Mtuhumiwa wa Ubakaji amwambia Mwandishi wa Habari “Afu we Camera man nikimaliza kesi ntakutafuta”

Mtuhumiwa wa Ubakaji amwambia Mwandishi wa Habari “Afu we Camera man nikimaliza kesi ntakutafuta”

Hawa ma lawyer wa mchongo wanaingizaga Sana watu Cha kike. Yaani anakupangaa weeh, unajiona hii kesi nachomoka....kumbee!
Ha ha ha. Sheria imechukua mkondo wake. Sasa wanaenda wao kuolewa jela
 
Hamna kesi pale.

Ushahidi umekaa ovyo sana kuthibitisha lile kosa. Kwa kuangalia mambo yafuatayo kwa haraka:-

1. Video inaonesha mmoja tu ndo anapiga mzigo. (Kumbuka kosa ni gang rape)

2. Muda wa mtuhumiwa alokuja kupimwa na daktari almost mwezi na siku kadhaa zimepita.

3. Tunaanza na authentification ya electronic evidence.

Na mambo mengine kibao, Hapo Nyundo anachomoka mapema sana ndo mana unaona anadandia gari kwa mbwembwe vile!...

Mtakuja kunambia
Bush Lawyer umewaponza.
 
Jamaa wapuz kweli mtu una kesi
Bado unaipalilia moto,
Uko mahakamani unamtisha mwandishi tena haya sasa subiri utoke sasa

Ova
 
Ukiwa nje ya field huwez elewa.

Ngoja wakate rufaa alafu uone kama hawajachomoka saa 12 asubh mapema sana
Swali ni je jamaa walibaka kweli au hawakubaka ni wamesingiziwa tu!? Lete jibu moja tu, siyo unaanza eti uko nje ya field, au unataka kusema tulio nje ya field hatujui kabisa jema na baya!? Achaa kuegemea sana kwenye technicalities ndiyo ushinde kesi yako!!
 
Swala sio kubaka au kutobaka.

Swala ni kuthibitisha bila kuacha shaka😂😂
 
Swala sio kubaka au kutobaka.

Swala ni kuthibitisha bila kuacha shaka[emoji23][emoji23]
Hadi wamehukumiwa,basi upande wa Jamuhuri umeweza kuthibitisha bila kuacha shaka,ndiyo maana kina Nyundo wakala Nyundo!!
 
Hamna kesi pale.

Ushahidi umekaa ovyo sana kuthibitisha lile kosa. Kwa kuangalia mambo yafuatayo kwa haraka:-

1. Video inaonesha mmoja tu ndo anapiga mzigo. (Kumbuka kosa ni gang rape)

2. Muda wa mtuhumiwa alokuja kupimwa na daktari almost mwezi na siku kadhaa zimepita.

3. Tunaanza na authentification ya electronic evidence.

Na mambo mengine kibao, Hapo Nyundo anachomoka mapema sana ndo mana unaona anadandia gari kwa mbwembwe vile!...

Mtakuja kunambia
Video inaonyesha wazi,ushahidi bila chenga halafu unaandika mashudu,watu mna funza vichwani kweli
 
Swala sio kubaka au kutobaka.

Swala ni kuthibitisha bila kuacha shaka😂😂
Imethibitishwa bila shaka ndo maana hukumu imetolewa , kungekua na doubt yoyote wasingehukumiwa wangeachiwa huru
 
Video inaonyesha wazi,ushahidi bila chenga halafu unaandika mashudu,watu mna funza vichwani kweli
Hao ndiyo mawakili wakina Nyundo,wanajifanya eti hawajui maumbile ya mbele na maumbile ya nyuma ya mwanadamu yako wapi!? Aisee kuna watu wazima tena wasomi waliobobea wanajua kujizima Data!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cheki hili punga nalo.

Anyway, naisev hii alafu nitarud baada ya rufaa
Ushahidi pekee unaoweza kuokoa hao vijana kwenye rufaa ni kama wataweza kuithibitishia Mahakama bila shaka kua siku hiyo video ina recordiwa wao hawakuwepo Nchini au walikua kambini!!
 
Back
Top Bottom