Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
The Bible. The Quran. The Philosophers.

If you reject the existence of this God. You will aready agree with me on the fact that this God does not exist.

Then we can move on to any other God you wish to discuss.

Are you rejecting the existence of this God?

Ulisema wanaosema Ile tafsiri ya Mungu ni Bible , Qur'an na philosophers,

Nilitaka ushahidi wa hayo maneno yako
 
Kwa akili ya kisilamu unabishia kitu Ambacho hakipo [emoji12] MTU HAWEZI KUWA MUNGU HUO NI UKWELI WA UKWELI [emoji106] JEE MUNGU HANA UWEZO WA KUWA MUNGU [emoji47] ukisema ANAWEZA Umepatia THAWAB UKISEMA HAWEZI UNAKUFURU [emoji4]
Hapo Ndipo ndugu zetu ktk Adam shetani kawavuruga hadi wote watanuna makafir na KUJIPA WEPESI kuingia jehannam [emoji24]

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app

Kwani kabla yesu kuzaliwa, Mungu alikuwa na jina gani?? Na wapi alisema nitajitia nyama niwe binadamu ??
 
Maneno yangu au kutoka kwenye Quran, Bible na Philosophers?

Wewe unakubali huyo Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote yupo?

Tubishane mimi na wewe hata tukivitoa hivyo vitabu na philosophers.

Unaelewa kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kuumba ulimwengu huu unaowezekana kuwa na mabaya ni contradiction?

Unaelew kwamba contradiction hiyo inaonesha kwamba Mungu huyo hayupo, ni kama habari ya kuwepo pembetatu ambayo hapo hapo ni duara katika Euclidean plane geometry?
 
Toka asubuhi kwa Upendo Wa KRISTO Nimekushauri zunga linakusababish umfananishe Mwenyezi na Babu yako hivyo ukatahiriwe [emoji117]
IMG_20180909_073212_163.jpg
ona unavyo leta wazimu wa maswali [emoji117]
IMG_20180902_092714_619.jpg
nimeamini Fundisho la HEKIMA [emoji117]
IMG_20180909_075849_123.jpg
 
Maneno yangu au kutoka kwenye Quran, Bible na Philosophers?

Wewe unakubali huyo Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote yupo?

Tubishane mimi na wewe hata tukivitoa hivyo vitabu na philosophers.

Unaelewa kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kuumba ulimwengu huu unaowezekana kuwa na mabaya ni contradiction?

Unaelew kwamba contradiction hiyo inaonesha kwamba Mungu huyo hayupo, ni kama habari ya kuwepo pembetatu ambayo hapo hapo ni duara katika Euclidean plane geometry?

Hayo maneno uliyoyaandika ndiyo ushahidi wa tafsiri ya Mungu kutoka biblia na Qur'an na philosophers?
 
Unataka ushahidi kutoka kwangu mimi au kutoka kwenye Biblia, Quran na Philosophers?

Mbona hueleweki?

Nimekuuliza unayajua majina 99 ya Allah?

Nimeandika "Do you know the 99 characteristic names of Allah? "

Hujajibu swali hili.

Unategemea tutajadiliana vipi kama hujibu maswali yangu?

Nikwamba umeliona ukalikwepa? Hukuliona au huna nidhamu ya kusoma maswali na kuyajibu tu?
 
Naona umeanza kuchanganyikiwa au unajitia wazimu , hivi wapi uliniuliza suali la majina 99 ya Allah??
Kama unakimbia kujibu swali langu kistyle kimbia Tu si aibu
 
iwe awaye Yote ktk mapambano na shetani [emoji53] Ayubu alimshinda shetani au akafa [emoji47] sasa ona mnavyo chezewa na shetani [emoji15] shetani naye anapopolewa mawe nusu uchi [emoji47] [emoji15] [emoji38] [emoji38] [emoji38] ona mnavyo KUFA [emoji117] View attachment 861099View attachment 861100 [emoji4]
Ahahahahahahahahaha ndio maana nikasema Wewe bado sana kwanza unaafiki kuwa Ayubu alichezewa na shetani ,kwahiyo hoja yako ya shetani kuwajaribu waislamu imekwisha, sasa umehamia kwenye mapicha hakuna cha kukusaidia kwasababu picha haiwezi kuwa hoja , na nimekwambia kama unaweza kuamini Bikira maria anakuombea kwa Mungu si vichekesho
 
Hii inatosha [emoji117] View attachment 861110 allah naye anachukua udhu, Anapulizwa kama wewe unapogonga kichwa Ardhi wakati Wa kumswalia baba yake kassim [emoji117] View attachment 861117 [emoji15] [emoji23] [emoji23] sasa mkubwa allah au baba kulthum [emoji47] mezeni tu usanii...mkae mkijua MWENYEZI MUNGU amesha sema [emoji117] View attachment 861151
Ahahahahahahahahahaha kumsalia ndio nini umesema ? eti kuchukua udhu unatafuta kichaka wakati watu wameshalima , ebu uliza maulamaa tukufundishe , utetezi wa kitoto unaoleta hauwezi kukusaidia amuwezi kumpa mtu cheo cha Mungu halafu mkabaki salama, nyie ni zaidi ya wachawi na washirikina, nyie niwatovu wa nidhamu kwa Muumba wa nchi , Bikira maria mama wa Mungu huu ni ubahau ahahahahahhahahahhaha
 
Kwa akili ya kisilamu unabishia kitu Ambacho hakipo [emoji12] MTU HAWEZI KUWA MUNGU HUO NI UKWELI WA UKWELI [emoji106] JEE MUNGU HANA UWEZO WA KUWA MUNGU [emoji47] ukisema ANAWEZA Umepatia THAWAB UKISEMA HAWEZI UNAKUFURU [emoji4]
Hapo Ndipo ndugu zetu ktk Adam shetani kawavuruga hadi wote watanuna makafir na KUJIPA WEPESI kuingia jehannam [emoji24]

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Wewe Mungu hawezi kufanywa toy, acheni imani ya kipuuzi hiyo, hivi kwanini unatetea imani ya ovyo iliojaa uongo, yaani kweli umekaa hapo unasema Mungu kasulubiwa msalabani mara wamemvua nguo wakambakisha na kachupi , amka usingizini Huo ni ushirikina wa kumpa mtu cheo cha Mungu
 
Ziko dini za hovyo kama baniani na pia wachawi wapo lakini waislam wao wanahangaika na wakristo tuuuuuu. Hatutaacha kuwafukuza majini yenu.
Tulia kijana dawa ikuingie, mtoa mada ni mkristo , sasa waislamu wanaangaikaje na wakristo? tunachofanya sisi ni kujibu mapigo tu
 
Wewe Mungu hawezi kufanywa toy, acheni imani ya kipuuzi hiyo, hivi kwanini unatetea imani ya ovyo iliojaa uongo, yaani kweli umekaa hapo unasema Mungu kasulubiwa msalabani mara wamemvua nguo wakambakisha na kachupi , amka usingizini Huo ni ushirikina wa kumpa mtu cheo cha Mungu
Huwezi na huna UWEZO wa kufanya Mungu toy ilaha Mungu ANA UWEZO WA Kukufanya wewe toy ima uoze ugeuke funza au Leo uwe mbuguma vidume wanakugombea [emoji123] [emoji106] TAMKA UWEZO HUO MUNGU HANA [emoji15] [emoji47]
 
Ahahahahahahahahahaha kumsalia ndio nini umesema ? eti kuchukua udhu unatafuta kichaka wakati watu wameshalima , ebu uliza maulamaa tukufundishe , utetezi wa kitoto unaoleta hauwezi kukusaidia amuwezi kumpa mtu cheo cha Mungu halafu mkabaki salama, nyie ni zaidi ya wachawi na washirikina, nyie niwatovu wa nidhamu kwa Muumba wa nchi , Bikira maria mama wa Mungu huu ni ubahau ahahahahahhahahahhaha

Ahahahahahahahahahaha kumsalia ndio nini umesema ? eti kuchukua udhu unatafuta kichaka wakati watu wameshalima , ebu uliza maulamaa tukufundishe , utetezi wa kitoto unaoleta hauwezi kukusaidia amuwezi kumpa mtu cheo cha Mungu halafu mkabaki salama, nyie ni zaidi ya wachawi na washirikina, nyie niwatovu wa nidhamu kwa Muumba wa nchi , Bikira maria mama wa Mungu huu ni ubahau ahahahahahhahahahhaha

Hebu rudia kauli hii ya allah [emoji117] View attachment 861859 anamsalia au hamsalii [emoji47] na taratibu za kuswali hizi hapa [emoji117]
IMG_20180910_104926_273.jpg
IMG_20180910_105019_037.jpg
na kama allah kushughulika aoge na sababu za kuoga hizi [emoji117]
IMG_20180530_224415_217.jpg
umebakia maulamaa maulamaa=majingaa [emoji12] [emoji33] [emoji23] [emoji23] au kama wewe ndie allah sema [emoji4]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom