Mtuhumiwa wa Ubakaji amwambia Mwandishi wa Habari “Afu we Camera man nikimaliza kesi ntakutafuta”

Yeah, court martial wanautaratibu wa tofauti kabisa, unahojiwa mara chache tu kisha unapigwa risasi.

Kwa hiyo mwanajeshi ukimleta kwenye mahakama za kiraia, anaona kama ni wali biriani.
Aaliyyah kila nikiona mambo ya chakula chakula nakukumbuka....

Umeona wali biriani hapo chakula ya mjeda....
😁😁😁😁😁😂😂😂😂😂
 
Alitembea na msichana wa mtaani (under 18 Ila hakuwa mwanafunzi)
Mkuu naomba tuongee vizri hapa..
Nimestuka mpaka nilitaka kumeza ulimi..

Weka vizr hapo ilikuaje yaani katembeq na msichana na sio mwanafunzi na kafungwa .
Na kafungwa miaka 30
 
Watuhumiwa wanne wa kesi ya Ubakaji na ulawiti ambao ni Askari wa Jeshi la Wananchi (JWTZ) MT 140105 Clinton Damas maarufu Nyundo, Amini Lema maarufu Kindamba, Nickson Jackson maarufu Machuche na Askari wa Jeshi la Magereza C 1693 Praygod Mushi wakiondolewa mahakamani jioni hii kurudishwa mahabusu mpaka Agosti 28, 2024 ambapo kesi hiyo itaendelea tena.

Nyundo na wenzake wakati wakitoka Mahakamani mmoja wao alisikika akimwambia Cameraman kuwa akifanikiwa kumaliza kesi yao atamtafuta "Wewe cameraman nikimaliza kesi nitakutafuta" Endelea Kufuatilia kurasa Zetu kufahamu Kuhusu kilichojiri Mahakamani kuhusu Kesi hii leo Agosti 23, 2024.

Kitu Gani kinampa nguvu ya kutamka hayo Tena mbele ya askari
 
Amewazoea jua pia na yeye ni mmoja wao mkuu...

Yaani unakutana na wenzako uwanja wa nyumbani 😁 😁 😁 😁

Pia kiufupi tu mwanajeshi katika kesi za mahakama za kawaida kama izo kwake ni sawa kaletewa wali biriani...
Au chapati na marage
 
Nchi ikishafikia hatua kuwa na askari wa aina hii hatari iliyoko ya taifa ni kubwa.

Ingekuwa jambo hili limetokea nchi za watu wenye akili hawa wa geshazikwa kwenye kaburi la pamoja muda huu.

Ile video waliyojirekdi ilitosha kabisa kutenganishwa vichwa na miili yao.

Kwa mtu mwenye akili unashinda kuamini aina ya akili ya watu hawa ambao ni waajiriwa wa serikali.

Mf.Askari JW anapata wapi njaa za kukodiwa na WP ili akafanye unyama kisha kujirekodi?

Hapa nchi imeaibishwa sana pamoja na amiri jeshi mkuu.

Hatuezi kuwa na jeshi linalobaka raia iwe hadharani au mafichoni.

Huu ni mwanzo wa uasi wa wazi. Kwa ajili ya usalama wa nchi hawa hawatakiwi kurudi mtaani wakiwa hai na hapo ndipo italeta heshima ya majeshi.

Jeshi letu linasifika kwa nidhamu sana. Haya mapaka yasiruhusiwe kuwepo kabisa
 
Kesi yao adhabu ni jela maisha....hawawezi kuchomoka hao WAHUNI na kama wakichomoka basi sheria zetu zitakuwa za ovyo sana.
Hakuna ushahidi wa kuwatia hatiani
Hao hawafungwi
Wataachiliwa huru
Hawajabaka wala kulawiti huo ushahidi haupo wazi.
Mtu aliyebakwa ushahidi unaonekana hapa hapo, Sasa huyo kabakwa mwezi wa nne,ashaoga ashasugua huo uchi Kwa maji na sabuni watapata wapi ushahidi.
 
Ingekuwa hivyo basi jinai ingekuwa na muda wa kuisha , yaani ukibaka na ukaonwa halafu mtu akaenda kuoga inafuta jinai? Hakuna ushahidi wa kimazingira? So daktari unadhani alienda kuthibitisha nini hata kama miezi minne imepita?
 
Hamna kitu hapo tanzania hii haifungi askari yaani ufunge afande tanzania askari tanzania anapigiwa magoti demu kashaliwa na hamna watalofanywa hao
dogo unaongea hadithi. Kapteni wa jwtz alifungwa kifungo miaka ya 2002 akiwa huko alijinyonga. waliomuua Swebe askari wa jkt walifungwa maisha. sijui unaongea nini. ni kweli tz ni nchi ya kipumbavu lakini amini kwamba hao machalii ni mbuzi wa kafara wanakwenda na maji. yule aliyewatuma kuna namna buku kuruka kesi bila hata kulindwa. madogo ni viazi imekula kwao
 
Waandishi wa habari nao wamezidi ufukunyungu, mtu ameshapelekwa kwenye chombo Cha sheria mnakwenda kumgasi wa nini? Uhuru wa mahakama ni pamoja na kutokuongilia mchakato wowote wa haki iache mahakama itimize wajibu wake msiwatir stress wateja wake
 
Ingekuwa hivyo basi jinai ingekuwa na muda wa kuisha , yaani ukibaka na ukaonwa halafu mtu akaenda kuoga inafuta jinai? Hakuna ushahidi wa kimazingira? So daktari unadhani alienda kuthibitisha nini hata kama miezi minne imepita?
Kesi za ubakaji haziko hivo,
K ishaoshwa Kwa miezi minne daktari ataona Nini?
 
Ingekuwa hivyo basi jinai ingekuwa na muda wa kuisha , yaani ukibaka na ukaonwa halafu mtu akaenda kuoga inafuta jinai? Hakuna ushahidi wa kimazingira? So daktari unadhani alienda kuthibitisha nini hata kama miezi minne imepita?
humu unaweza kudhani unaongea na mtu kumbe hazijatimia. wanapayuka usenge madogo.
 
Watuhumiwa wanne wa kesi ya Ubakaji na ulawiti ambao ni Askari wa Jeshi la Wananchi (JWTZ) MT 140105 Clinton Damas maarufu Nyundo, Amini Lema maarufu Kindamba, Nickson Jackson maarufu Machuche na Askari wa Jeshi la Magereza C 1693 Praygod Mushi wakiondolewa mahakamani jioni hii kurudishwa mahabusu mpaka Agosti 28, 2024 ambapo kesi hiyo itaendelea tena.

Nyundo na wenzake wakati wakitoka Mahakamani mmoja wao alisikika akimwambia Cameraman kuwa akifanikiwa kumaliza kesi yao atamtafuta "Wewe cameraman nikimaliza kesi nitakutafuta" Endelea Kufuatilia kurasa Zetu kufahamu Kuhusu kilichojiri Mahakamani kuhusu Kesi hii leo Agosti 23, 2024.

Hana lolote huyo asifikiri kila mtu ni mdada. Camera man angempa namba ya simu kabisa
 
Watuhumiwa wanne wa kesi ya Ubakaji na ulawiti ambao ni Askari wa Jeshi la Wananchi (JWTZ) MT 140105 Clinton Damas maarufu Nyundo, Amini Lema maarufu Kindamba, Nickson Jackson maarufu Machuche na Askari wa Jeshi la Magereza C 1693 Praygod Mushi wakiondolewa mahakamani jioni hii kurudishwa mahabusu mpaka Agosti 28, 2024 ambapo kesi hiyo itaendelea tena.

Nyundo na wenzake wakati wakitoka Mahakamani mmoja wao alisikika akimwambia Cameraman kuwa akifanikiwa kumaliza kesi yao atamtafuta "Wewe cameraman nikimaliza kesi nitakutafuta" Endelea Kufuatilia kurasa Zetu kufahamu Kuhusu kilichojiri Mahakamani kuhusu Kesi hii leo Agosti 23, 2024.

Vijana wamepewa Baraka kulindwa na na jeshi ya kumlawiti na kufira wananchi
Wanajiamini sana
 
Back
Top Bottom