Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna tuhuma kuwa baadhi ya watuhumiwa wakiwa wanahojiwa wanaingizwa vitu makalioni ikiwemo dushe.....Watuhumiwa wanne wa kesi ya Ubakaji na ulawiti ambao ni Askari wa Jeshi la Wananchi (JWTZ) MT 140105 Clinton Damas maarufu Nyundo, Amini Lema maarufu Kindamba, Nickson Jackson maarufu Machuche na Askari wa Jeshi la Magereza C 1693 Praygod Mushi wakiondolewa mahakamani jioni hii kurudishwa mahabusu mpaka Agosti 28, 2024 ambapo kesi hiyo itaendelea tena.
Nyundo na wenzake wakati wakitoka Mahakamani mmoja wao alisikika akimwambia Cameraman kuwa akifanikiwa kumaliza kesi yao atamtafuta "Wewe cameraman nikimaliza kesi nitakutafuta" Endelea Kufuatilia kurasa Zetu kufahamu Kuhusu kilichojiri Mahakamani kuhusu Kesi hii leo Agosti 23, 2024.
Itakua kafuta....Unapenda kula wewπ
Sijaona amefuta au
Sijajua kama huyu ndugu nae ni askari, lakini kinachoendelea kinatakiwa kiwe ujumbe kwa majeshi yetu.Ni utovu wa nidhamu wa Hali ya juu sana,kwanza kwa binadamu aliyelelewa ktk maadili mazuri hapo anajua ni kosa kabisa kuingilia kazi ya mtu pia ni wazi Kuna shida katika makuzi ya sasa maana kwa Hali aliyonayo mtuhumiwa angekuwa anajuta. Na pengine kuwa mtu wa sala na toba na pia mtu mtulivu maana ni kwa Nini awe yeye na siyo mtu mwingine,hili Ndo swala la msingi angekuwa anajiuliza.Naisi wazazi wa Leo Kuna sehemu tunakosea,Ina maana akitoka afanye Tena jinai,duh Dunia inapitia pabaya sana.
Labda wawe ni fake wawataje wahusika halisiDuh aiseee hivyo anajiamini watashinda na kurudi uraiani
Kesi za ubakaji haziko hivo,
K ishaoshwa Kwa miezi minne daktari ataona Nini?
Si unajua mabinti wa uswazi mkuu wazazi hawapo pamoja binti yuko huru tu akaona shule inambana kaacha akiwa sekondari akawa anazurura tu na kubadili wanaume.Mkuu naomba tuongee vizri hapa..
Nimestuka mpaka nilitaka kumeza ulimi..
Weka vizr hapo ilikuaje yaani katembeq na msichana na sio mwanafunzi na kafungwa .
Na kafungwa miaka 30
Taratibu usianze kuwananga wapishi wetu sasa huko kwenye sherehe...ππLeo naenda kwenye sherehe aisee ni huko huko naenda kuitendea haki ela yangu ππ
Yaani ulijuaje nakereka kula chakula kibaya mmππTaratibu usianze kuwananga wapishi wetu sasa huko kwenye sherehe...
We nenda kale kimya kimya ππππππ
Ndo nature ya watu wanaojua kupika sanaaaaa.....Yaani ulijuaje nakereka kula chakula kibaya mmππ
Arsenal wapi na wewe au we ndo umekula kaya?Kavuta bangi alikuwa nyundo mwenyew mzee wa Arsenal
Ukimsoma huyu jamaa unaweza ukaamini hamna polisi au wanajeshi waliofungwa kule magereza.Hamna kitu hapo tanzania hii haifungi askari yaani ufunge afande tanzania askari tanzania anapigiwa magoti demu kashaliwa na hamna watalofanywa hao
Hamna kesi hapo weweUkimsoma huyu jamaa unaweza ukaamini hamna polisi au wanajeshi waliofungwa kule magereza.
Halafu aliyeambiwa cameraman ni mwanamkeNyundo na wenzake wakati wakitoka Mahakamani mmoja wao alisikika akimwambia Cameraman kuwa akifanikiwa kumaliza kesi yao atamtafuta "Wewe cameraman nikimaliza kesi nitakutafuta" Endelea Kufuatilia kurasa Zetu kufahamu Kuhusu kilichojiri Mahakamani kuhusu Kesi hii leo Agosti 23, 2024.