mudrah
JF-Expert Member
- Nov 17, 2017
- 735
- 1,983
hii nimeipata leoHuwezi penda kitu ambacho hufanana nacho.
Upendo ni lugha nyingine ya kufanana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hii nimeipata leoHuwezi penda kitu ambacho hufanana nacho.
Upendo ni lugha nyingine ya kufanana
kufikil tofauti na ww ndio kutokua na utashi [emoji848]Kama binadamu mwenye utashi nilitegemea ungeona jinsi ambavyo unatakiwa uonyeshe huo utashi wako kumzidi Kunguru na sio kushindwa kujua mtu au Watu unaofanana nao iwe kimaumbile, kitabia, na kifikra.
Sio kila binadamu ana utashi. Wapo Exceptional ambao ni kama Wanyama, hawana utashi. Ndio hao watakuambia ndoa haina umuhimu, wengine watakuwa mashoga na wasagaji. Mtu mwenye utashi hawezi kufikiri kwa namna hiyo
same na kuku na wanyama wengne wanazaa tu then wanaacha watoto walelewe na mama zaoKama maumbile yao yanawaruhusu kuzaa watoto basi hiyo ni ndoa.
Ndio maana bado nasema FaizaFoxy anawaambia mmeenda shule kusomea ujinga
same na kuku na wanyama wengne wanazaa tu then wanaacha watoto walelewe na mama zao
and ukasema ndoa ni majukumu pia [emoji848] sasa kama nitaoa na kuzaa kama kuku heshima na huo utash unao sema uko wap hapo...?!
kufikil tofauti na ww ndio kutokua na utashi [emoji848]
hii nimeipata leo
sawa mzee ngoja niishie hapa [emoji1666]Kuku anautawala?
Utashi unaendana pia na Utawala na Mamlaka.
Mkuu kwa idhini yako naomba nikuache au vinginevyo nijue umri wako ili nijue najadiliana na wewe kwa namna ipi.
Huwezi ukaenda kwenye Jamii ya simba useme ndoa haina maana wenyewe watakuona hamnazo kwa sababu ndoa na utawala ni mambo yanayoenda sambamba.
sawa mzee ngoja niishie hapa [emoji1666]
lakin sio ndoaAsije akakudanganya mtu .
Familia ndio jambo namba moja katika maisha
yote hayo naweza yapata bira NDOAKUOA = KUISHI NA MWANAMKE.
huko vijijini kijana anachukua mwanamke wanaishi pamoja wanazaa watoto na kujenga familia bila ya sherehe wala vyeti vya kanisa wala serikali.
Wewe unayekataa kuoa je?
1. Hutaki kutomba?
2. Hutaki kuzaa watoto?
3. Hutaki mwanamke wa kukufariji?
Vijana mbona mnajipoteza wenyewe.
Kivp?yote hayo naweza yapata bira NDOA
kutiana wanawake wapo tu hata ukitoka hapo nje unakutana naoKivp?
Ngoja nikuulize swali,
wewe unaweza ishi na mwanamke yaani Mnalala kitanda kimoja kila siku?
Ukikua utaachaSina haja hiyo kwa sababu nimekamilika kiasi kwamba naweza kuishi msituni miaka 100.
Nina watoto.
Ninauwezo wa kumpata mwanamke yoyote kwa wakati wowote.
NDOA YA NINI KAMA KUNA USALITI
NDOA YA NINI KAMA KUNA KUCHEPUKA
NDOA YA NINI KAMA KUNA KUUANA.
NDOA YA NINI KAMA KUNA KUDHALILISHANA.
NDOA HALISI NA AMBAYO NINGEWEZA KUIINGIA KWAYO NI NDOA ZA WAZEE WETU.
NDOA ZILIZOJAA UPENDO,KUHESHIMIANA,KULINDANA,UADILIFU NA MENGINE MENGI.
Hakuna kitu kama icho ndugu yani bila cheti cha ndoa hawawezi kua mke na mume bali watakua ni mahawala walio ishi kwa muda mrefuKuishi na mwanamume au mwanamke (jinsia tofauti) kinyumba chini ya paa moja kwa zaidi ya miaka miwili huyo ni mkeo/mumeo
KATAA NDOA NI KAMPENI INAYOENDESHWA KWA UHURU
SI NA WANAUME TU BALI HATA WANAWAKE.
MADHUMUNI MAKUBWA NI KUPINGA UTAPELI UNAOFANYIKA KWA KIGEZO CHA MKATABA WA NDOA.
UKIPINGA PINGA KWA hoja
Kwenye utawala au mamlaka pesa hutafutwa. Lakini uaminifu, upendo, haki uadilifu, umoja, kujitoa ndio misingi ya Utawala ikiwemo familia.
Mwanaume kiasili ni mtawala.
Sasa fikiria ati Rais hataki utawala kisa kuna Waasi, wapindua nchi, magaidi n.k.
Hivyo ni vitu vya kawaida katika kuongoza na kutawala jambo lolote
kutiana wanawake wapo tu hata ukitoka hapo nje unakutana nao
watoto ni matokeo ya kutiana
kufarijiana ninao washkaj ndugu bmkubwa pia yupo so sina shida hapo
kuish ukimaanisha kila siku yupo tu ndan au anakuja na kusepa...?!
Hakuna kitu kama icho ndugu yani bila cheti cha ndoa hawawezi kua mke na mume bali watakua ni mahawala walio ishi kwa muda mrefu
Si ndio hapo Sheria ya Ndoa ya Tanzania inaruhusu mwanamke hata wa miaka 15 aolewe ila Kwa IDHINI ya wazazi au walezi wake.Ukiacha hisia zako binafsi kwa mujibu wa sheria za jamhuri ya muungano wa Tanganyika na Zanzibari inasema ndoa ni Nini?