EEM M
JF-Expert Member
- May 20, 2022
- 459
- 937
Hamna kesi pale.Jamaa wana uhakika kabisa watashinda kesi, hata mwanasheria EEM M anaamini hivyo.
Ushahidi umekaa ovyo sana kuthibitisha lile kosa. Kwa kuangalia mambo yafuatayo kwa haraka:-
1. Video inaonesha mmoja tu ndo anapiga mzigo. (Kumbuka kosa ni gang rape)
2. Muda wa mtuhumiwa alokuja kupimwa na daktari almost mwezi na siku kadhaa zimepita.
3. Tunaanza na authentification ya electronic evidence.
Na mambo mengine kibao, Hapo Nyundo anachomoka mapema sana ndo mana unaona anadandia gari kwa mbwembwe vile!...
Mtakuja kunambia