Si ndio hapo Sheria ya Ndoa ya Tanzania inaruhusu mwanamke hata wa miaka 15 aolewe ila Kwa IDHINI ya wazazi au walezi wake.
Nimenukuu kipengele hicho cha Sheria hapo chini
"17. Requirement of consent
(1)A female who has not attained the apparent age of eighteen years shall be required, before marrying, to obtain the consent—
(a)of her father;
(b)if her father is dead, of her mother; or
(c)if both her father and mother are dead, of the person who is her guardian."
Na sio kama mtoa posti anavyoeleza eti numemnukuu
"haihitaji ruhusa ya Wazazi, sijui taasisi ya dini gani huko, sijui serikali. Yaani serikali inaweza isiwepo lakini ndoa ikawepo, wazazi wanaweza wasiwepo lakini ndoa ikawepo, taasisi za dini zinaweza zisiwepo lakini Ndoa ikawepo. Hiyo tosha inatakiwa ikuonyeshe kuwa Maamuzi na makubaliano ya wawili(me na ke) ndio independent Factor. Hizo zingine ni dependent Factors."
Onyo usijaribu kuoa mwanamke wa miaka 15 - 18 Bila idhini ya wazazi au walezi wake ,