Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Hakuna povu hapo ni qulu haqi wainkana mura [emoji53] na ndio sababu hamja nijibu swali langu nini fatwa baina Yenu wewe na gavana Kuhusu View attachment 879037 utamsaidiaje ili awe na Uzima, akili na asalimike [emoji47] [emoji38]
Swali lako anakujibu Mungu wa biblia ,ahahhhahahahaha unajua alimpa AMRI gani juu ya wamidiani
HESABU 31:1-2
31:1"; Kisha Bwana akanena na Musa, na kumwambia
31:2" WALIPIZE KISASI wana wa Israeli juu ya WAMIDIANI; kisha baadaye utakusanywa uwe pamoja na watu wako";

ahahaahhahahaah unaleta uvivu wa kusoma maandiko wakati visasi vimejaa huko kwenu tena Mungu ndio anatuma watu walipize kisasi ,ahahaahaaa JE NI KISASA GANI HICHO ?biblia inajibu
HESABU 31:17
";Basi kwa ajili hiyo Mwueni kila mume katika hao WATOTO, na kila mwanamke aliyemjua mume kwa kulala pamoja naye ";

ahhahahahahahah hivyo ndio visasi mpaka WATOTO wadogo mnaua tu ahahahahaahhha
 
Hiyo nyingine [emoji117] View attachment 879034 mpaka akili ikukae sawa badala ya kuangalia PICHA TU usome UJUMBE WA PICHA [emoji4]
Mbona ayubu alipigwa ukurutu kuanzia mwili mzima uji kumtangaza humu ahahahahahaahahahaahhahah wewe umeishiwa hoja nani kakwambia watu wema awajaribiwi? unashangaa Mohammad kurogwa lakini Mungu wako kupigwa makofi unaona sawa ahahahahaahaaha
 
Kwani ukisema kumjua huyu ni Mtume na huyu ni Nabii huna TBS ilaha nafuata mahaba hakuna atakaye kuzomea dogo [emoji4] kwa sababu mtu mwenye majibu kama haya [emoji117] View attachment 879030View attachment 879032 lmwenye profile kama hii [emoji117] View attachment 879033 ni akili ya maiti inayo weza kuamini katumwa na Mwenyezi [emoji53] [emoji12]
Hizi hoja zako zote tumeshakujibu nafikir sasa umeishiwa hoja unafanya marejeo kwa kukusaidia sifa za kumjua nabii ni hizi kumuita Mungu MPUMBAVU

WAKORINTHO wa kwanza 1:25
", kwasababu UPUMBAVU wa Mungu , una hekima zaidi ya wanadamu, na udhaifu wa Mungu una nguvu zaidi ya wanadamu"

KUKUFURISHA WATU
MATENDO YA MITUME 26:11
" Na mara nyingi katika masinagogi yote naliwaadhibu,nikawashurutisha kukufuru; nikawaonea hasira kama mwenye WAZIMU, nikawaudhi hata katika miji ya ugenini"

ahahahahahahhahahahahahh bila shaka huyo ni mtume uliemkubali kwa mahaba lakini ni mualimu na gwiji la kufuru

Ahahahaaaahahahaaahahaahah halafu sijui Mohammad kateka wanawake mbona hata huko kwenu kawaida tu acha uvivu , tena mnaua WATOTO wadogo, wanawake ila wale bikira ndio mnawaacha hai ili kula uroda na mambo mengine ahahahahahhaa
HESABU 31:17-18
17"; Basi kwa ajili hiyo mwueni kila mume katika hao WATOTO , na kila mwanamke
18", lakini hao WATOTO wote wa kike ambao hawakumjua mume kwa kulala pamoja naye , mtawaweka hai kwa ajili yenu";

ukija hapa uwe umejipanga ahahahahaaahahah
 
wewe ni mtu Wa ajabu sana [emoji12] umebakia huko kwenu mbona...kwani baba fatu alipo waelekeza [emoji117]
IMG_20180928_111038_609.jpg
kumbuka siku hiyo utaenda vunja goti kisha kusoma kitabu cha Musa [emoji117]
IMG_20180928_111233_371.jpg
Utasoma haya [emoji117]
IMG_20180926_211323_747.jpg
IMG_20180926_211117_264.jpg
IMG_20180926_211031_627.jpg
14ccb45a60850bd99ff26a3eb5a87304.jpg
 
Attachments

  • IMG_20180928_110148_636.jpg
    IMG_20180928_110148_636.jpg
    39.6 KB · Views: 25
Nilifikiri unajibu sababu ya kumdhalilisha muhammad kumbe unamuongezea dose ya kumuaibisha zaidi baba kasimu [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106] [emoji736]

Pata zawadi hii
 
Ahahhaahaaaahahahhahahahaah unafanya matangazo ya nyama ?ahahahaahahahahahahaaha ,hilo tangazo ulipie basi ahahahhahahahahahahahahahaha

Tangazo hili hapa [emoji117]
IMG_20180928_121948_539.jpg
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji38] [emoji38] [emoji38] kula tu dogo hata bila dua ya shukrani [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Attachments

  • IMG_20180928_121948_539.jpg
    IMG_20180928_121948_539.jpg
    70.5 KB · Views: 24
Ndugu mtoa post napata shida kufahamu uwezo wako kutoa maana ya maandiko ya vitabu na pia udhaifu wako kwako dandia andiko kati kwa kutoa klichokuwa kinazungumziwa unafanya upotoshaji mkubwa katika na hakika utalipwa kwa unacho kifanya njia bora ingekua ni kuuliza upate majibu stahiki

MUNGU MUUMBA AKUSAMEHE KWA JAMBO ULITENDALO
 
Ahahaahahaaahahahahahahahahah sisi tumeshakutoa kwenye ujinga wa kumuita binadamu mwenzio (Yesu kuwa Mungu ) ni wewe tu na moyo wako sikiliza msumali huo haya ndio mafunzo ya Yesu sio kumsemea umbeya wenu
YOHANA 20:17
"; Yesu akamwambia , usinishike ;kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba , ila enenda kwa ndugu zangu ukawaambie, ninapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu";

aaahahhahhahhahah mwenye macho na aone Yesu amemaliza kazi kwa ulimi wake amefundisha hivyo, wewe endelea na mafundisho yako ya uchochoroni

Kwa nini allah, majini, baba kasimu wanaitakidi Mungu hana Mwana mpaka awe na mke?? Nafuu ya wewe angalau unakubali kwamba licha ya Yesu kuwa MWANA WA MUNGU ANA WANA WENGI TU kuliko Hao makafir [emoji53] kula hashua na mapupu ya mdudu [emoji117]
IMG_20180928_125325_733.jpg
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji4]
 
Swali lako anakujibu Mungu wa biblia ,ahahhhahahahaha unajua alimpa AMRI gani juu ya wamidiani
HESABU 31:1-2
31:1"; Kisha Bwana akanena na Musa, na kumwambia
31:2" WALIPIZE KISASI wana wa Israeli juu ya WAMIDIANI; kisha baadaye utakusanywa uwe pamoja na watu wako";

ahahaahhahahaah unaleta uvivu wa kusoma maandiko wakati visasi vimejaa huko kwenu tena Mungu ndio anatuma watu walipize kisasi ,ahahaahaaa JE NI KISASA GANI HICHO ?biblia inajibu
HESABU 31:17
";Basi kwa ajili hiyo Mwueni kila mume katika hao WATOTO, na kila mwanamke aliyemjua mume kwa kulala pamoja naye ";

ahhahahahahahah hivyo ndio visasi mpaka WATOTO wadogo mnaua tu ahahahahaahhha

Sawa daudi [emoji106] sasa wee ni mtemi hutaki Kumpa ruksa naye akule mvutu kama ulivyo mbaka ili kama alivyo sema baba kasimu [emoji117]
IMG_20180923_153029_381.jpg
ilegeza kidogo ili naye ajaaliwe [emoji38]
 
Mbona ayubu alipigwa ukurutu kuanzia mwili mzima uji kumtangaza humu ahahahahahaahahahaahhahah wewe umeishiwa hoja nani kakwambia watu wema awajaribiwi? unashangaa Mohammad kurogwa lakini Mungu wako kupigwa makofi unaona sawa ahahahahaahaaha

Tia Neno na hapo
pmm-fart.jpg
usiangalie picha tupu ya ushuzi ilaha na ujumbe picha [emoji38] [emoji38]
 
Tia Neno na hapo View attachment 880246 usiangalie picha tupu ya ushuzi ilaha na ujumbe picha [emoji38] [emoji38]

zawadi yako hii

NAFSI MBALI MBALI ZIKISHIRIKIANA KATIKA UMILELE:

Kama sehemu za mungu wa Kikristo ni nafsi tatu mbalimbali zikishirikiana pamoja milele, hapo swali litazuka kuhusu uhusiano
wa ndani wa nafsi hizo.

Kama hizo ni tatu daima zikifanyiza mungu mmoja, haikosi kila moja katika hizo tatu itakuwa na fikra yake na upendo wake binafsi hata kwamba taabu ya mmoja, kama anaweza kutaabika, ni taabu yake tu.

Nafsi nyingine mbili zinaweza kuihurumia tu bila ya kushirikiana katika shida yake.

Naam, haiwezekani kuwaza namna Mungu anavyofikiri na kuamua, lakini madai haya ya kwamba yeye kwa hakika ni nafsi tatu zilizounganika pamoja kufanyiza Mungu mmoja yanatupatia haki ya kujaribu kutafuta uhusiano wa ndani baina ya mifumo
mitatu ya kujitegemea ya kufikiria.

Mfano wa kwanza unaweza kuwa wa mtoto mmoja aliyezaliwa na vichwa vitatu. Hali hiyo mbaya kupita kiasi inamaanisha ya
kwamba huyo ni mtu mmoja kwa sababu kuna kiwiliwili kimoja, mikono miwili na miguu miwili, lakini vichwa vitatu vinaleta
matatizo yasiyoweza kuelezeka hakika hasa ya kila kichwa katika hivyo vitatu.

Kama viumbe visivyo vya kawaida vikiishi muda wa kutosha mpaka viweze kusema na kujieleza, hapo tu ndipo twaweza kuwauliza yanayofanyika katika vichwa vyao vitatu mbali mbali.

Bila ya kuwa na ujuzi huo haiwezekani kuamua huyo ndiye mtu mmoja ambaye anashirikiana katika mawazo matatu ama ni watu watatu wanaoshirikiana katika mwili mmoja.

Ni la ajabu ya kwamba jiha hiyo ya muhimu sana ya itikadi ya Kikristo haikuelezwa kabisa katika maandiko. Naam, kuhusu
Kristo na Roho Mtakatifu kuna ushuhuda mwingi wa kuhakikisha ya kuwa hao ni wawili mbalimbali wasioshirikiana katika fikara
wala katika maono.

La sivyo, itakuwa vigumu kufahamu madhihirisho ya Roho Mtakatifu tofauti kabisa na Kristo, hususan katika kipindi ambamo Kristo alikuwa amefungwa katika mwili wa mtu.

Maswali ambayo yangezuka kuhusu kilichotendeka kwa Kristo, katika muda wa kusumbuka kwake, kwa kulinganishwa na sehemu mbili nyingine za Mungu wa Kikristo, ni haya yafuatayo:

1. Je, nafsi nyingine mbili, Mungu Baba na Roho Mtakatifu, zilishirikiana kwa njia yoyote katika mwili wa Yesu Kristo au katika majaribu yake kwa kulingana na mwili huo?

2. Je, Yesu peke yake alikuwa ndani ya mwili huo, na kwa hiyo yeye hakushirikiana na nafsi nyingine mbili za Utatu katika majaribu yake kwa kulingana na mwili huo?

Matokeo ya hilo la kwanza yamekwisha zungumzwa tayari. Na kuhusu hilo la pili tatizo jingine tena linazuka kuhusu uhusiano wa Yesu na nafsi nyingine mbili za utatu katika muda wa Yesu kuwa katika mwili wa mtu.

Je, katika muda huo wote Yesu alitengwa kikamilifu na nafsi nyingine mbili na akajitegemea, ama bado alibaki kuwa sehemu isiyoweza kutengwa na nyingine mbili isipokuwa tu yeye akashika makao yake katika mwili wa mtu pasipo kushirikiana na wenzake wawili?

Sasa tunalo swali jingine tena la kulijibu:

3. Je, uungu wake mzima-mzima ulikuwamo ndani ya mwili wake wa kibinadamu, ama huo ulijitokeza tu nje kutoka kwenye 'sura' ya Mungu Baba na Roho Mtakatifu ambayo alishirikiana nao katika hiyo, kama kajidole kadogo kale kanakojitokeza nje ya mwili wa vidudu vidogo vidogo mno visivyoonekana pasipo kutumia darubini kali?

Jambo hilo litatufanya tuamini pia ya kwamba katika kipindi hicho Yesu alikuwa mkubwa kuliko wenzake wawili, kwani yeye
alishirikiana kwa usawa pamoja na Mungu Baba na Roho Mtakatifu katika 'mwili' wa kiungu, lakini hao wawili hawakushirikiana naye katika 'kajidole' kale kalikojitokeza ka 'mwili' wa mtu.

Hivyo basi, ili kurahisisha kuelewa habari yenyewe twajaribu kufafanua hitilafu zilizomo humo na mambo yasiyoeleweka akilini kwa kueleza hali mbalimbali za kukisia ili kutafuta ukweli.

Naam, mifano hii isichukuliwe na wasomaji kuwa hasa ndivyo ilivyotendeka.

Suala lililoko mbele yetu ni kwamba je, yupo mtu mmoja anayedhihirisha sifa tatu ama anapitia hali tatu tofauti. Hiyo itazusha swali la kufikiria shauri ya 'Watatu katika Mmoja' na 'Mmoja katika Watatu', hususan kwa jiha malimbali tofauti, na yule yule mmoja kudhihirisha mienendo na hali mbalimbali.

Hali hiyo imekwisha elezwa kirefu katika mlango uliopita. Hapa iko haja ya kusisitiza tena habari hii ya kwamba ikiwa mtu mmoja
ama dhati moja inadhihirisha hali mbalimbali, basi haiwezi kuzidhihirisha hali hizo tofauti wakati huohuo mmoja bila ya kujigawa katika sehemu mbalimbali.

Kwa mfano, chukua maji kiasi fulani maalum. Maji hayo yanaweza kugeuzwa yote kuwa mvuke ama barafu pasipo kubakiza sura ya maji.

Kama kunahitajika kuyaona katika sura zote tatu, hamna budi kuyagawa hayo maji katika sehemu tatu ili theluthi moja igeuzwe kuwa barafu na theluthi nyingine kuwa mvuke na theluthi moja ibakie kuwa maji.

Kila sura itakuwa tofauti na sura ya sehemu nyinginezo wala yoyote katika hizo haitashirikiana na nyingine mbili wakati uleule mmoja.

Kiasi hicho cha maji chaweza kugawanywa katika hali tatu, lakini ukubwa wa kila sehemu utakuwa mdogo kuliko yale maji kwa
jumla yaliyochukuliwa mwanzoni, wala hamna yeyote awaye awezaye kusema kwamba hayo ni 'moja katika tatu' na 'tatu katika
moja'.

Kadhalika, basi, kudhihirika Kristo kwa sura ya binadamu ya Yesu, ilhali aliendelea kuungika na Yesu-mtu na Mungu Baba,
haiwezekani asilani kueleweka akilini.

Wanadamu wote wameumbwa kwa vitu vilevile vimoja, lakini kufanana kwao wao kwa wao hakuwafanyi kuwa mtu mmoja
pekee. Sifa zao tofauti, dhati zao mbalimbali, na wote hao kuwepo mbalimbali vinawagawa na wakagawanyika kuishi kila mmoja
peke yake, ijapokuwa wote hao wameumbwa kutokana na kitu kilekile kimoja. Huwezi kuwaita 'mmoja katika bilioni tano' na
'bilioni tano katika mmoja' juu ya wote hao kushirikiana katika uanadamu.
 
Mbona tunalia kila siku muione HAQI [emoji24] [emoji24] ni akili ya maiti tu inanayo weza kuamini mtu MWENYE profile kama hii [emoji117]
The%20life%20of%20muhammad.jpg
katumwa na Mungu [emoji15] [emoji12]
 
Kamsomeshe baba yake fatuma [emoji15] [emoji12]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom