Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
 
Sio kwamba unaleta ubishi pekee ila wewe hutaki kuelewa, ni vyema ukabaki na imani yako maana unachokiamini wewe wengine hawakiamini
 
Unataka kuelekezwa kitu gani mbona unarukaruka watu walitaka kujua kama kweli ni mtume wa Mungu tupe habari ya dhul qarnaini na sio hilo tu kuna maswali mengine mawili aliulizwa sasa ww uelewi nn alaaa
 
Mkuu,

Usione mpaka nimeamua kuleta uzi ina maana ninafahamu vizuri sana juu ya kiini cha imani yako.Sasa hebu tueleze Dhurqarnain ni nani hasa katika historia ya dunia. Kuna mwenzio kasema alikuwa ni mtawala Cyrus. Je, huyo Cyrus alikuwepo wakati wa Musa? Wewe unafahamu Musa aliishi kipindi gani?
 
Kama hiyo aya 18:83 umeshindwa kuelewa sasa una lipi lakuzindua watu
 
Sio kwamba unaleta ubishi pekee ila wewe hutaki kuelewa, ni vyema ukabaki na imani yako maana unachokiamini wewe wengine hawakiamini

Jibu hoja juu ya maelezo ya Khadija kumpinga Muhammad kuwa hakuwa amepagawa na pepo kule pangoni.Tueleze ni kwa vipi maelezo ya Khadija yanapaswa kuaminiwa na kuchukuliwa kuwa ni ushuhuda kuwa Muhammad alikuwa ametokewa na malaika?
 
Kwaiyo ww unaona ajabu kuminywa mtume
 
Wewe unamsema huyo Cyrus jina ambalo halijatajwa popote kwe Qur'an, jibu swali nilokuuliza huyo Alexander alikuwepo kipindi cha Musa? Maana ukisoma kwenye hiyo sura ulofanya ni msingi wa hoja utamuelewa vizuri na usingejaribu kwa namna yoyote kusema Alexander ndo Dhurqarnain njoo na hoja za msingi
 
Jibu hoja juu ya maelezo ya Khadija kumpinga Muhammad kuwa hakuwa amepagawa na pepo kule pangoni.Tueleze ni kwa vipi maelezo ya Khadija yanapaswa kuaminiwa na kuchukuliwa kuwa ni ushuhuda kuwa Muhammad alikuwa ametokewa na malaika?
Yaani we mtu ni kituko kweli, thread hii ulifungua kwa lengo gani?
 
Kaka umenichekesha sana. Tatizo ni elimu na hili nalikariri mara kwa mara. Kwanza nianze na hili la Dhulqarnayn.

Dhulqarnayn ni Dhulqarnayn vile vile,sasa ukiniambia nikwambie ni nani ndio swali gani ?

Tunaposema Tafsiri ya Qur'an huwa tunachukuwa yale mapokezi waliyoyachukua maswahaba zake mtume amani iwe juu yake kutoka kwake mtume mwenyewe.

Yaani aya fulani mtume aliwafafanulia vipi maana yake au ilikuwa ina maanisha nini.

Na mapokezi haya tunayapata kupitia elimu yenye sharafu (utukufu/tukufu),maarufu kwa jina la ELIMU YA HADITHI,wapo wanaume ambao walidhibiti mpaka mkao wa msimuliaji wa mapokezi hayo mpaka kufikia kwa mtume wa Allah.

Kwetu sisi hi pia huitwa elimu ya UHAKIKI WA HABARI na ina misingi yake yakujua habari hii ya kweli na hii si ya kweli.

Inataka muda ili kuijua elimu hii.
 
Kama hiyo aya 18:83 umeshindwa kuelewa sasa una lipi lakuzindua watu

Utakuja kunielewa tu.Andaa tafsiri pia juu ya hao vijana wawili kuzimishwa na kisha kuzinduliwa baada ya karne nyingi.Wewe hujui kama unafunga mlango na madirisha na mwisho wa siku utakosa pa kutokea.Stay tuned.
 
Jibu hoja juu ya maelezo ya Khadija kumpinga Muhammad kuwa hakuwa amepagawa na pepo kule pangoni.Tueleze ni kwa vipi maelezo ya Khadija yanapaswa kuaminiwa na kuchukuliwa kuwa ni ushuhuda kuwa Muhammad alikuwa ametokewa na malaika?
ina maana ww ushahidi wa quran ujauona au unajitoa akili
 
Utakuja kunielewa tu.Andaa tafsiri pia juu ya hao vijana wawili kuzimishwa na kisha kuzinduliwa baada ya karne nyingi.Wewe hujui kama unafunga mlango na madirisha na mwisho wa siku utakosa pa kutokea.Stay tuned.
Kwa hoja za nyepesi nyepesi hizo
 
Mbona unalazimisha mambo ww sifa za dhul qarnaini mbona zimetajwa unaangaika nn
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…