Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Wewe uliyekuwa na Mtazamo kwamba kama Mungu angekuwepo watu wote wangekuwa wanamjua na kukubali uwepo wake, unadhani kwa mtazamo huo uliyonao ni uthibitisho gani tena ambao wewe unataka?Kuna mtu kashathibitisha Mungu mjuzi wa yote, mwenye upendo wote na uwezo wote yupo?
Maana teyari umeshafunga mjadala kwa huo mtazamo wa kwamba Mungu angekuwepo kila mtu angemjua na kukubali uwepo wake,unafikiri hapo tena unahitajika uthibitisho wa nini? naanzaje kuthibitisha Mungu yupo wakati teyari kuna watu hawakubali au kujua uwepo wake?