Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #61
Somo la uwajibikaji ni gumu sana kwa Watanzania na waafrika wengi wewe ni mmoja wao.
Kuoa na kuolewa ni sehemu ya uwajibikaji wa mwanadamu. Sijui wewe unaelewa je maana ya uwajibikaji.
Sema kwa akili hizo unahaki ya kupinga ndoa. Ni éxceptional. Ni kama mashoga na wasagaji hao ni éxceptional. Tunaheshimu akili na mitazamo yenu