Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Mleta mada Amani iwe nawe.

Katika suratul Kahfi aya ulizozinukuu kuhusu Dhul Qarnayn na kuzama kwa jua kwenye Chemchem yenye matope meusi. Ili uweze kuielewa hiyo aya na Qur'an kwa ujumla wake kuna mambo inabidi uyafahamu. Ulichokinukuu wewe ni Fasiri INA maana kwa hali ile iliyoandikwa kwa Kiarabu umeipeleka kwa Kiswahili. Vilevile kuna tafasiri kwa maana kilichoandikwa kinaelezewa kwa undani ili upate mantiki nzima na uelewe kile kinachokusudiwa.

Tukirudi katika hiyo aya inaanza kwa "Wanakuuliza habari za Dhulqarnayn. Sema; kwa yakini nitawasomea katika hadithi yake".
Na wanakuuliza, kwa maana Mtume anaulizwa, ni akina nani wanauliza habari za Dhul- Qaryn? Hii hoja itajibu swali lako linalouliza ni nani huyu mtu, Dhul Qarnayn?

Maqurayshi wa Makkah waliambiwa na Wayahudi wa Madinah, wakamuulize Mtume maswali 3 na nia ni kutaka kupima kama kweli Muhammad ni Mtume ama laa. Maswali yalikuwa ni kuhusu Roho, kuhusu Dhul Qarnayn na ahlul kahf(watu wa mapangoni) ambayo imebeba jina la Sura. Kwa sababu hakuna hayo mambo anayeyajua isipokuwa ni mitume tu, na hizo habari za hayo maswali 3 yalikuwepo katika vitabu vya watoto wa Israel. Kuhusu Dhul Qarnayn katika Qur'an tumepewa habari yake kidogo tu kama aya inavyosema "kwa yakini nitawasomea katika( baadhi) hadithi yake. Huyu mtu, Dhul Qarnayn alikuwa ni mtumishi( Mfalme) aliyetawala na kueneza sheria ya Mungu. Alikuwa mshindi mkuu wa vita. Alisafiri yeye pamoja na jeshi lake kuelekea sehemu tatu(3) za Dunia, magharibi ya mbali ya Dunia, mashariki ya mbali ya Dunia na mwishoni kaskazini mwake mwa Dunia. Alikwenda upande wa magharibi na akashinda vita sana mpaka alipofika mahali akaona jua linatua ndani ya chemchem ya maji yaliyovurugika.

Aya inayoendelea inasema "bila shaka tulimwamrisha katika ardhi na tukampa njia za kupatia kila kitu", kwa maana mradi wake ni kila kitu kilichohitajiwa kwa kumalizia kazi yake Mungu alimpatia huo uwezo. Maneno haya, akaliona Jua linatua katika chemchem iliyovirugika, tafsiri yake ni hii; kwa maana mahali alipofika maji yake yalikuwa mapana sana yaani bahari, Hata inakuwa ukisimama pwani wakati wa magharibi jua linaonekana linatua ndani ya bahri. Ukiwa pwani ukiangalia kuzama kwa jua unaona kama linatua kwenye tope au chemchem iliyovurugika. Ndivyo Dhul Qarnayn alivyoona na ndivyo Qur'an inavyoelezea kama Dhul Qarnayn alivyoona na hiyo bahari kuzama kwa jua na akaona hiyo hali ni bahari Nyeusi iliyoko Asia minor.

Watu wanatafsiri Qur'an kwa kusoma maneno yaliyofasiriwa kwa lugha mama( Kiarabu) na kwenda lugha nyenginezo wakidhani kwamba tafsiri yake ndiyo IPO hivyo hivyo hapana, Qur'an ina somo kabisa LA tafsiri yake.

Kuhusu Jua tangu kale INA njia yake. Kwenye Qur'an suratul Anbiyaa aya 33 na Suratul Yaasin aya ya 38 zinaelezea Jua na Mwezi zina njia sake(orbits) zinazopitia. Na si kama baadhi ya watu wanajaribu kufananisha na Sura ya Al Kahfi kuhusu Dhul Qarnayn. Kuhusu jua ndilo linalozunguka badala ya Dunia hili ntakujibu baadae utanisamehe afya yangu imetetereka kidogo tangu Jana kwa hiyo sipo vizuri sana.
 




😀😀😱😀😀 hata mimi hapo sijamuelewa inamaana alikua anacopy kwenye kitabu alichokuwa anamletea malaika gabriel kilichokua ameandika mungu. ???
Aisee mara sijui akakabwa. 😀



Hebu ngoja kidogo tumsome enoch. Katika kitabu cha enoch.


XX.
Hence they took Enoch into the Seventh Heaven.

AND those two men lifted me up thence on to the seventh Heaven, and I saw there a very great light, and fiery troops of great archangels, incorporeal forces, and dominions, orders and governments, cherubim and seraphim, thrones and many-eyed ones, nine regiments, the Ioanit stations of light, and I became afraid, and began to tremble with great terror, and those men took me, and led me after them, and said to me:

2 'Have courage, Enoch, do not fear,' and showed me the Lord from afar, sitting on His very high throne. For what is there on the tenth heaven, since the Lord dwells here?

3 On the tenth heaven is God, in the Hebrew tongue he is called Aravat.

4 And all the heavenly troops would come and stand on the ten steps according to their rank, and would bow down to the Lord, and would again go to their places in joy and felicity, singing songs in the boundless light with small and tender voices, gloriously serving him.

XXI.
Of how the angels here left Enoch, at the end of the seventh Heaven, and went away from him unseen.

AND the cherubim and seraphim standing about the throne, the six-winged and many-eyed ones do not depart, standing before the Lord's face doing his will, and cover his whole throne, singing with gentle voice before the Lord's face: 'Holy, holy, holy, Lord Ruler of Sabaoth, heavens and earth are full of Thy glory.'

2 When I saw all these things, those men said to me: 'Enoch, thus far is it commanded us to journey with thee,' and those men went away from me and thereupon I saw them not.

3 And I remained alone at the end of the seventh heaven and became afraid, and fell on my face and said to myself: 'Woe is me, what has befallen me?'

4 And the Lord sent one of his glorious ones, the archangel Gabriel, and he said to me: 'Have courage, Enoch, do not fear, arise before the Lord's face into eternity, arise, come with me.'

5 And I answered him, and said in myself: 'My Lord, my soul is departed from me, from terror and trembling,' and I called to the men who led me up to this place, on them I relied, and it is with them I go before the Lord's face.

6 And Gabriel caught me up, as a leaf caught up by the wind, and placed me before the Lord's face.

7 And I saw the eighth Heaven, which is called in the Hebrew tongue Muzaloth, changer of the seasons, of drought, and of wet, and of the twelve signs of the zodiac, which are above the seventh Heaven.

8 And I saw the ninth Heaven, which is called in Hebrew Kuchavim, where are the heavenly homes of the twelve signs of the zodiac.

XXII.
In the tenth Heaven the archangel Michael led Enoch to before the Lord's face.

ON the tenth Heaven, Aravoth, I saw the appearance of the Lord's face, like iron made to glow in fire, and brought out, emitting sparks, and it burns.

2 Thus I saw the Lord's face,

p. 89

but the Lord's face is ineffable, marvellous and very awful, and very, very terrible.

3 And who am I to tell of the Lord's unspeakable being, and of his very wonderful face? And I cannot tell the quantity of his many instructions, and various voices, the Lord's throne very great and not made with hands, nor the quantity of those standing round him, troops of cherubim and seraphim, nor their incessant singing, nor his immutable beauty, and who shall tell of the ineffable greatness of his glory?

4 And I fell prone and bowed down to the Lord, and the Lord with his lips said to me:

5 'Have courage, Enoch, do not fear, arise and stand before my face into eternity.'

6 And the archistratege Michael lifted me up, and led me to before the Lord's face.

7 And the Lord said to his servants tempting them: 'Let Enoch stand before my face into eternity,' and the glorious ones bowed down to the Lord, and said: 'Let Enoch go according to Thy word.'

8 And the Lord said to Michael: 'Go and take Enoch from out his earthly garments, and anoint him with my sweet ointment, and put him into the garments of My glory.'

9 And Michael did thus, as the Lord told him. He anointed me, and dressed me, and the appearance of that ointment is more than the great light, and his ointment is like sweet dew, and its smell mild, shining like the sun's ray, and I looked at myself, and was like one of his glorious ones.

10 And the Lord summoned one of his archangels by name Pravuil, whose knowledge was quicker in wisdom than the other archangels, who wrote all the deeds of the Lord; and the Lord said to Pravuil:

11 'Bring out the books from my store-houses, and a reed of quick-writing, and give it to Enoch, and deliver to him the choice and comforting books out of thy hand.'

XXIII.
Of Enoch's writing, how he wrote his wonderful journeyings and the heavenly apparitions and himself wrote three hundred and sixty-six books.

AND he was telling me all the works of heaven, earth and sea, and all the elements, their passages and goings, and the thunderings of the thunders, the sun and moon, the goings and changes of the stars, the seasons, years, days, and hours, the risings of the wind, the numbers of the angels, and the formation of their songs, and all human things, the tongue of every human song and life, the commandments, instructions, and sweet-voiced singings, and all things that it is fitting to learn.

2 And Pravuil told me: 'All the things that I have told thee, we have written. Sit and write all the souls of mankind, however many of them are born, and the places prepared for them to eternity; for all souls are prepared to eternity, before the formation of the world.'

3 And all double thirty days and thirty nights, and I wrote out all things exactly, and wrote three hundred and sixty-six books.

XXIV.
Of the great secrets of God, which God revealed and told to Enoch, and spoke with him face to face.

AND the Lord summoned me, and said to me: 'Enoch, sit down on my left with Gabriel.'

2 And I bowed down to the

p. 90

[paragraph continues] Lord, and the Lord spoke to me: Enoch, beloved, all thou seest, all things that are standing finished I tell to thee even before the very beginning, all that I created from non-being, and visible things from invisible.

3 Hear, Enoch, and take in these my words, for not to My angels have I told my secret, and I have not told them their rise, nor my endless realm, nor have they understood my creating, which I tell thee to-day.

4 For before all things were visible, I alone used to go about in the invisible things, like the sun from east to west, and from west to east.

5 But even the sun has peace in itself, while I found no peace, because I was creating all things, and I conceived the thought of placing foundations, and of creating visible creation.




Hivyo ndivyo ilikua kwa enoch. Kipindi anapata kuandika kitabu Wala hata hakukabwa 😀😀😀😀
 
Kabra ya Adamu yupi alikua mtume/nabii


Adamu hakuwa mtume wala hajuwa nabii. Bali yeye ni mwanadamu wa kwanza kuumbwa.

Na yeye alikuwa anapewa maelekezo na Mola moja kwa moja.

Kwanza ulitakiwa ujiulize ni walianza kudhiri mitume na kwasababu gani ?

Jibu,ni utume ulianza kudhihiri baada kutokea au wanadamu kuanza kufanya shirki,yaani kuanza kuwaabudu waja wema na mfano wake. Ndio Allah aliyejuu akaanza kuwateua watu miongoni mwa waja wake wema kuwakumbusha wenzao juu kufuru wanazofanya.

Kwahiyo basi,mtume wa kwanza kudhihiri duniani ni Nuhu amani ya Allah iwe juu yake.
 
kuna watu wengine wasipokuelewa" basi shukuru ", kwa maana " utakuwa "na mawazo + kuwazidi wao " Ila ukiona watu hao" wameanza kukuelewa", kuwa na walakini ",maana huwenda itakuwa "umeanza kuwaza kama wao"" ...


Na mimi nina sema hivi kwa kunukuu maneno yafutayo : "Usizungumze hekima kwa wajinga watakupuuza,na usiongee ujinga kwa werevu utafahaika"

Au kama alivyosem msemaji.
 
Mungu alishindwa kufanya neno lake lieleweke na watu wote siku zote bila utata wa fasiri, tafsiri au kutaka dira?

Pia, alishindwa kulishusha hilo neno lake likae kwenye DNA zetu kila mmoja alijue kabla hajajua lugha na kusiwe na tatizo lolote la fasiri, tafsiri au dira?
 


Kaka kuchunga adabu za kielimu,naomba ukiri ya kuwa umeandika maneno ya uongo,tena ukiri ya kuwa ulikurupushwa na hisia ndio maana ukaandika uongo huu. Hisia zenyewe zilizo kukurupusha ni hisia za chuki yaani CHUKI.
 
Mungu anafanya anavyotaka wala hafanyi kama wewe unavyotaka. Na hata kama Mungu angelifanya neno lake lieleweke bila ya fasiri au tafasiri kwa nidhamu yako bado ungeliendelea kuhoji.
 
sasa ujuzi wa yote na kushusha aya kwa matukio kuna uhusiano gani?
 

Kingozi unayemjibu au kumuuliza swali hili,amekujibu vizuri sana,na kama hujamuelewa wewe utakuwa na matatizo.

Lakini kwa mtiririko wa maelezo yako unaonekana umeelewa kile alichokujibu au alichokielezea.

Sasa tatio lingine lililobaki kwako ni kulalama na wasi wasi. Maadamu huna maswali mapya kila siku ni yale yale.

Hapo nimetilia mkazo kauli thabiti aliyokupa broh !
 
Hujajibu maswali niliyouliza na kama kuna maswali umejibu sijauliza hayo.

Halafu unaonekana unanichanganya na mtu nwingine aliyeuliza swali. Usinichanganye.

Jibu maswali niliyouliza.

Kukubali hujui jibu kunakubalika pia.
 
Maana ya Allah inamaana gani. Hapo?


Allah maana yake yule apasae kuabudiwa kwa haki pasa na mshirika,yaani muabudiwa.

Na Allah aliye juu ana majina mazuri na sifa kamilifu.

Allah aliye juu ana majina zaidi ya 99. Hii faid nimekupa.
 
Allah maana yake yule apasae kuabudiwa kwa haki pasa na mshirika,yaani muabudiwa.

Na Allah aliye juu ana majina mazuri na sifa kamilifu.

Allah aliye juu ana majina zaidi ya 99. Hii faid nimekupa.
Unaweza kuthibitisha Allah yupo na si hadithi za watu tu?
 
Hujajibu maswali niliyouliza na kama kuna maswali umejibu sijauliza hayo.

Halafu unaonekana unanichanganya na mtu nwingine aliyeuliza swali. Usinichanganye.

Jibu maswali niliyouliza.

Kukubali hujui jibu kunakubalika pia.


Baada ya kujua matatizo yako nimeamua siku hizi kufanya moja kati ya mawili kulingana na munasaba husika.

1. Aidha kukupuuzia ndio maana maswali yako ya kuhusu uthibitishiwe uwepo wa Mola mimi binafsi sitakujibu ten sababu nilishakujibu.

2. Nineamua kuwa nakupa faida ambayo ukipenda utachukua usipopenda utaniachia.

Hii sasa ni faida,kwangu kusema SIJUI ni ishara ya kuwa mtu una elimu wala si fedheha au aibu,ndio maana kama jambo silijui huw nasema tu SIJUI.

Kaka mimi sikuchanganyi ila wewe utakuwa umenisahau mimi,huwa tunakana sana katika mijadala kadha wa kadha ya kuhusu dini,imani na mfano wake.

Kwahiyo sijakuchanganya.
 
Una hakika gani kwamba hiyo logical inconsistency ndia njia bora ya kuthibitisha mambo? au umekariri
 
Una hakika gani kwamba hiyo logical inconsistency ndia njia bora ya kuthibitisha mambo? au umekariri
Suala si kwamba ni njia bora au si njia bora.

Suala ni, inathibitisha au haithibitishi?

Ukishaandika sentensi ukaiwekea alama ya kuuliza tu (?) kuonesha unahoji kitu, tayari umeshakubali logical consistency.

Sasa unaihoji logical consistency kama ina maana kwa kutumia logical consistency hiyo hiyo?

Ukiuliza hivyo nitakuuliza njia bora kwa kigezo gani? Unavyosema njia bora una maana gani?

Nikikupigikia misumari msalabani nikusulubu ufe baada yavmasaa nitakuwa nimekuua.

Pia naweza kukupiga risasi kichwani nikakuua kwa dakika tu.

Ipi njia bora ya kukuua?

Na hiyo isiyo bora haikuui?
 
Unaweza kuthibitisha Allah yupo na si hadithi za watu tu?


Hili swali nilishakujibu mara kadhaa wa kadhaa. Sipotezi tena muda tena katika hili.

Hii faida nyingine chukua,jifunze kuweka kitu mahala pake.

Yaani watu wanajadili kuhusu tarjama potofu ya aya 83 - 86 katika surat al- Ahkaf na yale yamuhusuyo mja mwema Dhulqarnayn wewe unaleta maswali yaliyojibiwa eti uthibitishiwe kama Allah yupo.

Huo ni utovu wa adabu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…