudi nauli natumia elfu 10 nlipanga enda ila kwa tabia yake nimestisha na namba zake nimefuta kila mtu ashinde mechi zake tu.
Mbinguni wataingia wenye nguvu ulimwengu wa roho na watatifu tu si kwasababu ya mtu au watu.
Sasa hapo wakuu kuna mahali nimekosea au mnanishauri nini?