Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Kabla ya kusema Mungu hivi au vile.

Unaweza kuthibitisha yupo kwa namna yenye kutojipinga kimantiki?

Usiweke stories nyingi kumhusu Mungu ambaye hata kuthibitisha kwamba yupo huwezi.
Kwa kuthibitisha imani yangu katika Mungu yanitosha, na kizuri zaidi sipo mwenyewe tu, ni billion of God believers! Lakini hata nawe pia una Dini yako ya Sayansi na hauko peke yako, bali unao watu kadhaa pia. Cha muhimu jitahidi kuipreach hata nje ya JF mkuu I mean anzisha temple ya Mpinga Mungu na mikutano ya kutosha ili uwavute wafuasi wako wa JF.
 

Kafungue uzi independent ili nije nichangie huko na katika kufanya hivyo sitaingiza mambo ya Uislamu huko.Kutakuwa ni issues za Kikristu tu! Unanielewa sasa point yangu?
 


Kaka sikufchi nimeusoma uzi wako ila ukanifurahisha sana. Mimi ni muislamu tena mwenye elimu ndogo sana juu ya Uislamu wangu ila kwa elimu yangu ndogo na neema ya akili niliyopewa na Allah aliyejuu,nimeona ujinga wako uko wapi.

Sasa kabla sijaenda mbali,umeandika mengi lakini nakupa majibu mafupi yenye kujitosheleza na ikibidi ufafanuzi utakuja baadae,tena kama nikiona kuna ulazima.

Naanza kwanza na swali. Hivi umeshwahi kwanda sehemu za upwani na ukaangalia muonekano wa jua linapozama ?

Kaka haiitwi Kurani inaitwa Qur'an.

Ukijibu nakupa maelezo sasa ya hizo aya.
 
Sijaomba mahubiri ya imani yako. Hujathibitisha Mungu yupo.

Sijakutaka uhubiri. Nimekutaka uthibitishe.

Huwezi kuthibitisha.

Kwa sababu huyo Mungu hayupo.

Sijadili imani hapa.

Najadili fact.

Imani unaruhusiwa hata kuabudu mti kuwa ni Mungu.

Katiba ya nchi inakutetea.

Universal declaration of human rights linakutetea.

Sijadili imani. Najadili fact.

Huwezi kuthibitisha Mungu wako yupo.

Kwa sababu hayupo.
 
Naona wewe ndiye wakati Muhammad anapewa ufunuo kule pangoni ulikuwa pamoja naye.Wewe ni mjuzi kabisa wa Kurani.Hongera kwa sayansi ya Kiarabu mkuu!
Ww unajua kule alikuwa na nan?
Kitu kama hujui usiongee hapa
Fanya tafiti ndo uongee

Usiwe mshabiki.

Unajua maandiko yameshuka marangap?
Unajua yametumia miaka mingap kushuka?
Unajua nani aliywkuwa anayaandika baada yakuwa yameshuka?

Napokuambia hakuwa pekeake nielewe.
Kutype ni long story?

Fanya utafiti ujiridhishe ndo uzungumzie kuhusu uislam.
Hii si dini ya kubahatisha inahitaji uwe mbobezi kweli tena ukiwa na research kweli kweli.
C maneno ya kusikia
 
Kafungue uzi independent ili nije nichangie huko na katika kufanya hivyo sitaingiza mambo ya Uislamu huko.Kutakuwa ni issues za Kikristu tu! Unanielewa sasa point yangu?
Uzi huu unahusiana na uongo katika dini.

Umeusema uongowa Uislamu. Sijakupinga. Uislamu una uongo sana.

Nikiusema uongo wa Ukristo hutaki kujadili. Unataka nifungue uzi mwingine.

Kwa kukataa kujadili uongo ulio katika Ukristo, unatuambia kwamba uzi huu hautaki kutafuta ukweli.

Unataka kushambulia Uislamu tu.
 

Kama hakupokea akiwa peke yake alikuwa na nani kule kwenye pango la Hira? Unaweza kutueleza jinsi alivyotoka pangoni alienda kumuona nani kuuuliza maana ya hicho kilichokuwa kimemtokea huko pangoni na je, unafahamu ni nani aliyemwambia Muhammad kuwa yule aliyemkaba pangoni alikuwa ni malaika Gabrieli? Kama una masimulizi juu ya Kurani kaa pembeni.
 
Hivi hujakwenda bahari wakati jua linachomoza au linazama?huwa linaonekana kama linazama vile kwenye maji kumbe sio na hata asubuhi wakati jua linachomoza ukiwa bahari ambapo huoni mwisho wake pia jua hapa huwa linaonekana kama linachomoza kwenye maji vile ndio maana halisi ya hiyo aya hapa huyo jamaa alikua anaona hivyo hata leo hii ukikaa bahari unaona hivyo kwa upeo wa macho wa kawaida

na muda mwingine kukiwa na kukiwa na mlima mrefu au mawingu mazito utaona kama jua linachomoza au linazama kwenye mlima kumbe sio
 
Alafu hujui katika uislam hakuna kitu kinaitwa gabriel (WTF)

Tafta jina la huyu malaika vzr ndo nikupe material
Maana unataka nikufungulie the whole story.

Swali lingine unajua maandiko ya kiislam yameshuka kwa mida wa miaka mingap?.
Na wakat yanashuka nani alikuwa akiyaandika?
Ukijibu haya maswali mawili niko radhi kuacha usingiz wangu nikuoe elim usiku huu
 

Huku ukiwa unatafakari swali langu nililokuuliza,kwanza unapaswa ujue mambo yafuatayo kuhusu Qur'an :

1. Qur'an imeshushwa kwa lugha ya kiarabu ili watu wapate kupambaukiwa.

2. Kila aya ilikuwa ina sababu ya kushuka kwake.

3. Qur'an imetafsiriwa na mtume Muhammad amani ya Allah iwe juu yake,sababu kuna maneno mapya maswahaba wake walikuwa hawajui maana zake,kwahiyo walikuwa wnapewa maelezo na kuelewa.

Sasa cha kusikitisha zaidi ni wale maadui wa Uislamu wakisoma tarjama ya aya basi wanaichukua hivyo hivyo bila kuuliza maana yake au hata japo kutaka ufafanuzi wa aya hiyo,unakuta mtu huyo anabeba kama ilivyo na kutumia muda mwingi kuandaa mada,mada ambayo inakuwa imebeba uongo wa wazi.

Sasa hili ni tatizo kubwa liwakumbalo,na mwisho wa siku huwa mnaaibika.

Naendelea.....
 
Nanukuu.."Mfano tumemuumba Adam kwa udongo"!!!

Samahani mkuu kama hutojali,ni mimi kiswahili kimenipotea au vipi sijajua ila ktk uelewa wa kawaida niliojaaliwa siamini kwamba kwa kauli hiyo inawezekanaje asiwepo mwengine walieshirikiana?alishindwa nini kuandika "nimemuumba"

Kwanini haikuwa 'Nime' na iwe 'Tume'?ninini kilichofichama hapa?inaonekana aliyeandika hapa either kuna sehem ali-copy ila kwa kupitia page hii hii aliyoiandika akawakataza wale watakaoisoma wasihoji sana zaidi ya kuamini kile alichokifafanua maana wangehoji wangeweza kustuka!

Sina nia yakubishana nachotaka ufafanuzi tu
 

Tuambie aliokuwa nao basi ni akina nani? Kazi ya Mungu ambayo alikuwa anamshushia Muhammad inawezekanaje ichukue miaka hivyo kukamilika? Huyo aliyekuwa anashusha Kurani, alikuwa ni Mungu mwenye uwezo wote au Mungu mdoli tu hadi kazi yake ichukue muda mrefu hivyo?
 
Kwa hiyo Allah naye hakujua kwamba jua halizami na kuchomoza kama linavyoonekana ?

Allah alishindwa kumpa mtume periodic table yote kwenye Quran watu wajifunze kemia yote kutoka kwenye Quran?

Kwa nini Allah aliishusha Quran kwa Waarabu kwa Kiarabu na hakuweka habari zake kwenye DNA za watu wote wamjue moja kwa moja?

Alishindwa kufanya hivyo? Kama alishindwa huyo ni Mungu muweza yote kweli? Kama hakushindwa, kwa nini hakufanya hivyo?
 
na hata leo hii ukienda baharini utaliona jua kama vile linazama kwenye maji au linachomoza majini wakati wa asubuhi au jioni,mtoa mada kaielewa hii aya vibaya
 
Boss unaona uislam unavo take point.

Maana yangu kukuuliza haya maswali najua majibu ya maswali ulio niuliza yamo humo.

Kwahiyo nauhakika kam kweli ww n msomi umeamua kuusoma uislam na umeelewa kwann nmekuuliza hayo maswali. Majibu umeyaona humo.

Sasa basi we nijibu hayo maswali mawili uone.
Haha

Hapo ndo majibu yapo. So we nijibu hayo maswali nkupe elim kabla sija lala bro
 
Unaelewa kwamba hujajibu swali la kwa nini Mungu amewanyima watu kumjua halafu anawaadhibu kwa kutomjua?
Mungu hajamnyima mtu kutomjua,huo ubongo wako amekupa kwa ajili hiyo umjue yeye,ila kwa vile binaadam tupo huru tunautumia ubongo huo kumpinga mungu kwa makusudi,mfano kama ww.
 
We nae mbona yesu alishuhwa kwa wayahudi.
.
Ebu ayo maswal jiulize upande wako coz hukukwetu yana majibu.
 
Wewe unasema mimi napotosha.Sawa unaweza kuniambia Muhammad alimaanisha nini kusema kwamba Mungu alimuambia kuwa maziwa ya Ng'ombe hutokea katikati ya Mavi na damu yake?
na ndio ndipo maziwa yanapo tokea mkuu,between blood and dung,au we unajua yanatokea wapi?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…