masoud mshahara
JF-Expert Member
- Mar 31, 2018
- 4,712
- 2,010
Mbona unazunguka KUFURU Paulo anazijua kwelikweliUnajua kuitakidi [emoji117] Mwenyezi, Malaika Gabriel, Yesu Ambao ni waasisi Wa Itikadi ya Uwana Wa Mungu ni makafir [emoji15] [emoji47] sio?
WAKORINTHO wa kwanza 1:25
"Kwa sababu UPUMBAVU wa Mungu, una hekima zaidi ya wanadamu , na UDHAIFU wa Mungu una nguvu zaidi ya wanadamu";
aahhahahaahhajhha ana adabu ata kidogo yaani Mungu ana kaupumbavu , hakuna nabii hata mmoja aliewahi kukosa adabu kwa Mungu , zaidi ya huyu bingwa wa kufuru