nyabhera
JF-Expert Member
- Nov 25, 2011
- 661
- 733
Allah hajui jua hahaha my gosh allah wa wakoreshi kama idol tu hajui loloteHamna cha rhetorics suali ni Jee Yuda alichaguliwa au hakuchaguliwa ???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Allah hajui jua hahaha my gosh allah wa wakoreshi kama idol tu hajui loloteHamna cha rhetorics suali ni Jee Yuda alichaguliwa au hakuchaguliwa ???
What Your wrote in the above is in according to Islamic perseption. Not according to True Almighty Living God.
Besides none of you, have good deeds when it comes to faith. You only remained with bad deeds.
-It is acceptable to hate non-believers
-To kill Non-believers.
-To discriminate non-believers
- Bigotry: To call them Bad names like Kafir, Kuffar,Najis.
-to rape.
-To beat wives
-To enslave blacks
Etc.
[emoji115] These acts signify of devil presence.
No Human can serve fellow Human. Only God that can serve human. And that is Through Jesus Christ. 'the 'Word' .
Dhambi iliingia duniani kupitia Mti. Na imetoka kupitia Mti wa Msalaba.
Dhambi ilianzia Bustanini. Na Bustanini ndipo Ukombozi ulipoanzia.
Uumbaji ulianzia kwenye Maji. Na Uumbaji wa mara ya Pili unafanyika kwa Maji kupitia Ubatizo. We see science through all of it.
Kwa maana imeandikwa,
1 Corinthians 1:18
Kwa sababu neno la msalaba kwao wanaopotea ni upuzi, bali kwetu sisi tunaookolewa ni nguvu ya Mungu.

Hilo ni tatizo lako sio langu , ndio maana unatetea uongo kwa kisingizio cha roho mtakatifu ajui misamiati ahahahahahaahaahahahabob uwe unapitia basi tread tayari mwenzi alisha weka nikwamwambia nimekosea ni Luka si Mathayo mistari hiyo hiyo
Allah hajui jua hahaha my gosh allah wa wakoreshi kama idol tu hajui lolote
Allah hajui jua hahaha my gosh allah wa wakoreshi kama idol tu hajui lolote
Ahahahahahaahahahahahahaha kama Bwana asivyojua kuwa Nyoka ali vumbiAllah hajui jua hahaha my gosh allah wa wakoreshi kama idol tu hajui lolote
Kama mpaka sasa bado kuna mtu anaamini yesu alisulubiwa ili yeye apate uokovu bila shaka atakuwa na tatizo la akili " Haki yake mwenye haki, uovu wake mwenye uovu"Paulo Alifanikiwa Kitu Gani?
Watu wa mataifa kwa mara nyingine tena walifarijiwa: walikuwa na waokozi katika dini zao za zamani za kipagani, na mara hii tena, Paulo aliwapa mwokozi mmoja katika imani yao mpya ya Ukristo.
Aliwaambia kwamba walichokuwa wanatakiwa kukifanya ili kuwa na yakini kwamba Mwenyezi Mungu atawasamehe madhambi yao ni kuamini kwamba Yesu alikufa kwa ajili ya dhambi zao, hilo tu ndilo walilotakiwa kulifanya.
Katika sheria ya Kiyahudi, mambo muhimu katika kafara au fidia kwa ajili ya madhambi ni Rehema ya Mwenyezi Mungu, toba na jitihada za dhati katika kufanya mambo ya kheri; kafara ya damu haikuhitajika.
Katika jitihada zake za kuwapata watu wa mataifa, Paulo alilitafsiri upya Agano la kale na akawapa Wakristo wapya mwokozi wao - mtu ambaye huyatoa maisha yake kwa ajili ya wengine.
Imani yake ya kuteswa na kufa kwa Yesu kwa ajili ya dhambi za wanadamu - aliyoiingiza katika ukristo, imekuwa ni tatizo kubwa kwa Wakristo kuielezea ikaeleweka, baada ya kuona jambo zima linatatanisha wakati nguvu za hoja na akili zinapojaribu kufurukuta na kutaka kutumika.
TUMFAHAMU AL LAH.
SIKILIZA HAYA KUTOKA JF
Kuhusu itikadi ya "Dhambi ya asili (Original Sin) na Upatanishi (Atonement):
Hii nayo sio kweli, wala haingii akilini.
Akili timamu inakataa kabisa nadharia hii ya Dhambi ya Asili na Kafara. Kusema eti dhambi walioitenda wazazi wetu Adam (a.s.) na Hawa (r.a.) maelfu ya miaka iliyopita - dhambi hiyo imerithishwa kwa kila mwanadamu hadi siku ya mwisho, kunapinga aya nyingi za Biblia na Qur'an zifuatazo:
"Kum 24:16 Mababa wasiuawe kwa ajili ya watoto wao, wala watoto wasiuawe kwa ajili ya baba zao; kila mtu auawe kwa ajili ya dhambi zake mwenyewe".
Aya ya 2 Fal 14:6, na 2 Nya 25:4 zasema vivyo hivyo pia.
"Yer 31:30 Bali kila mtu atakufa kwa sababu ya uovu wake mwenyewe..."
"Eze 18:20 Roho itendayo dhambi ndio itakayokufa, mwana hatachukua uovu wa baba yake, wala baba hatauchukua uovu wa mwanae, haki yake mwenye haki itakuwa juu yake, na haki yake mwenye uovu itakuwa juu yake".
Hata Yesu mwenyewe kaipinga hii nadharia ya "Dhambi ya Asili" kwa kusema kuwa watoto wadogo hawana dhambi (Mt 18:2-4, 19:14; Mt 18:2)
Qur'an nayo imesisitiza kuwa kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe:
"17:15 Anayeongoka, basi anaongoka kwa maslahi ya nafsi yake mwenyewe, na anayepotea basi anapotea kwa hasara ya nafsi yake mwenyewe. Wala hatabeba mbebaji mzigo wa mwingine...".
"53:36 Au hakuambiwa yaliyomo katika vitabu vya Mussa?
37: na vya Ibrahimu aliyetimiza ahadi ya Mwenyezi Mungu?
38: Ya kwamba haichukui nafsi yeyote dhambi ya nafsi nyingine?
39: Na kwamba mtu hatapata ila yale aliyoyafanya
40: Na kwamba amali itaonekana.
41: Kisha atalipwa malipo yaliyo kamili..."
Ukifika hapa, yanazuka masuali mengine mengi tata kwamba:
Je, Mariamu, mama wa Yesu naye anayo dhambi ya kurithi au hana?
Iwapo Mariamu anayo dhambi ya urithi kutoka kwa Adamu na Hawa, Yesu naye ameirithi hiyo dhambi kutoka kwa mzazi wake pekee Mariamu?
Hii ndio itikadi ya Dhambi ya Asili aliyoizusha Mt. Paulo ili apate kuhalalisha itikadi yake nyingine ya Fidia (Kafara, sadaka Cacrifice, Atonement) kwa njia pekee ya kufa Yesu msalabani (Rum 5:12-15, 1 Kor 15:22)
Hayo ni mambo ya kuzusha kutoka kwa mzushi PauloWhat Your wrote in the above is in according to Islamic perseption. Not according to True Almighty Living God.
Besides none of you, have good deeds when it comes to faith. You only remained with bad deeds.
-It is acceptable to hate non-believers
-To kill Non-believers.
-To discriminate non-believers
- Bigotry: To call them Bad names like Kafir, Kuffar,Najis.
-to rape.
-To beat wives
-To enslave blacks
Etc.
[emoji115] These acts signify of devil presence.
No Human can serve fellow Human. Only God that can serve human. And that is Through Jesus Christ. 'the 'Word' .
Dhambi iliingia duniani kupitia Mti. Na imetoka kupitia Mti wa Msalaba.
Dhambi ilianzia Bustanini. Na Bustanini ndipo Ukombozi ulipoanzia.
Uumbaji ulianzia kwenye Maji. Na Uumbaji wa mara ya Pili unafanyika kwa Maji kupitia Ubatizo. We see science through all of it.
Kwa maana imeandikwa,
1 Corinthians 1:18
Kwa sababu neno la msalaba kwao wanaopotea ni upuzi, bali kwetu sisi tunaookolewa ni nguvu ya Mungu.
100%Joshua hakuwa nabìi. Hakuna nabìi aliyepigana vita katika bible. Hilo liko katika dinj yenu ya vita tu islam
TUMFAHAMU AL LAH.
Here’s a quick and easy study in Qur'an 4:125:
In Qur’an 4:125,
there are two words for Allah, but they do not have the same meaning.
Kwa WANAOJUA KIARABU TU.
Allah and Lil away from Lillah, that leaves us with lah (god), a word that is common to both names.
LAH ni Jina la.Mungu Mwezi(moongod)
Wa kimisri na aliyeabudiwa na Waarabu.
Kwa kingereza, 'Lillah' linatafsiriwa TO THE GOD.
Kama Uonavyo Lillah and Allah yote ni majina ya Kiarabu yanaandikwa kama.Neno Moja. Lakini ni vipande vya maneno mawili tofauti.
Lil and Al si sehemu ya Neno 'LAH'.
— Lillah na Allah yameundwa na maneno mawili.
Lillah ikimaanisha "to god"
Allah ikimaanisha "the god".
In Arabic, Al = “the”
Na inaunganishwa na majina yale yanayoelekezwa kwa Mungu tu.
Ndio maana majina yote 99 ya Allah yanaanza na "Al"or "the".
Take note however, that “the” is not part of the name. It is just a language tool used to indicate that the name is unique to god; only god can be given this.
Kwa mfano. Kwa Kiarabu huwezi tamka "The Muhammad,”
Kwasababu Mohaad ni Jina la Mtu.
Zingatia hata miungu ya kike ya Mecca ni
Al-Lat and Al-'Uza ina.fanana sana na Allah kwakua yote huanza na Al..kwakua ni miungu.
AJABU NI KUA MESSIAH ANAITWA
Al-MESSIAH ndani ya Quran.[emoji23] [emoji123] .
Kwasababu ndio Messiah peke yake ulimwenguni.
Na ndio binadamu pekee ndani ya Quran mwenye Al au "the" imeunganishwa kwenye jina lake.

Kwa mfano. Kwa Kiarabu huwezi tamka "The Muhammad,” [emoji777]
Kwasababu Muhammad ni Jina la Mtu.

Ndio nini unatufundisha kiarabu? au unajadili Muundo wa lugha ahahahahahahhhajajaja hapa tunajadili maandiko sio muundo wa lugha , leta nukuu ya sura 4 :125 kama kuna jambo ujalielewa tukufundishe, kuhusu masiha QURAN ilishaweka wazi kabisa ni mtu tena alikua akienda chooni ana hata harufu ya UunguTUMFAHAMU AL LAH.
Here’s a quick and easy study in Qur'an 4:125:
In Qur’an 4:125,
there are two words for Allah, but they do not have the same meaning.
Kwa WANAOJUA KIARABU TU.
Allah and Lil away from Lillah, that leaves us with lah (god), a word that is common to both names.
LAH ni Jina la.Mungu Mwezi(moongod)
Wa kimisri na aliyeabudiwa na Waarabu.
Kwa kingereza, 'Lillah' linatafsiriwa TO THE GOD.
Kama Uonavyo Lillah and Allah yote ni majina ya Kiarabu yanaandikwa kama.Neno Moja. Lakini ni vipande vya maneno mawili tofauti.
Lil and Al si sehemu ya Neno 'LAH'.
— Lillah na Allah yameundwa na maneno mawili.
Lillah ikimaanisha "to god"
Allah ikimaanisha "the god".
In Arabic, Al = “the”
Na inaunganishwa na majina yale yanayoelekezwa kwa Mungu tu.
Ndio maana majina yote 99 ya Allah yanaanza na "Al"or "the".
Take note however, that “the” is not part of the name. It is just a language tool used to indicate that the name is unique to god; only god can be given this.
Kwa mfano. Kwa Kiarabu huwezi tamka "The Muhammad,” [emoji777]
Kwasababu Muhammad ni Jina la Mtu.
Zingatia hata miungu ya kike ya Mecca ni
Al-Lat and Al-'Uza ina.fanana sana na Allah kwakua yote huanza na Al..kwakua ni miungu.
AJABU NI KUA MESSIAH ANAITWA
Al-MESSIAH ndani ya Quran.[emoji23] [emoji123] .
Kwasababu ndio Messiah peke yake ulimwenguni.
Na ndio binadamu pekee ndani ya Quran mwenye Al au "the" imeunganishwa kwenye jina lake.
Vijana unawapa dozi nzito wanaanza kutufundisha kiarabu ahahahaaKifo Cha Yesu
Kuhusiana na suala la kifo cha Yesu msalabani - ingawa ni wazi kwamba Yesu, kama alivyokuwa kwa mitume wengine kabla yake, walipatwa na masaibu makubwa kwa sababu ya kujaribu kufikisha ujumbe wa Mwenyezi Mungu kwa watu ambao hawakuonyesha nia na ari ya kuupokea.
Na alikuwa anajua vizuri kwamba hili lingemtokea, hata hivyo hakufikia kiwango cha kuuliwa na hususan kuuliwa kulikopangwa na Mungu - kama ilivyodai Paulo baadaye, yaani kuuliwa ili kumwokoa mwanadamu kutoka kwenye minyororo ya dhambi.
Katika Bustani ya Gethsemane, Yesu aliomba kwa unyenyekevu na shauku kwa Mwenyezi Mungu kuwa "kikombe kinipite" (Mathayo 26:39), ambapo kikombe hiki kinamaanisha kukamatwa na kufa kwake. Hivi kweli tunaamini kwamba mja mnyenyekevu kwa Mwenyezi Mungu anaweza kuomba rehema akanyimwa?
Wazo zima la kuteswa na kufa kwa Yesu msalabani ili awe kafara ya dhambi za wanadamu halikubaliani na hoja za kiakili na mantiki linapohusishwa na Mwenyezi Mungu ambaye ni muadilifu.
Je inawezekana kwa Mwenyezi Mungu ambaye ni mwadilifu kwa kiwango cha juu kabisa akakataa kumsamehe Adam - na kizazi chake baada yake kwa ajili ya dhambi lake tu (Adam) - mpaka Yesu aje?
Je inawezekana kwa Mwenyezi Mungu ambaye ni muadilifu amlazimishe mmoja wa waja wake akataka na kuruhusu kudhalilishwa na kuuwawa kwa mmoja wa mitume wake aliyekuwa mnyenyekevu na mtii sana kwake?
Je inawezekana kwa Mwenyezi Mungu ambaye ni muadilifu amlazimishe mmoja wa waja wake afe kwa ajili ya dhambi za watu wengine? Katika Uislam, hatudhani kuwa hili linawezekana.
Tukiliangalia hili kutokana na mtazamo wa upendo Mwenyezi Mungu, hoja zile zile zinatajitokeza kuhusiana na uadilifuwa Mwenyezi Mungu: Je Mungu mwenye upendo mkubwa kwa waja wake angewaadhibu wanaadam wote bila kuja Yesu?
Je Mwenyezi Mungu mwendo upendo mkubwa kwa waja wake angehitaji kuwa ni lazima mmoja wa waja wake wema na waaminifu (Yesu) adhalilishwe na kuuawa ili awasamehe wanadamu madhambi yao? Yeyote na kila mtu anaweza kushangaa na kujiuliza hii ni AINA gani ya upendo wa Mungu unaoweza kudai kiasi cha gharama kikubwa kiasi hicho na cha kutisha namna hii.
Uislam unashikilia kwa nguvu msimamo kwamba kila mtu anawajibika kwa vitendo vyake: kila mtu ataadhibiwa kwa maovu yake. Haiingii akilini kwamba Mwenyezi Mungu ambaye ni muadilifu anaweza kumuadhibu mtu kwa dhambi alizofanya mtu mwingine.
"Kila nafsi italipwa kutokana na matendo yake na nafsi haitaulizwa juu ya matendo ya nafsi nyingine". (Quran 6:164)
Hakuna mtu anayeweza au atakaye adhibiwa kwa dhambi za mtu mwingine.
Mwenyezi Mungu anatuambia kwamba kila mmoja wetu atalipwa au kuadhibiwa kutokana na aliyoyafanya yeye mwenyewe katika maisha yake.
"Na Mwenyezi Mungu hamtwishi yeyote mzigo mkubwa kuliko ule anaoweza kuubeba. Kila jema nafsi inalolifanya ni kwa faida yake, kila uovu inaoufanya ni kwa hasara yake." (Quran 2:286)
Musa alikuwa nabii na alishiriki katika kufanikisha mambo ya kivita huyo ni muongo, hata samweli alikuwa nabii ndio alimpaka mafuta sauli kuwa mfalme wa Israel kwa amri ya Bwana na yeye ndio alimletea sauli amri kutoka kwa Mungu aende AKAWAANGAMIZE waamaleki, na sauli alipomwacha hai mfalme Agagi Samweli aliingia kumkata kata mapanga mfalme Agagi kama Bwana alivyoamuru, yaani mkitaka kukataa vita labda mchome vitabu vitabu , hata Israel Mungu wenu alikosa alternative ya kuwapa waisrael mpaka kwa vita ndio iliwezekana100%
Vijana unawapa dozi nzito wanaanza kutufundisha kiarabu ahahahaa
Ni kweli kila mtu atavuna alichopanda sio kumbebesha yesu zigo la misumari ahahhaahahahaahaaaahahua starehe upate wewe mimba abebe jiraniDhana ya Dhambi ya Asili
Imani ya ukristo juu ya dhambi ya asili haina nafasi yoyote katika Uislamu, kwani Waislamu wanaamini kwamba mwanadamu huzaliwa akiwa hana dhambi yoyote. Ndani ya Quran, Mwenyezi Mungu anasema:
"Uelekeze uso wako katika dini iliyokuwa sawa ambayo Allah amemuumbia mwanadamu, ambayo inawiana na maumbile ya mwanaadamu". (Quran 30.30)
Aya hii inatueleza kwamba Mwenyezi Mungu alimuumba mwanadamu katika umbile zuri kabisa, na akiwa ni twahiir, asiyekuwa na dhambi lolote; na kwamba umbile lake lilikuwa linamwongoza kutii na kuinyenyekea sheria ya Mwenyezi Mungu.
Dhambi hairithiwi: ni kitu ambacho mwanaadamu hujiletea mwenyewe anapofanya jambo ambalo hakutakiwa kulifanya au anapoacha kufanya jambo ambalo alitakiwa kulifanya.
Kusema kwamba kila mmoja wetu huja duniani anapozaliwa akiwa na mzigo wa dhambi iliyofanywa na babu yake wa nyuma kabisa huko itakuwa si chochote isipokuwa ni kukana sifa ya Mwenyezi Mungu ya uadilifu na rehema yake.
Ingawa Mwenyezi Mungu amempa mwanadamu uhuru wa kuchagua na kufanya mambo anayoyapata hapa duniani, mwanaadamu ni kiumbe mwenye mfumo maalumu na mwenye asili na uwezo maalum.
Mwanadamu atalipwa au kuadhibiwa kwa lile alilofanya yeye mwenyewe, si kwa lile lililofanywa na ndugu yake wa zamani huko.
Matendo yetu wenyewe ndiyo yatakayoangaliwa siku ya hukumu na katika muda wa uhai wetu, Mwenyezi Mungu hutupatia kila nafasi inayowezekana ili tuweze kufanikiwa na Mwenyezi Mungu si mwenye kutudhulumu, mwenye kututwisha mzigo wa dhambi ambazo hatukuzifanya.
Kwa hiyo ni sisi wenyewe ndio tutakaoitengeneza au kuiharibu hatima yetu hapa duniani na kesho huko akhera.
Hii ni kwa sababu Waislamu wanaamini kuwa Mwenyezi Mungu alimsamehe Adam, kosa lake la kutotii amri ya Mwenyezi Mungu.
"Kisha Iblis aliwatekelezesha (wakala tunda katika ule mti) katika Bustani, na akawatoa katika ile hali waliyokuwa nayo -- kisha Adam akafunuliwa kuwa anatakiwa atubu, alipotubu Mwenyezi Mungu alimsamehe, kwani Mwenyezi Mungu ni Mwingi kusamehe, Mwingi wa Rehema". (Quran 2:36-37)
Mwenyezi Mungu alimsamehe Adam, na vilevile alimuondolea aibu na alamu ya kutorehemewa ambayo wakristo wanadai kuwa inarithiwa na wanadamu wote tokea wakati huo wa Adamu mpaka leo na watakaondelea kuzaliwa.
Ngoja nikujibu hii kwanza maana kuifanya point namba moja natumai unaamini ndo turufu yako. ambacho jujui ni dhana ya neno ufalme wa Yesu. Ufalme wa Yesu ni kanisa lake kitakaloishi na kudumu mililele kwa amani. na lilianza kuandalia siku alipofufuka na kuwatokea na kuwaambia sasa enenendeni ulimwengini kote muiuitangaze injili. hivyo kwa mstari huo alimaanisha kunaambao hawatakufa na watashuhudia akiwa amamfufuka kuanzisha ufalme wake wa amani.