Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
Weka tofauti ya kitabu na Scroll nionescrolls ni kurasa chache tu mfano labda zile amri kumi za mungu kama mussa angepewa zile tu tungesema pale kapewa kitabu?ila pale ingekua kapewa scrolls
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka tofauti ya kitabu na Scroll nionescrolls ni kurasa chache tu mfano labda zile amri kumi za mungu kama mussa angepewa zile tu tungesema pale kapewa kitabu?ila pale ingekua kapewa scrolls
Sasa hii ndiyo nini!!??
unaona nini hapo,ni link hiyoSasa hii ndiyo nini!!??
Adam ndie nabii wa Kwanza?
Alipewa kitabu gani?
Mkuu, mitume na manabii Mungu aliwapa utume au unabii kwa mpangilio uliwazi na unao eleweka, lakini kwa Mud nitofauti! Why kwa mud kuwe tofauti?kwani kwa mujibu wa biblia yesu alikuja kwa ajili ya akina nani?maana kila nabii na mtume alikuja kwa umma wake na zama zake
ni maamuzi yake tu mungu kuwaleta hao mitume,unafikiri ni kwa nini hakuisha tu kwa ibrahim labda kwa nini alifika mpaka mussa hadi yesu hadi muhammad?
ni mipango yake aliamua adam awe wa kwanza na wengine wafuate,kwenye mipango yake hana kwa kumuhoji hilo lazima tulikubali na kama una amini mungu yupo lazima ukabaliane na hili mkuu
sijui biblia ilivyotunza ila kiuhalisia imebadilishwa sana,quran imebaki kama ilivyo for years na hii ni living miracle aliyoiacha Muhammad, ukipata wasaa nenda kajisomee mwenyewe mathematical miracle of the quran ni impossible kwa binadamu kwa kawaida kutunga mwenyewe yale mashairi kwa mpangilio ule na kuyawekea code namna ile kiasi kwamba hata mtoto mdogo aliyesoma quran vizuri ukitoa tu hata herufi moja una haribu mpangilio wote na itajulikana tu na ndio maana quran haipotei wala kubadilishwa sababu utajulikana huwezi kubadilisha herufi wala synonym mule na isijulikane
kuna verse zimetoa onyo mule kwamba hata wakikusanyika majini na watu wote duniani na kusaidiana wao kwa wao hawawezi kutunga quran kama ile na hii kitu mpaka leo haija wahi fanikishwa(quran 16:88)
mathematical miracle ya quran ni beyond human capabilities,kama unataka kupata maarifa nenda kwenye mitandao utayakuta hata humu jf kwenye jukwaa la dini nimewahi kuiweka
Kitabu ni collection of sheet wakat scroll ni huwa ni kama bandiko ambalo halija-contain mambo mengi, kusoma lazima ulikunjue na ukimaliza unalikunja kama atlasKuna tofauti gani ya kitabu na Scrolls?
Mkuu inaposema imejaa code unakua unamaanisha nini?Upo sahihi kabisa hujakosea hata nukta.... hiyo surat Kahf imejaa code sana ni hadithi ya matukio matatu tofauti... mwenzetu badala ya kuuliza maana anakuja na shutma.... inashangaza sana.
Kama hakupewa kitabu Watu wake walimjua vipi Mungu na miongozo.?Kuwa mtume au nabii si lazima upewe kitabu.
Na tofauti ya mtume na nabii ni kubwa sana. Kwa ufupi "Kila mtume ni nabii lakini si kila nabii ni mtume".
Kumepita mitume wengi hali kadhalika manabii wengi. Lakini waliopewa vitabu ni :
1.Muhammad
2.Issa
3. Musa
4.Daudi
Pia kulikwa na misahafu yaani nakala za Ibrahim na Mussa.
Allaha ndio anajua zaidi.
hi hivi nikichomoa kurasa nne za kitabu fulani halafu nikaziweka upande wa kushoto na na kitabu chenyewe nikakiweka upande wa kuliaWeka tofauti ya kitabu na Scroll nione
utofauti upo wapi unao uona wewe?Mkuu, mitume na manabii Mungu aliwapa utume au unabii kwa mpangilio uliwazi na unao eleweka, lakini kwa Mud nitofauti! Why kwa mud kuwe tofauti?
Fact niliyo prove ni kwamba dhana ambayo inajipinga yenyewe haiwezi kusimama kama ukweli.Usibadilishe mada mkuu. Ishu ni kwamba unapopinga uongo pinga kwa facts zako mwenyewe ambazo umeprove mwenyewe haijalishi nani kagundua ishu ni uwezo wako mwenyewe wa kudhibitisha hicho alichokigudua ili ukubaliane nacho sio kukubali tu kwa title ya kuwa wanasayansi wamegudua.Unangangania watu wa prove uwepo wa mungu wakati wewe mwenyewe huwezi kudhibitisha uwepo wa vitu unavyoamini kuwa vipo.
hahaaa you can't be serious ' kwahiyo hili ndio jibu " la watu waliofanywa wawe na mioyo migumu na mungu " .. ""? halafu licha ya kuwafanya wawe na mioyo hiyo " atakwenda kuwaadhibu"",... hivi wewe unaweza kumuadhubu " mwanao "ambAye haukumpeleka shule kusoma"" ukimtuhumu kwa kosa lakutokujua kusoma wala kuandika ""?
Kama hakupewa kitabu Watu wake walimjua vipi Mungu na miongozo.?
Nayeye aliutoa wap unabii
kwanza mimi siamini hiyo sijui " nini Quran" so muda WA kuchnguza hao watu sina " kinachoshangaza ni mungu kwenda kuwachoma moto watu ambao yeye mwenyew ndiye aliyewafunga masikio na mioyo yao",una muadhibu mtu ambaye wewe mwenyewe ndiye uliyechangia asiweze kukufuata " sasa huo siuonevu mkuu..??Qur'an imesema hivyo ndio kwamba kuna watu wapigwa mihuri na vizibo kwenye masikio,mionyo. Sasa swali la msingi nakuuliza wewe. Je unawajuwa hao watu ? Na je unaweza kuniletea ushahidi kwamba huyu amepigwa muhuri na kuwekewa vizibo masikioni ?
Kama hujaelewa usilize swali kwanza.
Cha msingi kila mtu atimize wajibu wake,na kutii sheria.
Sipingi wewe kukubaliana nayo nacho kuuliza je unahakika nayo? Na unahakika nayo kwa uhakika upi wa kujiridhisha au your still followerFact niliyo prove ni kwamba dhana ambayo inajipinga yenyewe haiwezi kusimama kama ukweli.
Mfano. Kama pembetatu na duara ni maumbo tofauti katika Euclidean geometry planes, duara lina nyuzi 360 na pembetatu ina nyuzi 180, hakuwezi kuwepo pembetatu ambayo hapohapo ni duara katika Euclidean geometry.
Hiyo ni contradiction. Hilo umbo la kufikirika la "pembetatu duara" halipo. Halina logical consistency.
Vivyo hivyo, huyo Mungu wenu ambaye upande mmoja mnasema ana uwezo wote, ujuzi wote, ujuzi wote na upendo wote na upande mwingine kaumba ulimwengu ambao mabaya yanaweza kutokea, ilhali aliweza kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani kutokea, ni contradiction.
Mungu huyo hana logical consistency.
Kusema Mungu huyo yupo ni sawa na kusema kuna pembetatu ambayo hapo hapo ni duara katika Euclidean geometry planes.
Haya ni mambo ambayo nayaelewa na kuyakubali ma sisemi kwa sababu mtu mwingine kaandika.
Wahyi (ufunuo) uliokuja kwa Muhammad alisikia makengele,uso kuwa mwekundu,jasho kumtoka. Katika Bukhar, Hadithi na 2, Juzuu na 1,Al-Lu’lu Kitabu cha 3.Uk. Na.874 Hadithi na 1505 “Hadithi ya Aisha r.a mama wa waumini amesema, kuwa Al Harith ibn Hisham r.a alimuuliza mtume wa Allah s.a.w ‘ Ewe mtume wa Allah hivi wahyi (ufunuo) hukujia vipi?’ mtume wa Allah s.a.w akajibu, “ Wakati mwingine hunijia kama mlio wa kengele, na aina hiyo ndiyo ngumu zaidi kwangu, inaondolewa hali hiyo kwangu wakati tayari nimeshapata wahyi. Na nyakati nyengine malaika anakuja kwangu akiwa katika mfano wa mtu, kwa hiyo ananieleza na ninayazingatia aliyoyasema.” Aisha r.a alisema , Na hakika nilimwona unamshukia wahyi siku ya baridi kali na ilipomuondoka hali hiyo, paji lake la uso lilichuruzika jasho.”utofauti upo wapi unao uona wewe?
na ukumbuke mungu anafanya atakavyo yeye na haojiwi kwa matendo yake
Nina uhakika kama wewe ulivyokuwa na uhakika kwamba swali lako linatakiwa kujibiwa na jibu ukaniuliza swali hili.Sipingi wewe kukubaliana nayo nacho kuuliza je unahakika nayo? Na unahakika nayo kwa uhakika upi wa kujiridhisha au your still follower
siamini hadithi mkuu labda iwe imeendana sawa sawa na quran,vinginevyo sitaiamini kabisa maana hadithi nyingi zimechakachuliwaWahyi (ufunuo) uliokuja kwa Muhammad alisikia makengele,uso kuwa mwekundu,jasho kumtoka. Katika Bukhar, Hadithi na 2, Juzuu na 1,Al-Lu’lu Kitabu cha 3.Uk. Na.874 Hadithi na 1505 “Hadithi ya Aisha r.a mama wa waumini amesema, kuwa Al Harith ibn Hisham r.a alimuuliza mtume wa Allah s.a.w ‘ Ewe mtume wa Allah hivi wahyi (ufunuo) hukujia vipi?’ mtume wa Allah s.a.w akajibu, “ Wakati mwingine hunijia kama mlio wa kengele, na aina hiyo ndiyo ngumu zaidi kwangu, inaondolewa hali hiyo kwangu wakati tayari nimeshapata wahyi. Na nyakati nyengine malaika anakuja kwangu akiwa katika mfano wa mtu, kwa hiyo ananieleza na ninayazingatia aliyoyasema.” Aisha r.a alisema , Na hakika nilimwona unamshukia wahyi siku ya baridi kali na ilipomuondoka hali hiyo, paji lake la uso lilichuruzika jasho.”
JIBU LANGU: Kudhibitisha kitu ni kwa kuona, kugusa, kusikia, kuonja na kunusa.Nina uhakika kama wewe ulivyokuwa na uhakika kwamba swali lako linatakiwa kujibiwa na jibu ukaniuliza swali hili.
It is a matter of simple logic.
Wewe una uhakika Mungu yupo na unaweza kuthibitisha hilo kwa namna ambayo haipingiki kimantiki?