masoud mshahara
JF-Expert Member
- Mar 31, 2018
- 4,712
- 2,010
Upendo mkubwa kwa wanyama , sio yule aliemiambia mle MAKOMBO, ahahahhahahhahah halafu nimekwambia ya bibi yako mzaa baba mbona hapo wako wengi Ahahahhahahahaahjhhahaja ahahahahaahahahha ahahahahaahahahhaHii hapa [emoji117] View attachment 981650 nilikuwa sijui kama unapenda kk picha [emoji4] [emoji106]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sayansi inakataa mtu hawezi kutembea kwenye maji, lakini biblia inatuambia Yesu alitembea kwenye maji hivi ni kweli?Sijawahi kusoma popote ambapo Yesu Kristo alieleza ama alitoa majibu ya mambo ya kisayansi ambayo yanapingana na sayansi ya leo,...majibu nayokumbuka ni yale ya kusema "Ya kaisari mpe kaisari na ya Mungu mpe Mungu" wakati alipotegwa kuhusu ulipaji wa kodi ili wamkamate kwa kosa la kutengeneza la kuhamashisha watu wasilipe kodi.
Siri za uumbaji wa Ulimwengu ni nzito , ingawa mwanadamu kwa kutumia Technologia ya kisasa ameanza kuelewa namna mfumo huu wa ajabu unavyofanya kazi bila hitilafu miaka billions.
Yesu hakuwa binadamu wa kawaida wala nabii bali Yesu alikuwa ni Mesiya. Yesu alikuja duniani kukamilisha Agano la Manabii na Mungu baba.Sayansi inakataa mtu hawezi kutembea kwenye maji, lakini biblia inatuambia Yesu alitembea kwenye maji hivi ni kweli?
Tunajadili FACTS sio Imani mkuu, ni kweli Yesu alitembea kwenye maji? kama ni kweli wanasayansi hawakubaliani na iloYesu hakuwa binadamu wa kawaida wala nabii bali Yesu alikuwa ni Mesiya. Yesu alikuja duniani kukamilisha Agano la Manabii na Mungu baba.
Kipindi Yesu anazaliwa kulikuwa na wasomi wengi tu, waandishi wengi tu, na msafara wa Yesu uliambana na waandishi kila alikokuwa anakwenda; sasa kwa mawazo yako huo ulikuwa uzushi. haya endelea maana nimekwambia YESU hakuwa nabii bali Mesiya.Tunajadili FACTS sio Imani mkuu, ni kweli Yesu alitembea kwenye maji? kama ni kweli wanasayansi hawakubaliani na ilo
Sasa wewe ndio hauelewi chochote. Moses, Isayah na wengine ndio wanapaswa kuitwa mawakala. Maana hao ni wanadamu kama wewe na wengine. Labda haujuwi maana ya Uwakala.Ahahahahaaaahahhahhaaha sasa hapo unakataa nini halafu unakubali nini, "Amekuja kwa Jina la baba yake" , huyo baba yake ndio Mungu wake na ndio Mungu wako wewe , hivi mnataka Yesu aongee nini mumuelewe , mbona ni kiswahili rahisi na sanifu
Uzushi upi tena !! wewe niambie kama kweli Yesu alitembea kwenye maji ? kama alitembea hakuna mwanasayansi atakae kukubalia jambo hilo mkuu ataona ni porojoKipindi Yesu anazaliwa kulikuwa na wasomi wengi tu, waandishi wengi tu, na msafara wa Yesu uliambana na waandishi kila alikokuwa anakwenda; sasa kwa mawazo yako huo ulikuwa uzushi. haya endelea maana nimekwambia YESU hakuwa nabii bali Mesiya.
Umoja wao ni kwasababu Yesu anafundisha yale aliyopewa afundishe, alishasema baba ni mkuu kuliko mimi, akasema tena baba yangu ndio Mungu wangu na ndio Mungu wenu, sasa hapo usipo elewa utamlaumu nani , kama sio akili yakoSasa wewe ndio hauelewi chochote. Moses, Isayah na wengine ndio wanapaswa kuitwa mawakala. Maana hao ni wanadamu kama wewe na wengine. Labda haujuwi maana ya Uwakala.
Yesu kaja kwa jina la baba Yake.Yesu na Baba Ni Umoja. Yale uliomfanyia Baba yake, unamfanyia huyu. Ova.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzushi upi tena !! wewe niambie kama kweli Yesu alitembea kwenye maji ? kama alitembea hakuna mwanasayansi atakae kukubalia jambo hilo mkuu ataona ni porojo
sawa mkuu, pia kuna matope yanayozamisha jua jioni kama mtume alivyosema kwenye Quran.Uzushi upi tena !! wewe niambie kama kweli Yesu alitembea kwenye maji ? kama alitembea hakuna mwanasayansi atakae kukubalia jambo hilo mkuu ataona ni porojo
Kwa kutembea juu ya maji maana yake anapingana na sayansi , hilo huwezi kuliprove kisayansi linabaki kuwa uzushiYesu Atembea Juu Ya Maji
45 Wakati huo huo Yesu akawaamuru wanafunzi wake waingie kwenye mashua watangulie kwenda Bethsaida, wakati yeye anawaaga watu. 46 Baada ya kuwaaga wale watu, akaenda mlimani kusali. 47 Ilipofika jioni, ile mashua ilikuwa imeshafika katikati ya ziwa na Yesu alikuwa peke yake nchi kavu. 48 Aliwaona wanafunzi wake wakihangaika na kuvuta makasia kwa nguvu kwa sababu upepo ulikuwa ukielekea walikotoka. Karibu na mapambazuko, Yesu aka waendea wanafunzi wake akitembea juu ya maji. Alikuwa karibu kuwapita, 49 lakini walipomwona akitembea juu ya maji, walid hani ni mzimu, wakapiga yowe, 50 kwa maana wote walimwona wakaogopa. Lakini mara Yesu akasema nao, “Tulieni! Ni mimi, msi ogope!” 51 Akapanda kwenye mashua yao na ule upepo ukakoma! Wakashangaa kabisa. 52 Walikuwa bado hawajaelewa hata maana ya u le muujiza wa mikate. Walikuwa bado hawajafunuliwa akilini mwao.
Yesu anawafariji kwa kuwaambia: “Jipeni moyo! Ni mimi; msiogope.” Lakini Petro anasema: “Bwana, ikiwa ni wewe, niamuru nije kwako nikitembea juu ya maji.” Yesu anajibu: “Njoo!” Papo hapo Petro anatoka kwenye mashua na kwa kweli anatembea juu ya maji kumwelekea Yesu. Lakini Petro anapoitazama ile dhoruba ya upepo, anaogopa na kuanza kuzama. Anapaza sauti: “Bwana, niokoe!” Yesu anaunyoosha mkono wake na kumshika Petro kisha anasema: “Wewe mwenye imani ndogo, kwa nini umekuwa na shaka?”—Mathayo 14:27-31.
Petro na Yesu wanapanda kwenye mashua, na ule upepo unatulia. Wanafunzi wanashangaa, lakini je, wanapaswa kushangaa? Kama wangeelewa “maana ya ule muujiza wa mikate,” ambao Yesu alifanya saa kadhaa mapema alipolisha maelfu, hawangeshangaa kwamba anaweza kutembea juu ya maji na kuutuliza upepo. Sasa wanamsujudia wakisema: “Kwa kweli wewe ni Mwana wa Mungu.”—Marko 6:52; Mathayo 14:33.
Sawa tumeelewana sasa mkuu , sio kila kitu cha sayansi kinakubaliana na dinisawa mkuu, pia kuna matope yanayozamisha jua jioni kama mtume alivyosema kwenye Quran.
Kuna Mungu Baba, Mungu Mwana na Mungu Roho Mtakatifu. Na watatu hawa Ni UMOJA.Umoja wao ni kwasababu Yesu anafundisha yale aliyopewa afundishe, alishasema baba ni mkuu kuliko mimi, akasema tena baba yangu ndio Mungu wangu na ndio Mungu wenu, sasa hapo usipo elewa utamlaumu nani , kama sio akili yako
Mkuu, huyu Mujahidina, unahangaika Bure tu. Anajua huo ni Ukweli ila Imani yake inamtaka Kupambana kwanza.Yesu Atembea Juu Ya Maji
45 Wakati huo huo Yesu akawaamuru wanafunzi wake waingie kwenye mashua watangulie kwenda Bethsaida, wakati yeye anawaaga watu. 46 Baada ya kuwaaga wale watu, akaenda mlimani kusali. 47 Ilipofika jioni, ile mashua ilikuwa imeshafika katikati ya ziwa na Yesu alikuwa peke yake nchi kavu. 48 Aliwaona wanafunzi wake wakihangaika na kuvuta makasia kwa nguvu kwa sababu upepo ulikuwa ukielekea walikotoka. Karibu na mapambazuko, Yesu aka waendea wanafunzi wake akitembea juu ya maji. Alikuwa karibu kuwapita, 49 lakini walipomwona akitembea juu ya maji, walid hani ni mzimu, wakapiga yowe, 50 kwa maana wote walimwona wakaogopa. Lakini mara Yesu akasema nao, “Tulieni! Ni mimi, msi ogope!” 51 Akapanda kwenye mashua yao na ule upepo ukakoma! Wakashangaa kabisa. 52 Walikuwa bado hawajaelewa hata maana ya u le muujiza wa mikate. Walikuwa bado hawajafunuliwa akilini mwao.
Yesu anawafariji kwa kuwaambia: “Jipeni moyo! Ni mimi; msiogope.” Lakini Petro anasema: “Bwana, ikiwa ni wewe, niamuru nije kwako nikitembea juu ya maji.” Yesu anajibu: “Njoo!” Papo hapo Petro anatoka kwenye mashua na kwa kweli anatembea juu ya maji kumwelekea Yesu. Lakini Petro anapoitazama ile dhoruba ya upepo, anaogopa na kuanza kuzama. Anapaza sauti: “Bwana, niokoe!” Yesu anaunyoosha mkono wake na kumshika Petro kisha anasema: “Wewe mwenye imani ndogo, kwa nini umekuwa na shaka?”—Mathayo 14:27-31.
Petro na Yesu wanapanda kwenye mashua, na ule upepo unatulia. Wanafunzi wanashangaa, lakini je, wanapaswa kushangaa? Kama wangeelewa “maana ya ule muujiza wa mikate,” ambao Yesu alifanya saa kadhaa mapema alipolisha maelfu, hawangeshangaa kwamba anaweza kutembea juu ya maji na kuutuliza upepo. Sasa wanamsujudia wakisema: “Kwa kweli wewe ni Mwana wa Mungu.”—Marko 6:52; Mathayo 14:33.
Huo ni uzushi mnaojidanganya nao kila siku kijana , lakini hoja za kimaandiko mmekosa ,ebu thibitisha wapi Yesu kafundisha hilo jambo kuwa yeye ni Mungu au ni Mungu mwana ? hivi kuna haja gani ya kumsemea Yesu wakati mwenyewe alikuwa na mdomo , halafu bila aibu umeona 1+1+1=3 sasa umeamia 1x1x1=1 ndugu yangu huoni aibu ahahahahaahahahhaKuna Mungu Baba, Mungu Mwana na Mungu Roho Mtakatifu. Na watatu hawa Ni UMOJA.
1×1×1=1
SASA YESU HAPA ANAANGUKIA KATIKA KATEGORI YA MUNGU MWANA.
LAKINI YEYE(Yesu) NA MUNGU BABA NI UMOJA.
One God in Three Persons.
SIMPLE AS THAT...
Utatu huu umedhihirika
wakati Yesu anabatizwa pale Yordan,
Wakati amepanda mlimani
Wakati anawaagiza wakabatize na kuhubiri Injili.
Na sehemu zingine..
Hii ni Kinyume na Qur'an inayodai kuna separate Gods. Yaani Mungu Baba, Mungu Mwana na Mungu Bikira Maria.
1+1+1=3
Kisha inasema 3 Gods.
Kisha inawalaumu na wayahudi kusema Uzair ni mwana wa Mungu.
Ambapo ukifuatilia tangu zama za Yesu Kristo. WAYAHUDI hawajawahi kua na IMANI hiyo KAMA HIYO ASILANI.
Maana kama ingekuwepo Basi Yesu angeielezea.
Truth matters.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na swala Issa bin Maryam kuzaliwa bila baba, na kuumba mndege,Uzushi upi tena !! wewe niambie kama kweli Yesu alitembea kwenye maji ? kama alitembea hakuna mwanasayansi atakae kukubalia jambo hilo mkuu ataona ni porojo
Huo ni uzushi mnaojidanganya nao kila siku kijana , lakini hoja za kimaandiko mmekosa ,ebu thibitisha wapi Yesu kafundisha hilo jambo kuwa yeye ni Mungu au ni Mungu mwana ? hivi kuna haja gani ya kumsemea Yesu wakati mwenyewe alikuwa na mdomo , halafu bila aibu umeona 1+1+1=3 sasa umeamia 1x1x1=1 ndugu yangu huoni aibu ahahahahaahahahha
Umeuliza maswali ya msingi sana. Nilikua nimuulize. Nikaona acha nipuuzie tu.Na swala Issa bin Maryam kuzaliwa bila baba, na kuumba mndege,
Je wanasayansi wanaweza kuyakubali ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Upendo mkubwa kwa wanyama , sio yule aliemiambia mle MAKOMBO, ahahahhahahhahah halafu nimekwambia ya bibi yako mzaa baba mbona hapo wako wengi Ahahahhahahahaahjhhahaja ahahahahaahahahha ahahahahaahahahha