Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Vitendo vizuri ikiwemo kuua wasioamini,
Kuwachukia, kuwatoza kodi, kuwaita Kuffar,Kafir, najis, kuwabagua Sio?.
 
YESU ANASEMA:-

John 16:12
Hata bado nikali ninayo mengi ya kuwaambia, LAKINI HAMWEZI KUYASTAHIMILI HIVI SASA.

..TAFAKARI!.
 
Kila siku unamwaga pumba, lakini ya Leo Kali...[emoji15] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
wee kwa nini unapenda kuzusha zusha [emoji53] Yesu Mwenyewe Alianza kutuita WA-KRISTO [emoji117] View attachment 868583 zusha lingine [emoji117] View attachment 868584 [emoji53]
A ha hahahahhahahah" WATU WA KRISTO " ndio neno lililotumika nataka uniambie neno "WAKRISTO" nani alilitumia neno hilo mpaka yesu anaondoka hakuna alielitumia hilo neno , unafikiri Yesu hakuwa na akili mpaka akatumia neno "WATU WA KRISTO" mpaka wewe na wenzako mkalinyumbua mkajiita "WAKRISTO" kitu ambacho yesu ajawai kuwaita wafuasi wake kwa jina hilo? mbona rahisi huko unapotaka kujificha kupowazi ahahahahahahhahahahahahhhah utuambie nani alianza kumiita nyie ni WAKRISTO badala ya WATU WA KRISTO kama alivyoelekeza Yesu?
 
YESU ANASEMA:-

John 16:12
Hata bado nikali ninayo mengi ya kuwaambia, LAKINI HAMWEZI KUYASTAHIMILI HIVI SASA.

..TAFAKARI!.
Tutafakari kipi ikiwa hata hayo aliyoyafanya mengine waandishi wamegoma kuyaandika
YOHANA 20:30
",Basi kuna ishara nyingine nyingi alizozifanya Yesu mbele ya wanafunzi wake, ZISIZOANDIKWA katika kitabu hiki"

ahahaahahahhahahhahahahahhhhhaha wewe ndio ukajiulize huko kama aliyofanya yesu tu watu wameamua kuyapotezea sasa unataka tujiulize kitu gani kijana
 
Vitendo vizuri ikiwemo kuua wasioamini,
Kuwachukia, kuwatoza kodi, kuwaita Kuffar,Kafir, najis, kuwabagua Sio?.
KUUA WASIAMINI Ahahahhahaha hawa hapa
SAMWELI wa kwanza 15:3
"; Basi sasa enda ukawapige Amaleki, na kuviharibu kabisa vitu vyote walivyo navyo, wala msiwaachilie ; bali WAUENI ,mwanamume na mwanamke, MTOTO NAYE ANYONYAYE, NG'OMBE na KONDOO, NGAMIA na PUNDA "
hii ni kiboko mpaka Punda mnataka aamini ahahahahahaahahaahahhahhahahaha

UBAGUZI ahahhahahah unataka kuuona msikilize Bwana Mungu huyo
KUTOKA 23:33
"WASIKAE katika nchi yako, wasije wakakufanya kunitendea mimi DHAMBI; kwa sababu ukiitumikia miungu yao, jambo hili halikosi litakuwa ni tanzi kwako";

Ahahahahaahhahha unafukuza watu wasikae kwenye nchi yako kisa dhambi , sasa si bora sisi tunawatoza kodi lakini wanaishi ahahahhahaahhahahaha
 
Hayo mambo unayomzushia mohamadi umeyatoa kitabu gani usituletee malink hapa ahahahhahahaha vitabu vya hadith vinajulikana sio unatuletee maneno ya vijiweni, halafu kuhusu PAULO hakuna aliempaka Oil chafu mbona ndio tabia yake
MATENDO YA MITUME 26:11
" Na mara nyingi katika masinagogi yote naliwaadhibu, NIKAWASHURUTISHA KUKUFURU; nikawaonea hasira kama mwenye WAZIMU, nikawaudhi hata katika miji ya ugenini";

ahahahahahhahahahhaaha tulia ndio ukubwa huo mtu anajitangazia mwenyewe Kufuru sio tunamifikishia tu mwenye macho na aone
 
Embu tuliza munkari uliza swali ujibiwe , unazunguka wewe mara malaika jibril ,mara marriamu , mara sijui Mungu ebu kaa chini panga swali lako ulilete , sio unarudia aya unaenda mbele unarudia tena ueleweki unataka nini?ahahahaahhahaahahahaha uliza maswali ujibiwe sio kupuyanga
 
Huuuu ndio ubaya wa kukopi ueleweki unataka kitu gani ebu kaa chini soma tena halafu uje na maswali yenye mpangilio tujue swali la kwanza lipi na la mwisho lipi? punguza jazba Quran ni mzigo mzito kwako tutakuweka sawa kwa kuuliza maswali kwa utaratibu sio kama unakimbizwa ahahahahhahaaaaahah
 
HAKI YA MUNGU WEKA MIADI TUKUTANE WAPI TENA KWA GHARAMA ZANGU! NISIPO KUJA NILAANIWE MIMI NA KIZAZI CHANGU [emoji53]
Kama yesu mli mlaani kwa madhambi yenu, hiyo ahadi ni batili kwasababu ata asiekuwa na laana mnaweza kumlaani ahahahahhahahahahahahhahahaha badili kiapo
 
YESU ANASEMA:-

John 16:12
Hata bado nikali ninayo mengi ya kuwaambia, LAKINI HAMWEZI KUYASTAHIMILI HIVI SASA.

..TAFAKARI!.


ROHO MTAKATIFU

Sehemu pekee katika Biblia alipotajwa Roho Mtakatifu ni katika Yohana 14:26; “Lakini huyo Msaidizi, huyo Roho Mtakatifu, ambaye Baba atampeleka kwa jina langu, atawafundisha yote niliyowaambia. “Ni kipi kile ambacho Roho Mtakatifu ameleta au kufundisha kwa miaka 2000 iliyopita?

Wakristo wanasema kwamba Msaidizi maana yake ni Roho Mtakatifu (Yohana 14:26) Yesu alisema katika Yohana 16:7-8. “Lakini mimi nawaambia iliyo kweli; yawafaa ninyi mimi niondoke; kwa maana mimi nisipoondoka, huyo Msaidizi hatakuja kwenu;” Hii haiwezi kumaanisha Roho Mtakatifu; kwa vile Roho Mtakatifu inasemekana kwamba alikuwepo hata kabla ya Yesu hajazaliwa kama ilivyo katika Luka 1:41 “Elisabeti akajazwa Roho Mtakatifu”. Hapa, Roho Mtakatifu vile vile alikuwepo wakati wa Yesu: sasa vipi hii imaanishe kwamba ni sharti aondoke Yesu ndipo Roho Mtakatifu aweze kuja?

Katika Yohana 16:7-8, inasema; “Bali mimi nikienda zangu, nitampeleka kwenu. Naye akiisha kuja, huyo atauhakikisha ulimwengu kwa habari ya dhambi, na haki, na hukumu.” Je, hii “Yeye” hapa inamaanisha nini? Je, viwakilishi hivyo havimaanishi mtu mwanamume?

Je, Roho Mtakatifu anazungumza na Wakristo wema na waovu vile vile? Je, Roho Mtakatifu yu pamoja nao wakati wote au wakati fulani tu? Je, ni wakati gani anaanza kumtembelea mtu atakaye kuwa Mkristo?

Utasemaje kuwa wewe ni Mkristo ikiwa Roho Mtakatifu yu ndani ya Mkristo mwingine? Inakuwaje Wakristo wengi wanawapumbaza watu kwa kudai kwamba Roho Mtakatifu yu ndani yao tu! Na baadaye wanabadilisha dini?

Je, Roho Mtakatifu anaamuru kile ambacho Wakristo wanapaswa kukifanya bila ya uhuru wa kuchagua hata kidogo au anawaongoza tu na wao wana uhuru wa kufuata au kuto fuata?

Ikiwa Roho Mtakatifu anaamuru kile Wakristo wanachopaswa kukifanya, kwa nini Wakristo wanafanya maovu na madhambi? Vipi unaweza kuuelezea ubadilishaji wa dini na kuingia dini na imani mbali mbali kunakofanywa na Wakristo wengi? Je, Wanaambiwa kufanya hayo na Roho Mtakatifu?

Ikiwa Roho Mtakatifu anawaongoza Wakristo tu, na wako huru kufanya wanavyotaka, sasa ni vipi tutajua kwamba waandishi wa Biblia hawakufanya makosa wakati walipoziandika?

Ikiwa Wakristo wanaamini kwamba Roho Mtakatifu huwajia na kuzungumza nao kila siku, kwanini hawamuulizi Roho Mtakatifu kuhusu chapisho lipi la Biblia wanalopaswa kulifuata kwa vile kuna machapisho mengi?
 
Kakubaliane kwanza na baba fatuma afu uje [emoji12] kafir mkubwa wee [emoji12]
Ahahahahahaahahahahahhahahahahaj babu ,roho mtakatifu ana makengeza ajui kutofautisha dhambarau na nyekundu? hilo ni tukio la kitapeli
 
Alie fanya dhambi ni Adam! sasa wewe gavanaUmefanya dhambi gani hadi umo humu duniani [emoji47] [emoji47]
Ahahahaahahhahahahahahahahhaha Adamu amekuja duniani kutawala wala hakuwa na dhambi ( kwa maana alisamehewa) sasa Gavana dhambi hatoe wapi labda atafute mwenyewe ahahahhaaahhahajaja mjomba huku haturisishani dhambi ni mambo ambayo hata Mungu anashangaa eti dhambi ya asili!!!
 



Habari za kugeuka Paulo akaacha kumpinga Yesu, na badala yake akawa mfuasi wake zinasimuliwa pahala patatu katika Matendo ya Mitume katika Agano Jipya la Biblia. Na katika zote mara tatu kisa hicho kinakhitalifiana katika mambo muhimu. Kwanza tunasoma katika Sura ya 9 mstari wa 3 mpaka wa 7:

Hata (Paulo) alipokuwa akisafiri, ikawa anakaribia Dameski; ghafula ikamwangaza kote kote nuru kutoka mbinguni. Akaanguka chini, akasikia sauti ikimwambia, Sauli, Sauli, (yaani Paulo) mbona waniudhi? Akasema, U nani wewe, Bwana? Naye akasema, Mimi ndimi Yesu unayeniudhi wewe. Lakini simama, uingie mjini, nawe utaambiwa yakupasayo kutenda. Na wale waliosafiri pamoja naye wakasimama kimya, wakiisikia sauti, wasione mtu.
Matendo 9.3-7

Katika maelezo hayo hapo ni mwandikaji anasimulia. Yapo mambo mane lazima tuyazingatie vizuri katika maelezo hayo:
  1. Mwangaza ambao Paulo ulimwangaza. Haikusemwa kuwa wengine waliuona mwangaza ule au la, lakini waliisikia sauti.
  2. Ni Paulo ambaye "akaanguka chini."
  3. Yeye na wale watu waliokuwa pamoja naye waliisikia sauti, lakini hawakumwona mtu.
  4. Sauti ya Yesu ilimuamuru "aingie mjini, naye ataambiwa yampasayo kutenda." Hapo hakuambiwa nini la kutenda.
Katika Biblia hiyo hiyo, katika kitabu hicho hicho cha Matendo ya Mitume, sura 22, mstari wa 6 mpaka wa 10 ipo ncha ya pili ya hadithi kusimulia tukio lile lile. Msimulizi hapa ni Paulo mwenyewe:

Ikawa nilipokuwa nikisafiri, nikikaribia Dameski, wakati wa adhuhuri, ghafula nuru kuu ilitoka mbinguni, ikanimulikia pande zote. Nikaanguka nchi (yaani chini), nikasikia sauti ikiniambia, Sauli, Sauli, mbona unaniudhi? Nikajibu, Wewe u nani, Bwana? Akaniambia, Mimi ni Yesu Mnazareti, ambaye wewe unaniudhi. Na wale waliokuwa pamoja nami waliiona ile nuru, lakini hawakuisikia ile sauti ya yule aliyesema nami. Nikasema, Nifanye nini, Bwana? Bwana akaniambia, Simama, uingie Dameski, na huko utaambiwa habari za mambo yote yaliyoamriwa uyafanye.
Matendo 22.6-10

Ncha hii yakubaliana na ile ya mwanzo katika mambo haya:
  1. Aliyeanguka chini ni Paulo na sio wale waliokuwa pamoja naye.
  2. Aliloambiwa Paulo ni kuingia mjini na huko ndiko atakoambiwa nini la kulifanya.
Ncha hii lakini inakosana na ile ya kwanza kuwa ya kwanza yasema ya kuwa wale waliokuwa naye "wakasimama kimya, wakisikia sauti, lakini haikusema kuwa waliona nuru."

Katika ncha hii ya pili twaambiwa: waliiona ile nuru, lakini hawakuisikia ile sauti.

Ncha ya tatu ya tukio hilo hilo muhimu kabisa katika historia ya Ukristo inaelezwa katika maneno yake mwenyewe Paulo vile vile kama inavyosimuliwa katika kitabu kile kile cha Matendo ya Mitume sura ya 26 mstari wa 12 mpaka wa 18:

Basi katika kazi hiyo nilipokuwa nikienda Dameski, mwenye mamlaka na maagizo ya wakuu wa makuhani; Ee Mfalme, ndipo wakati wa adhuhuri njiani naliona nuru inatoka mbinguni ipitayo mwangaza wa jua, ikinimulikia mimi, na wale waliofuatana nami pande zote. Tukaanguka nchi (chini) sote, nikasikia sauti ikisema nami kwa lugha ya kiebrania, Sauli! Sauli! Mbona waniudhi? ni vigumu kwako kuupiga mateke mchokoo (ujiti wenye ncha wa kuchokolea). Nami nikasema, Wewe u nani, Bwana? Bwana akaniambia, Mimi ni Yesu, ambaye wewe unaniudhi. Lakini inuka, usimame kwa miguu yako, maana nimekutokea kwa sababu hii, nikuweke wewe uwe mtumishi na shahidi wa mambo haya uliyoyaona, na wa mambo ambayo katika hayo nitajidhihirisha kwako; nikikuokoa na watu wako, na watu wa Mataifa, ambao nakutuma kwao; uwafumbue macho yao, na kuwageuza waiache giza na kuielekea nuru, waziache na nguvu za Shetani na kumwelekea Mungu; kisha wapate msamaha wa dhambi zao, na urithi miongoni mwao waliotakaswa kwa imani iliyo kwangu mimi.

Matendo 26.12-18

Sasa hapa tunaona khitilafu kubwa na zile ncha za hadithi ziliomo katika sura ya 9 na sura ya 22 katika hicho hicho kitabu kimoja cha Matendo ya Mitume. Hebu tuchungue:
  1. Kwa mujibu wa ncha hii si Paulo pekee aliyeona nuru - kama ilivyoelezwa pale mara ya kwanza - lakini wote waliokuwa naye waliona nuru, kama ilivyoelezwa mara ya pili.
  2. Hapa Paulo anasema: Tukaanguka nchi sote. Haya yanapinga ncha ya kwanza na ya pili zilizosema kuwa ni Paulo tu peke yake ndiye aliyeanguka chini.
  3. Katika masimulizi ya kwanza na ya pili ilisemwa wazi kuwa Paulo aliambiwa aingie mjini Demeski na huko ataambiwa habari za mambo yote yaliyoamriwa ayafanye. Hii mara ya tatu mambo yote ameamuriwa hapo hapo kabla ya kuingia mjini, kinyume na ilivyosimuliwa mara ya kwanza na ilivyosimuliwa mara ya pili. Tena hapo Paulo alimsikia Yesu anamuamrisha amri kinyume na alivyokuwa akiwafunza na kuwaamrisha wanafunzi wake siku zote katika uhai wake - anamuamrisha Paulo apeleke utume wa Yesu kwa mataifa mengine yasiyokuwa Mayahudi. Kadhaalika kinyume na mafunzo ya Yesu katika uhai wake anamuamrisha afunze kuhesabiwa haki kwa imani na kufutiwa dhambi.
Ni wazi kuwa Paulo kabla ya kutanasari kwake alikwisha jitayarisha namna gani atavyougeuza Ukristo wa Yesu, waliokuwa wakiujua wote wanafunzi wake kumi na mbili, uwe Ukristo wake yeye Paulo.

Na kwa nini Paulo aliongeza mengi aliposimulia mara hii ya tatu kuliko ilivyosimuliwa zile mara mbili za mwanzo?

Ni kwa sababu hapa anasema na Mfalme Agripa.

Lakini yafaa tusite na tujiulize: Nini thamani ya shahidi anayetoa ushahidi wake kwa polisi, akaubadilisha kidogo akifika kwa hakimu, na akatoa hadithi nyengine kabisa anapofika mahkama kuu kwa jaji?

Hapana awezae kumueleza Paulo alivyo kama alivyojieleza mwenyewe katika barua yake aliyowapelekea Wakorintho.

Amesema:

Maana, ingawa nimekuwa huru kwa watu wote, nalijifanya mtumwa wa wote, ili nipate watu wengi zaidi. Nalikuwa kama Myahudi kwa Wayahudi, ili niwapate Wayahudi; kwa wale walio chini ya sheria, nalikuwa kama chini ya sheria, (ingawa mimi mwenyewe si chini ya sheria,) ili niwapate walio chini ya sheria. Kwa wale wasio na sheria nalikuwa kama sina sheria, (si kwamba sina sheria mbele za Mungu, bali mwenye sheria mbele za Kristo), ili niwapate hao wasio na sheria. Kwa wanyonge nalikuwa mnyonge, ili niwapate wanyonge. Nimekuwa hali zote kwa watu wote, ili kwa njia zote nipate kuwaokoa watu.

1 Wakorintho 9.19-22
 
Wew ndio unalalamika Allah mola wa walimwengu wote , alalamike kwa kipi? ebu kasome hizo aya mbona ziko wazi aiseee
 
Hizi silaha ndugu yangu utawaua hawa, ila kwa vile wamemchezea paka sharubu wacha yawakute ahahahahhaahaaa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…