Mtu yoyote aliyewahi kuishi na mwanamke/mwanaume na kuunda familia Hawezi kuwekwa katika Kundi la Kataa Ndoa

Mtu yoyote aliyewahi kuishi na mwanamke/mwanaume na kuunda familia Hawezi kuwekwa katika Kundi la Kataa Ndoa

Somo la uwajibikaji ni gumu sana kwa Watanzania na waafrika wengi wewe ni mmoja wao.

Kuoa na kuolewa ni sehemu ya uwajibikaji wa mwanadamu. Sijui wewe unaelewa je maana ya uwajibikaji.

Sema kwa akili hizo unahaki ya kupinga ndoa. Ni éxceptional. Ni kama mashoga na wasagaji hao ni éxceptional. Tunaheshimu akili na mitazamo yenu
 
Mimi ndoa ninazozijua hazina hayo Madudu.
Najifunza kwenye ndoa zenye mafanikio
Jicho langu halipo kuangalia walioshindwa.
Jicho langu kinaangaliwa ushindi ndio maana ninaona walioshinda kwa kila ninachotazama.

Ni sawa na wanaosema biashara ni ngumu wakati wapo waliofanikiwa, sasa mimi siangalii na siwezi kuwachukulia walioshindwa kwenye jambo lolote kuwa ndio muongozo wangu.

Kuhusu hao uliowataja Unazungumzia walioshindwa.
Kwenye familia lazima awepo kiongozi. Kiongozi huyo anaweza kuwa Mwanamke au mwanaume inategemea na Ishu anayoiongoza ndani ya familia
Hizo ni akili za kiafrika.
Kutaka ufanukiwe peke yako.

Angalia china.
Baada ya kupata uhuru waliamua kwenda wote na leo hii ni miongoni mwa mataifa tajiri.
Asilimia kubwa ya raia wake wana uchumi mzuri.

Ili tufanikiwe wote ni lazima tuliangalie tatizo wote kwa ujumla wetu na tulitatue ili wote tufike mahali tunapopataka.

Katika suala la ndoa.
Wanandoa wengi sana wanaishi bila furaha na picha halisi hawawezi kuionesha wakiwa mbele za watu.

Department ya NDOA ina shida tena kubwa tu.

Usihadaike na furaha za watu zinazooneekana kwa nje,ukaamini ndoa zao ziko sawa.

But all in all ni katika kujifunza
 
Ndoa zenye matatizo ni zile ambazo wamechukuana Watu wasiofanana.
Kanuni ya kidunia ya ndoa ni kuoa au kuolewa na mwenza mnayefanana.
Sasa kizazi cha sasa hiyo kanuni hamuitaki. Mnasema ni ubaguzi.

Kunguru acha aolewe na kunguru.
Njiwa na njiwa
Maskini kwa maskini
Mjinga kwa mjinga
Hizo ndio kanuni
S
 
we unajuaje huyu nafanana nae....?!
 
Kwa uelewa huu una haki ya kupinga Ndoa.
Kila kitu kinachangamoto.

Yaani uache serikali kisa kuna chanagamoto za waasi, magaidi, sijui rushwa, utakuwa na matatizo.

Au uache kufanya biashara kisa kuna chuma ulete, TRA au wezi. Utakuwa hujielewi
Hivyo ni sawa kuchumpa kwenye mto wenye mamba wengi ili kuvua samaki ?
 
Kuoa na kuolewa ni sehemu ya uwajibikaji wa mwanadamu. Sijui wewe unaelewa je maana ya uwajibikaji.

Sema kwa akili hizo unahaki ya kupinga ndoa. Ni éxceptional. Ni kama mashoga na wasagaji hao ni éxceptional. Tunaheshimu akili na mitazamo yenu
Umeona njia nyepesi ni kunipachika ushoga na usagaji.

Hili ni tatizo sidhani kama hapa ni mahali sahihi kwangu, siku njema.
 
Kunguru anajuaje huyu ni kunguru mwenziwe?
Acha kuuliza maswali kama mtu usiyetumia Akili.

Kama wanyama wanajua kuchaguana kwa kufanana wewe Binadamu inashangaza ukiuliza swali kama hilo
lakin umesema binadamu ni kiumbe mwenye utashi na kunguru hawezi kua binadamu
kama umefika hatua ya kujifananisha na wanyama hyo ni hatari mzee
 
Kuoa na kuolewa ni sehemu ya uwajibikaji wa mwanadamu. Sijui wewe unaelewa je maana ya uwajibikaji.

Sema kwa akili hizo unahaki ya kupinga ndoa. Ni éxceptional. Ni kama mashoga na wasagaji hao ni éxceptional. Tunaheshimu akili na mitazamo yenu
lakin hata hao wasagaji na mashoga wanaoana mzee[emoji848] na hapa tupo kuongelea NDOA
 
lakin umesema binadamu ni kiumbe mwenye utashi na kunguru hawezi kua binadamu
kama umefika hatua ya kujifananisha na wanyama hyo ni hatari mzee

Kama binadamu mwenye utashi nilitegemea ungeona jinsi ambavyo unatakiwa uonyeshe huo utashi wako kumzidi Kunguru na sio kushindwa kujua mtu au Watu unaofanana nao iwe kimaumbile, kitabia, na kifikra.

Sio kila binadamu ana utashi. Wapo Exceptional ambao ni kama Wanyama, hawana utashi. Ndio hao watakuambia ndoa haina umuhimu, wengine watakuwa mashoga na wasagaji. Mtu mwenye utashi hawezi kufikiri kwa namna hiyo
 
Back
Top Bottom