Wewe uliyekuwa na Mtazamo kwamba kama Mungu angekuwepo watu wote wangekuwa wanamjua na kukubali uwepo wake, unadhani kwa mtazamo huo uliyonao ni uthibitisho gani tena ambao wewe unataka?Kuna mtu kashathibitisha Mungu mjuzi wa yote, mwenye upendo wote na uwezo wote yupo?
kwanza mimi siamini hiyo sijui " nini Quran" so muda WA kuchnguza hao watu sina " kinachoshangaza ni mungu kwenda kuwachoma moto watu ambao yeye mwenyew ndiye aliyewafunga masikio na mioyo yao",una muadhibu mtu ambaye wewe mwenyewe ndiye uliyechangia asiweze kukufuata " sasa huo siuonevu mkuu..??
Siongelei kudhibitisha. Naongelea kuthibitisha. Elewa tofauti.JIBU LANGU: Kudhibitisha kitu ni kwa kuona, kugusa, kusikia, kuonja na kunusa.
SWALI LANGU: Je kuna njia ingine ya kudhibitisha kitu tofauti na hizo tajwa hapo juu?
kuna watu wengine wasipokuelewa" basi shukuru ", kwa maana " utakuwa "na mawazo + kuwazidi wao " Ila ukiona watu hao" wameanza kukuelewa", kuwa na walakini ",maana huwenda itakuwa "umeanza kuwaza kama wao"" ...Hivi umeelewa nilichokiandika kaka ?
Hahaah dah! Sawa mkuu, lengo letu ni tujifunze mimi binafsi sina lengo baya uniwie radhi ikiwa kunasehemu nakosea. Mkuu je ni kweli mud amewahi kudhurika na uchawi?siamini hadithi mkuu labda iwe imeendana sawa sawa na quran,vinginevyo sitaiamini kabisa maana hadithi nyingi zimechakachuliwa
Kabra ya Adamu yupi alikua mtume/nabiiWapo walikuwa wanafanya muendelzo wa mafundisho ya mitume iliyopita.
OK THIBITISHA AU DHIBITISHA HIYO YAPO MIONGONI MWA MAKOSA YANGU KATIKA MATUMIZI KISWAHILISiongelei kudhibitisha. Naongelea kuthibitisha. Elewa tofauti.
Hujaelewa kwamba napinga uwepo wa Mungu kwa sababu dhana ya kuwepo kwake ina logical inconsistency.
Si kwa sababu haonekani, hagusiki, hasikiki, haonjeki wala kunusika.
Unaweza kuthibitisha Mungu hayupo kwa "proof by contradiction" bila kutumia hivyo ulivyosema.
Unaweza kuthibitisha Mungu wako yupo?
Mkuu Masking Agent fahamu kwamba kitabu cha Enoch hakipo ndani ya BIBLIA na kilikataliwa kujumuishwa sababu kimejaa hadithi za uongo. Kitabu hichi cha Enoch hakitumiwi katika mafundisho ya Wakristo wa KWELI. Vipo vitabu vingi tu vinavyofanana na hichi cha Enoch na jumla yake vinajulikana kama Apocrypha au Apocryphal Ancient Books, vipo kama 14 hivi na kitabu cha Enoch ni kimojawapo cha hivyo.Tukisoma kitabu cha enoch ( book of enoch) anajaribu kusema
Kwa nini huwezi?JIBU LANGU: SIWEZI
SWALI LANGU: Je unaweza kuthibitisha uwepo wa blackhole au big bang by "proof of contradiction?
JIBU swali langu ili tuendelee.Kwa nini huwezi?
Unaelewa "proof by contradiction" ni nini?
Unaelewa unachouliza ni nini?JIBU swali langu ili tuendelee.
Mkuu Masking Agent fahamu kwamba kitabu cha Enoch hakipo ndani ya BIBLIA na kilikataliwa kujumuishwa sababu kimejaa hadithi za uongo. Kitabu hichi cha Enoch hakitumiwi katika mafundisho ya Wakristo wa KWELI. Vipo vitabu vingi tu vinavyofanana na hichi cha Enoch na jumla yake vinajulikana kama Apocrypha au Apocryphal Ancient Books, vipo kama 14 hivi na kitabu cha Enoch ni kimojawapo cha hivyo.
Usiwadanganye watu mkuu, WAKRISTO wakiongozwa na uwezo wa ROHO MTAKATIFU, walichambua na kuchagua ni vitabu gani vimebeba NENO la KWELI la MUNGU na hivyo ndivyo vilijumuishwa kwenye BIBLIA, vingine vyote vilivyobeba uongo au kuchanganya "kweli na uongo" viliachwa na havikujumuishwa kwenye BIBLIA.
Fahamu kwamba kuna Wakristo wa KWELI na wa uongo. Wale wa uongo kama vile kanisa katoliki ndiyo wanatumia vitabu hivi vyenye kudanganya kama vile kitabu cha The Book of Maccabees, The Book of Baruch, The Book of Enoch n.k. Kanisa Katoliki na wale wote wanaosali siku ya Jumapili siyo makanisa ya kweli ya YESU KRISTO.
Kanisa la KWELI la YESU KRISTO linazishika Amri zote kumi za MUNGU na imani ya YESU. Moja kati ya hizo Amri Kumi ni kuishika na kuitunza siku ya SABATO pasipo kuivunja. Hata YESU hakuvunja siku ya SABATO, tena alisema yeye ndiye BWANA WA SABATO, maana yake yeye ni BOSI wa SABATO, hivyo ili awe BOSSI wa Sabato ni lazima hiyo Sabato iendelee kuwepo. Huwezi kuwa BOSSI wa kitu ambacho hakipo, huwezi kuwa BOSSI wa kitu hewa.
-Kanisa la KWELI la MUNGU halichongi SANAMU wala kuziabudu wala kuzitumikia, huwezi kukuta SANAMU wala PICHA ya aina yoyote katika Kanisa la KWELI la MUNGU.
-Kanisa la KWELI la MUNGU linaabudu na kufundisha siku ya JUMAMOSI,
-Kanisa la KWELI la MUNGU linaadhimisha PASAKA kila tarehe 14 ya mwezi wa Nne, tena PASAKA siyo Easter, Easter ni upagani.
-Kanisa la KWELI la MUNGU haliwaombi wafu wawaombee, bali Sala zote na maombi yote ni kwa MUNGU pekee.
-Kanisa la KWELI la MUNGU halisheherekei sikukuu za Krismass wala mwaka mpya sababu ni UPAGANI.
-Kanisa la KWELI la MUNGU halimuabudu Mama Maria(Mama wa YESU), wala wanadamu wanaoitwa watakatifu.
-Kanisa la KWELI la MUNGU kiongozi wake siyo mwanadamu bali ni YESU KRISTO MWANA WA MUNGU.
-Kanisa la KWELI la MUNGU halina baba hapa duniani, wala halimwiti mtu yeyote baba wa kiroho, bali linaye BABA juu Mbinguni ambaye ni BWANA MUNGU.
-Kanisa la KWELI la MUNGU halina mwombezi yeyote yule zaidi ya YESU KRISTO aliye juu Mbinguni kwa BWANA MUNGU.
-Kanisa la KWELI la MUNGU linafundisha mafundisho yake kwa mujubu wa BIBLIA pekee, yaani AGANO LA KALE na AGANO JIPYA, hakuna mafundisho yoyote nje ya BIBLIA TAKATIFU.
-Kanisa la KWELI la MUNGU halijachanganya mafundisho ya KRISTO na imani za KIPAGANI.
Hivyo ni lazima ufahamu kwamba kuna UKRISTO WA KWELI na ukristo wa uongo. Usichanganye mafundisho ya wakristo wa uongo ukasema ndiyo mafundisho ya Wakristo wote. Wapo Wakristo wachache wanaoishika KWELI ya BWANA MUNGU.
Kuna maandiko pia yanasema yesu alikua na ndugubzake pia yaani kaka zake baada ya mariam kumzaa yesu. Mariam aliendelea kuzaa tena. Watoto wengine..Umetoka kilingeni eeh? Lini na wapi Joseph alimuoa Maria? wee ndie ulikuwa best wake siku walipo oana...acha kufuru gavana eti Maria alizini [emoji15]
View attachment 815745 [emoji123] [emoji106] habari ndio, kama kero kwako kachukue udhu [emoji38]
Habari za Yesu zinahusianaje na post yangu uliyonukuu?Kuna maandiko pia yanasema yesu alikua na ndugubzake pia yaani kaka zake baada ya mariam kumzaa yesu. Mariam aliendelea kuzaa tena. Watoto wengine..
(Mtanisamehe kidogo kwa kuleta maelezo bila kuwa na hshahidi yakinifu wa maandiko ila pindi niupatapo sitakawia kuuweka hapa)
Habari za Yesu zinahusianaje na post yangu uliyonukuu?
Umenukuu kimakosa?
Nami niliona hivyo. Maana nukuu ilikosa mtiririko. Ndiyo maana nikakuuliza.Nimenukuu kimakosa na ndio maana nimefanya editing na kuondoa quotation ya reply yako ..kwa member uliyomtaka aileze maana ya proof of contradiction