masoud mshahara
JF-Expert Member
- Mar 31, 2018
- 4,712
- 2,010
Mbona unazunguka KUFURU Paulo anazijua kwelikweliUnajua kuitakidi [emoji117] Mwenyezi, Malaika Gabriel, Yesu Ambao ni waasisi Wa Itikadi ya Uwana Wa Mungu ni makafir [emoji15] [emoji47] sio?
Tabu iko pale pale ata ukikenua meno kama chai jaba[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Maligo ndio nini wewe? unajibujibu tu kipigo kimekuwa kikali kama cha mbwa koko ahahahahaahhahhahajahahaKapiga kata.3 badala ya maligo [emoji12]
taja full adress wacha kutajataja vitu nusu , msimbazi kubwa sema ulipo tuje tukuvue ujinga uliokukaa kuhusu kuwapa uungu wajamba mashuzi ahahahahwala usisumbuke kunisaka Mimi nipo Msimbazi unguja dar ni shughuli zangu...Ukiwa tayari weka miadi nije wapi..[emoji4]
Kala.. Suleiman wala Daudi hawakua manabi na wao si njia ya uzima katika ukristo. Wakristo ni wanafunzi na waumini wa Yesu.Ahahahahahhahahahahaha mzinzi kama selemani(alikuwa na 700) au kama Yakobo(Israel) alikuwa na wawili na vijakazi wawili , halafu kuhusu kukopi hayo ni maneno ya vijiweni
QURAN 69:43
",Ni uteremsho utakao kwa mola wa mlezi wa walimwengu wote";
hapa porojo na blah blah sio mahali pake
Ukristo ni iman/agano kati ya individual na Mungu kwa njia ya kristo. Hakuna taasisi au dhehebu kama daraja. Ukatoloki au Usabato ni matenegenezo ya wanadamu si Yesu. Yesu hajaruhusu ushoga. PeriodHao ni wakristo wenzenu tena wakatoliki wameruhusu ushoga , sasa unataka tuseme wahindi ?
Huyo yesu katika kwenye kabila la Israel , unajua huyo muasisi wa waisrael alikuwa na wanawake wangap? alikuwa na wawili(mtu na dada yake) alivyoona aitoshi akapiga vijakazi wawili , hoja kwahiyo kama wanwake wengi ni uzinzi hata yesu katoka kwenye KOO ya uzinzi ahahhahaahKala.. Suleiman wala Daudi hawakua manabi na wao si njia ya uzima katika ukristo. Wakristo ni wanafunzi na waumini wa Yesu.
Mhamed mzinzi ndo maana akawahidi wafuasi wake mabikra mkienda mbinguni. Haha mbinguni mkabikri. Tetee
Neno la Mungu sio neno la SHIGONGO, ahahhahaahahaha unajitetea ujinga kabisa , tukio ambalo unadai uokovu limejaa utapeli mtupu , roho mtakatifu aliewaongoza waandishi bila shaka alikuwa aoni ahahahhhhahahhahahhahajaj
Elewa matukio yalikua mengi na kuna mengi tu unrecorded. Roho aliwawia waandishi huandikà kila waandishi kona yake. Hoja ni hayakizani.Waangeandika kwa akili zao ungekuwa sahihi, lakini kama waliandika kwa uwezo wa roho mtakatifu unachekesha , vinginevyo huyo roho mtakatifu anamakengeza aoni vizur kwahiyo anafanana na wew
Ahahahaahahahahahahahahahahahaaha wanafunzi wa yesu kuna mahali popote waliitwa wakristo ? nani alimiambia nyie muitwe wakristo?Ukristo ni iman/agano kati ya individual na Mungu kwa njia ya kristo. Hakuna taasisi au dhehebu kama daraja. Ukatoloki au Usabato ni matenegenezo ya wanadamu si Yesu. Yesu hajaruhusu ushoga. Period
Tunazungumzia Joshua si Musa. Stick to the point.Pole sana ebu rudi darasani Musa alikuwa nani?
Tukio limejaa utapeli mtupu unamsingizia yesu uongo , wapi yesu alikwambia nyekundu ndio dhambarau ? unamzushia uongo roho mtakatifu wakati uongo mmeandika wenyeweYesu Aliye MWALIMU WANGU MKUU NA KIGEZO CHANGU alifundisha kwa "MIFANO" Ndiye ninaye MGEZA [emoji123] [emoji106] Unachekesha sana kila wakati unamuelezea Roho Mtakatifu Roho Mtakatifu....[emoji12] wakati baba kassim amekufahamisha kuwa Ilimu ya hukupewa [emoji117] View attachment 867934 kila siku hutaki kukubaliana na baba kasimu huku na wewe unajiita muislamu [emoji15] [emoji12]
Joshua alipewa agizo la kupigana vita na nani?tuanzie hapoTunazungumzia Joshua si Musa. Stick to the point.
Matukio kuwa mengi haikupi uhalali wa kufanya makosa ya kiuandishi, ahahahhhahahhahhahahaah yaani unajitetea ujinga maandiko ya Mungu yawe na makosa maandiko ya SHIGONGO yawe na makosa, sasa kuna haja gani kuongozwa na roho mtakatifu? kumbe ata akikuongoza makosa yapo pale paleElewa matukio yalikua mengi na kuna mengi tu unrecorded. Roho aliwawia waandishi huandikà kila waandishi kona yake. Hoja ni hayakizani.
Asante. Kwa kukiri kuwa Mohamed ni mtu wa madem. Nabii pekèe alitumia dini kupata mademu. Nabii pekee aliongoza vita kueneza dini aluteka watu na kuwalazimisha kuslimu na kuzurumu ali za watu.Huyo yesu katika kwenye kabila la Israel , unajua huyo muasisi wa waisrael alikuwa na wanawake wangap? alikuwa na wawili(mtu na dada yake) alivyoona aitoshi akapiga vijakazi wawili , hoja kwahiyo kama wanwake wengi ni uzinzi hata yesu katoka kwenye KOO ya uzinzi ahahhahaah
Alisema.... enendeni ulimwenguni mkawafanye mataifa kuwa wanafunzi wangu.Ahahahaahahahahahahahahahahahaaha wanafunzi wa yesu kuna mahali popote waliitwa wakristo ? nani alimiambia nyie muitwe wakristo?
Neno "kuondoa uzushi" zama hizo lilikuwa halipo eeh [emoji47] [emoji12]Ataondoa uzushi wa kumfanya yeye Mungu wakati ni kiumbe kama wewe tu ahahahaahaaha na misalaba ataivunja kwelikweli mpaka mkome kuivaa mashingoni
Haha. Hakuna makosa katika biblè. Bali katika Quroan . Eti Allah akaesema jua hua linazama kwenye matope meusi.Matukio kuwa mengi haikupi uhalali wa kufanya makosa ya kiuandishi, ahahahhhahahhahhahahaah yaani unajitetea ujinga maandiko ya Mungu yawe na makosa maandiko ya SHIGONGO yawe na makosa, sasa kuna haja gani kuongozwa na roho mtakatifu? kumbe ata akikuongoza makosa yapo pale pale
Hoja yako aina mashiko kabisa kuhusu mademu kuhusu vita watu wengi wakiwemo manabii walipigana na kushiriki vita kama Musa hata nabii Samweli kama hujui ndie aliemuua mfalme AGAGI yule wa Amaleki baada ya Mungu wako kutoa amri ya kuuliwa amaleki wote lakini mfalme sauli akaona noma, na hii ndio sababu ya Sauli kupokonywa ufalme KUSHINDWA KUUA AMELEKI WOTE , sasa hapa hoja hakuna, tukija kwa wanawake hata Musa aliwateka na akawafanya vijakazi na wengine waisrael wakawafanya wake, kuhusu kueneza uislamu kwa vita hilo ni dai lisilo na mashiko nakuuliza swali ni njia gani waisrael walipotoka misri walitumia kuwaondoa wenyeji wa nchi ya ahadi?Asante. Kwa kukiri kuwa Mohamed ni mtu wa madem. Nabii pekèe alitumia dini kupata mademu. Nabii pekee aliongoza vita kueneza dini aluteka watu na kuwalazimisha kuslimu na kuzurumu ali za watu.
Yesu ni mfalme wa Amani.
Kama umekubali biblia inamakosa hilo ni tatizo lenu kuendelea kushikilia kitabu chenye makosa( kosa umelijua bado umelikumbatia) ahahaaahhahhahahaah kuhusu Quran hakuna makosa mtoa mada tulishampa maelezo na akaingia mitini kimya kimyaHaha. Hakuna makosa katika biblè. Bali katika Quroan . Eti Allah akaesema jua hua linazama kwenye matope meusi.
Hayo matope sijui yako Australia , Japan au Alaska. Mungu gani huyo hajui Geography.
Mara Wasamaria waliwasaidia Hebrew kujenga sanamu wakiwa katika exodus. Allah hakujua usamalia haikua identify wakati wa Exodus. Hapo quron inafell vibaya historically . Dini inalindwa na dola. Bila dola za Arabia ingekuwa ishajifia kale sana