Mtuhumiwa wa Ubakaji amwambia Mwandishi wa Habari “Afu we Camera man nikimaliza kesi ntakutafuta”

Mtuhumiwa wa Ubakaji amwambia Mwandishi wa Habari “Afu we Camera man nikimaliza kesi ntakutafuta”

Jamaa wana uhakika kabisa watashinda kesi, hata mwanasheria EEM M anaamini hivyo.
Hamna kesi pale.

Ushahidi umekaa ovyo sana kuthibitisha lile kosa. Kwa kuangalia mambo yafuatayo kwa haraka:-

1. Video inaonesha mmoja tu ndo anapiga mzigo. (Kumbuka kosa ni gang rape)

2. Muda wa mtuhumiwa alokuja kupimwa na daktari almost mwezi na siku kadhaa zimepita.

3. Tunaanza na authentification ya electronic evidence.

Na mambo mengine kibao, Hapo Nyundo anachomoka mapema sana ndo mana unaona anadandia gari kwa mbwembwe vile!...

Mtakuja kunambia
 
Hyo style ya kurukia gar hata mim ilinishangaza,sjui ndo anatangaza ukomavu wake
 
Watuhumiwa wanne wa kesi ya Ubakaji na ulawiti ambao ni Askari wa Jeshi la Wananchi (JWTZ) MT 140105 Clinton Damas maarufu Nyundo, Amini Lema maarufu Kindamba, Nickson Jackson maarufu Machuche na Askari wa Jeshi la Magereza C 1693 Praygod Mushi wakiondolewa mahakamani jioni hii kurudishwa mahabusu mpaka Agosti 28, 2024 ambapo kesi hiyo itaendelea tena.

Nyundo na wenzake wakati wakitoka Mahakamani mmoja wao alisikika akimwambia Cameraman kuwa akifanikiwa kumaliza kesi yao atamtafuta "Wewe cameraman nikimaliza kesi nitakutafuta" Endelea Kufuatilia kurasa Zetu kufahamu Kuhusu kilichojiri Mahakamani kuhusu Kesi hii leo Agosti 23, 2024.

Sijui kwanini... Lakini inaonekana kwenye hii kesi hao watuhumiwa wataachwa huru.
Sura za kwenye zile video ni tofauti kwa sehemu na hizi za hawa wanaoburuzwa mahakamani!
Nipo tayari kukosolewa!
 
Hakuna ushahidi wa kuwatia hatiani
Hao hawafungwi
Wataachiliwa huru
Hawajabaka wala kulawiti huo ushahidi haupo wazi.
Mtu aliyebakwa ushahidi unaonekana hapa hapo, Sasa huyo kabakwa mwezi wa nne,ashaoga ashasugua huo uchi Kwa maji na sabuni watapata wapi ushahidi.
We jamaa unaonekana uko shallow Sana. Unafikiri ww unaakili kuliko DPP?
Yaani Kama hakuna jinai hata wao wasingehangaika kutafuta mawakili. Maana hakimu angeona tu kwamba hawana kesi ya kujibu.
Yaani kwa akili zako mtu akubakwa wanaangalia uchi tu?
Hujaona Hadi mtaalamu wa mawasiliano kapelekwa kutoa ushahidi?
 
Mtu yoyote anayefanya ubakaji ujue haina akili za kutosha, aozee gerezani.
 
Hamna kesi pale.

Ushahidi umekaa ovyo sana kuthibitisha lile kosa. Kwa kuangalia mambo yafuatayo kwa haraka:-

1. Video inaonesha mmoja tu ndo anapiga mzigo. (Kumbuka kosa ni gang rape)

2. Muda wa mtuhumiwa alokuja kupimwa na daktari almost mwezi na siku kadhaa zimepita.

3. Tunaanza na authentification ya electronic evidence.

Na mambo mengine kibao, Hapo Nyundo anachomoka mapema sana ndo mana unaona anadandia gari kwa mbwembwe vile!...

Mtakuja kunambia
Bush lawyer unaendeleaje?
 
Hapo hamna kesi hakuna ushahidi dhahiri wa kuwatia hatiani
Mahakama haifanyi kaZi Kwa hisia
Hao jamaa hakuna hakimu mwenye akili timamu atawatia hatiani
Kwa hiyo hakimu aliyewatia hatiani Leo Hana akili sio....ndugu mwanasheria?
 
Back
Top Bottom