Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Hapana. Simpangii. Naonesha kwamba hana logical consistency.

Mnasema Mungu ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote.

Mnasema Mungu kaumba mbingu na dunia na watu.

Hivyo mfumo mzima wa DNA unavyohifadhi habari na ubongo unavyofanya kazi aliujua.

Angeweza kuweka habari zake zote kwenye DNA na ubongo.

Kwa sababu.

1. Uwezo wa kufanya hivyo alikuwa nao. Mnasema ana uwezo wote.
2. Ujuzi wa kufanya hivyo alikuwa nao. Mnasema ana ujuzi wote.
3. Upendo wa kufanya hivyo anao. Mnasema ana upendo wote.

Kufanya hivyo kungeturahisishia kazi kwa kutuwezesha kumjua Mungu moja kwa moja bila kutegemea msahafu, tafsiri na fasiri zenye utata mwingi sana.

Mungu mwenye upendo angetusaidia sana sisi tunaobisha uwepo wake kama angeweka habari zake wazi hivyo katika namna ambayo haibishiki.

Kwa nini hakufanya hivyo?

Kutokufanya hivyo kuna contradict habari za kwamba ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote.

Simpangii cha kufanaya. Nauliza tu kwa nini hakufanya jambo linaloonekana bora, la heri, jema, ambalo lingetuepusha watu wake na migogoro mingi sana ya tafsiri.

Kwa nini hakufanya hivyo?
Akufanya kwasababu aikumpendeza kufanya
 
Rudia kuuliza kama maandishi yanavyosema kiumbe ? Kitaje kama kilivyotajwa
Katika kitabu kiitwacho “ Wakeze Mtume Wakubwa Na Wanawe” kilichoandikwa na Sheikh Abdullah Saleh Al Farsy uk.12 tunasoma maneno haya

“Basi Mtume akafanya hofu akarejea kwa mkewe akamhadithia; na pale pale homa kubwa kabisa ikampanda akataka afunikwe maguo. Mara akawa anatetemeka kwa nderema na anaweweseka na kusema “Najikhofia nafsi yangu kuchezewa na shetani na kuniharibu akili yangu na kunizuga”. Bibi Khadija palepale alimdakiza akamwambia; “ Wacha hayo; Siyo yatakayokuwa hayo. Wewe huwezi kuchezewa na mashetani. Shetani hawezi kumchezea mtu mwenye sifa zako. Wewe unatazama vyema jamaa zako, unachukuwa mizigo ya hata watu wasiokuwa wako, unawadhihirishia watu sifa zako nzuri ambazo hakuna mwenye nazo. Unafanya hivi na unafanya hivi. Furahi ndugu yangu. Tua moyo wako, Wallahi! Mimi naona umekwishakuwa mtume”.
 
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote angekuwepo, kungekuwa hakuna tatizo la tafsiri mbaya kwa makusudi au bahati mbaya.

Kuwepo tatizo hilo ni ushahidi Mungu hayupo.
Nakuheshimu sana Kiranga tatizo hapa si uwepo wa Mungu bali mtu kuleta kitu visivyo, lugha zinaendana na utamaduni na misemo tofauti, mfano mtu akisema juhudi zake hazikufua dafu literally mtu akitafsiri atamaanisha nini? mie nnacho sema ni jamaa kapotosha hiyo Aya hata kama haijatoka kwa Mungu ila haina maana hiyo aliyoleta yeye ambayo kwa kiwango chake hatakiwi kudangnya watu waziwazi
 
Katika kitabu kiitwacho “ Wakeze Mtume Wakubwa Na Wanawe” kilichoandikwa na Sheikh Abdullah Saleh Al Farsy uk.12 tunasoma maneno haya

“Basi Mtume akafanya hofu akarejea kwa mkewe akamhadithia; na pale pale homa kubwa kabisa ikampanda akataka afunikwe maguo. Mara akawa anatetemeka kwa nderema na anaweweseka na kusema “Najikhofia nafsi yangu kuchezewa na shetani na kuniharibu akili yangu na kunizuga”. Bibi Khadija palepale alimdakiza akamwambia; “ Wacha hayo; Siyo yatakayokuwa hayo. Wewe huwezi kuchezewa na mashetani. Shetani hawezi kumchezea mtu mwenye sifa zako. Wewe unatazama vyema jamaa zako, unachukuwa mizigo ya hata watu wasiokuwa wako, unawadhihirishia watu sifa zako nzuri ambazo hakuna mwenye nazo. Unafanya hivi na unafanya hivi. Furahi ndugu yangu. Tua moyo wako, Wallahi! Mimi naona umekwishakuwa mtume”.
Nasubir hoja yako
 
Kuna maandiko pia yanasema yesu alikua na ndugubzake pia yaani kaka zake baada ya mariam kumzaa yesu. Mariam aliendelea kuzaa tena. Watoto wengine..

(Mtanisamehe kidogo kwa kuleta maelezo bila kuwa na ushahidi yakinifu wa maandiko ila pindi niupatapo sitakawia kuuweka hapa)

Kitu iko wazi hapo mkuu...! Bikira Maria aliendelea kuwa Bikra! anaebisha atufahamishe uchumba wake na Joseph uliisha lini na aliye wafungisha ndoa nani lini na wapi?! Kinyume cha hapo unaitakidi kwamba Maria na Joseph walizini! Kuhusu wanao tumia neno Ndugu kuhalalisha kwamba Yesu alikuwa na wadogo zake ni hawana ufahamu Wa lugha na maudhui...hebu soma hapa hapa [emoji117]
IMG_20180722_190122_702.jpg
IMG_20180722_190222_581.jpg

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Nakuheshimu sana Kiranga tatizo hapa si uwepo wa Mungu bali mtu kuleta kitu visivyo, lugha zinaendana na utamaduni na misemo tofauti, mfano mtu akisema juhudi zake hazikufua dafu literally mtu akitafsiri atamaanisha nini? mie nnacho sema ni jamaa kapotosha hiyo Aya hata kama haijatoka kwa Mungu ila haina maana hiyo aliyoleta yeye ambayo kwa kiwango chake hatakiwi kudangnya watu waziwazi
Na mimi nakwambia, kupotosha kokote kwa aya inayohusishwa na Mungu mjuzi wa yote mwenye uwezo wote na upendo wote kunaonesha Mungu huyo hayupo.

Angekuwepo, angeumba ulimwengu ambao neno lolote haliwezi kupotoshwa.

Achilia mbali neno linalohusu aya zake.
 
Na mimi nina sema hivi kwa kunukuu maneno yafutayo : "Usizungumze hekima kwa wajinga watakupuuza,na usiongee ujinga kwa werevu utafahaika"

Au kama alivyosem msemaji.
Hata injili inasema 'usitupie lulu Nguruwe'

Ni kama yana nyanyapaa lakini ya yana umaana mkubwa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom