Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #61
Somo la uwajibikaji ni gumu sana kwa Watanzania na waafrika wengi wewe ni mmoja wao.
Unafikiri watu wote duniani wana imani hiyo ? Hili ni tatizo
Hizo ni akili za kiafrika.Mimi ndoa ninazozijua hazina hayo Madudu.
Najifunza kwenye ndoa zenye mafanikio
Jicho langu halipo kuangalia walioshindwa.
Jicho langu kinaangaliwa ushindi ndio maana ninaona walioshinda kwa kila ninachotazama.
Ni sawa na wanaosema biashara ni ngumu wakati wapo waliofanikiwa, sasa mimi siangalii na siwezi kuwachukulia walioshindwa kwenye jambo lolote kuwa ndio muongozo wangu.
Kuhusu hao uliowataja Unazungumzia walioshindwa.
Kwenye familia lazima awepo kiongozi. Kiongozi huyo anaweza kuwa Mwanamke au mwanaume inategemea na Ishu anayoiongoza ndani ya familia
SinaTafuta kitabu cha Civics form two utapata maana
Sina
lakin msing wa hyo babu na wajuu unaweza ona kabisa n muungano wa kibailojia zaidi [emoji848]Kwa hiyo familia ya Mo na yako zikiungana unakuwa Ukoo mmoja.
Bangi sio nzuri
Familia ni tokeo la kujamiiana kati ya mwanaume na mwanamke bila kujamiiana hakuna watu hakuna serikali.Familia ni small unit katika utawala wa kiumbe aitwaye mwanadamu.
Bila familià hakuna kitu kinaitwa serikali.
KATAA NDOA[emoji3][emoji3]
Kwa uelewa wako unahaki ya kupinga Ndoa Mkuu.
Hizo ni akili za kiafrika.
Kutaka ufanukiwe peke yako.
Angalia china.
Baada ya kupata uhuru waliamua kwenda wote na leo hii ni miongoni mwa mataifa tajiri.
Asilimia kubwa ya raia wake wana uchumi mzuri.
Ili tufanikiwe wote ni lazima tuliangalie tatizo wote kwa ujumla wetu na tulitatue ili wote tufike mahali tunapopataka.
Katika suala la ndoa.
Wanandoa wengi sana wanaishi bila furaha na picha halisi hawawezi kuionesha wakiwa mbele za watu.
Department ya NDOA ina shida tena kubwa tu.
Usihadaike na furaha za watu zinazooneekana kwa nje,ukaamini ndoa zao ziko sawa.
But all in all ni katika kujifunza
unajua soka mzeeFamilia ni tokeo la kujamiiana kati ya mwanaume na mwanamke bila kujamiiana hakuna watu hakuna serikali.
Kwamba wapo walionao ?Soma kwa ufahamu. Kipengele ulichonukuu kinajitosheleza.
"Wanyama wasio na mfumo wa familia"
Familia ni tokeo la kujamiiana kati ya mwanaume na mwanamke bila kujamiiana hakuna watu hakuna serikali.
we unajuaje huyu nafanana nae....?!Ndoa zenye matatizo ni zile ambazo wamechukuana Watu wasiofanana.
Kanuni ya kidunia ya ndoa ni kuoa au kuolewa na mwenza mnayefanana.
Sasa kizazi cha sasa hiyo kanuni hamuitaki. Mnasema ni ubaguzi.
Kunguru acha aolewe na kunguru.
Njiwa na njiwa
Maskini kwa maskini
Mjinga kwa mjinga
Hizo ndio kanuni
S
Kunguru anajuaje huyu ni kunguru mwenziwe?we unajuaje huyu nafanana nae....?!
Hivyo ni sawa kuchumpa kwenye mto wenye mamba wengi ili kuvua samaki ?Kwa uelewa huu una haki ya kupinga Ndoa.
Kila kitu kinachangamoto.
Yaani uache serikali kisa kuna chanagamoto za waasi, magaidi, sijui rushwa, utakuwa na matatizo.
Au uache kufanya biashara kisa kuna chuma ulete, TRA au wezi. Utakuwa hujielewi
Umeona njia nyepesi ni kunipachika ushoga na usagaji.Kuoa na kuolewa ni sehemu ya uwajibikaji wa mwanadamu. Sijui wewe unaelewa je maana ya uwajibikaji.
Sema kwa akili hizo unahaki ya kupinga ndoa. Ni éxceptional. Ni kama mashoga na wasagaji hao ni éxceptional. Tunaheshimu akili na mitazamo yenu
lakin umesema binadamu ni kiumbe mwenye utashi na kunguru hawezi kua binadamuKunguru anajuaje huyu ni kunguru mwenziwe?
Acha kuuliza maswali kama mtu usiyetumia Akili.
Kama wanyama wanajua kuchaguana kwa kufanana wewe Binadamu inashangaza ukiuliza swali kama hilo
lakin hata hao wasagaji na mashoga wanaoana mzee[emoji848] na hapa tupo kuongelea NDOAKuoa na kuolewa ni sehemu ya uwajibikaji wa mwanadamu. Sijui wewe unaelewa je maana ya uwajibikaji.
Sema kwa akili hizo unahaki ya kupinga ndoa. Ni éxceptional. Ni kama mashoga na wasagaji hao ni éxceptional. Tunaheshimu akili na mitazamo yenu
lakin umesema binadamu ni kiumbe mwenye utashi na kunguru hawezi kua binadamu
kama umefika hatua ya kujifananisha na wanyama hyo ni hatari mzee