titimunda
JF-Expert Member
- Nov 26, 2014
- 7,571
- 9,789
Nimekuuliza wewe unieleze reasoning kwa upeo wako ya kuwepo magonjwa na tiba duality hyo imetoka wapi,je unamaelezo ya kisayansi yanayoexplain jambo hilo.Kwa nini Mungu wako ajitekenye na kucheka mwenyewe?
Kwa nini awezeshe ugonjwa uwepo na dawa badala ya kukataza ugonjwa usiwezekane kabisa?
Na vipi kuhusu magonjwa ambayo hayana dawa?
kuhusu magonjwa ya siyokuwa na dawa ni suala la ugunduzi/uvumbuzi tu,kuna magonjwa yanayotibika hivi sasa ambayo miaka 10-100-1000 iliyopita yalikuwa hayatibiki wala kujulikana dawa lakini hivi sasa yanatibika,so usiseme gonjwa halina dawa sema gonjwa halijagundulika dawa yake.kisicho na dawa ni ulemavu tu,lakini hakuna gonjwa lisilokuwa na dawa.