hahaaaa sasa mbona hilo. kila mtu huw analiona " lakini haimaanishi " kuwa jua huw linazama kweli kwenye matope" hivi kweli jambo dogo kama hilo pia muhhamad alikuwa anasubiri mungu amwambie" wakati iko wazi kwamba kila mtu aliyeishi duniani huwa anaona hivyo ", sio huyo dhur qarnain tu ambaye alikuwa anaona hivyo ",hata mababu' na mabibi zake "walikuwa "wakiona hivyo pia",...so palikuwa na mantiki ipi " ya haya iyo ' kuzungumzia " kitu " rahisi kama hicho" nakukifanya kuwa "kama kitu special vile"" Mimi nilidhani" kwamba", muhhamad itakuwa aliambiwa " na mungu" kuwa "sabbu inayofanya "watu waone vile " nikutokana na mwisho" wa upeo wa macho yetu" lakini kiuhalisia " nikwamba" Jua halizami", ndio maana wakati ambao " baadhi ya binaadamu "ambao huwa wanahisi limezama " basii " kwenye nchi nyingine huwa wanalipata " Kama tulivyokuwa tunalipata sisi" ....MPAKA MUDA HUU SIJAONA MANTIK YA HIYO AYA " KUWA DHURQARNAIN ALIONA JUA LINAZAMA KWENYE TOPE JEUSI "",wakati ni ishara ambayo kila mtu " huwa anaiona " pindi anapokuwa anekaa "ziwani/baharini