Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

Status
Not open for further replies.
Ni kweli kabisa Mtumishi.
Usisahau John 4:16.
wanaipenda hiyo kuwa nitawaletea msaidizi. eti msaidizi ni Mudy muzung!
Swali, Kwanini Yesu aseme nitamleta msaidizi halafu huyo msaidizi anakuja kuwa na cheo kikubwa kuliko aliyemleta?( Kisilamu silamu - Yesu ni Nabii wa kawaida tu)
line hiyo tu ndiyo sahihi kwao, na ndiyo haijawa corrupted kwenye Bible. Ukisoma 4:1-15 na 17- 18 na kuendelea hawataki. maana huko hiyo mistari inawakamua ngama live.
Kwa uelewa wa kawaida Nabii anaweza mtuma /mchagua mtume? watakwambia hapana. Then Who is Jesus? just a normal guy.
 
Usisahau John 4:16.
wanaipenda hiyo kuwa nitawaletea msaidizi. eti msaidizi ni Mudy muzung!
Swali, Kwanini Yesu aseme nitamleta msaidizi halafu huyo msaidizi anakuja kuwa na cheo kikubwa kuliko aliyemleta?( Kisilamu silamu - Yesu ni Nabii wa kawaida tu)
line hiyo tu ndiyo sahihi kwao, na ndiyo haijawa corrupted kwenye Bible. Ukisoma 4:1-15 na 17- 18 na kuendelea hawataki. maana huko hiyo mistari inawakamua ngama live.
Kwa uelewa wa kawaida Nabii anaweza mtuma /mchagua mtume? watakwambia hapana. Then Who is Jesus? just a normal guy.

Kanisa lako linakuambia huyu ndiye Yesu , mtoto wa haramu wa Popo Alexander aitwaye Shoga/Kisoda Cesare Borgia


 
Na
Hata kama wamegundua kwamba Mungu hakuwahi kusema hivyo kwamba Jua linachwea katika matope meusi,ni suala la kukiri tu hadharani na kufuta hiyo aya na kisha maisha yanaendelea.Kwani kuna shida gani kufuta hiyo aya katika Kurani na kubakisha yale yaliyo ya kweli?
Na kama jambo hilo ni uongo basi kila kilicjoandikwa humo ni uongo mtakatifu.wametudanganya sana na mavitabu yao.
 
Kama aya za kitabu cha Mungu zinahitaji msuli kuzielewa basi huyo Mungu kashindwa kazi na katungwa na watu tu, hayupo.

Aangekuwepo, aya zake zisingehitaji kueleweka kw amsuli.

As a matter of fact, Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na ujuzi wote haandikwi kwenye kitabu.

Kwa sababu ana access ya moja kwa moja kwenye ubongo wa kila mtu, kwa nini aandikwe kwenye kitabu?

Ukiona Mungu huyo kandikwa kwenye kitabu, ujue ni watu tu wameandika hizo habari.

Kwa nini Mungu asiweke kila kitu wazi kwa kila mtu kwenye ubongo wa kila mtu bila kuhitaji kitabu, sijui tafsiri kutoka lugha fulani na utata mwiiingi?

Mungu huyo hayupo, aliyeandikwa katungwa na watu tu.
Tz mbongo njoo hapa.
 
Kanisa lako linakuambia huyu ndiye Yesu , mtoto wa haramu wa Popo Alexander aitwaye Shoga/Kisoda Cesare Borgia



Umeukalia sasa unarudia upupu, toa jisumari hilo utujibu.
Muhammad alishindwa mtambua shaitwani alipomjia na kumfix na masura ya kisheitwan, ila anakiri PUNDA, Jogoo wanauwezo kumtambua.
Swali mnaamini vipi anachokisema kama hakitoki kwa sheitwani/JINNS/Iblis?
halafu on hapa hii kitu ni kwa namna gani Muhammad alivyokuwa mjini jini wa ujinini.

Narrated Ash-Sha'bi:
that 'Alqamah said: "I said to Ibn Mas'ud, may Allah be pleased with him: 'Did any of you accompany the Prophet (ﷺ) on the Night of the Jinn?' He said: 'None of us accompanied him. One night, while he was in Makkah, we could not find him. We said: "He has been murdered [or] snatched, what has happened to him?" So we spent the worst night a people could spend until the morning' or 'it was about dawn when we saw him coming from the direction of Hira.' He said: 'They told him about what they had went through.'" "So he (ﷺ) said: 'Someone from the Jinn came to invite me, so I went to them to recite for them.' He said: "So we went and saw their tracks and the traces of their camp fire.'" Ash-Sha'bi said: "They asked him about their provisions - and they were Jinns of Mesopotamia - so he said: 'Every bone upon which Allah's name has not been mentioned, that falls into your hands, and every dropping of dung is fodder for your beasts.'" So the Messenger of Allah (ﷺ) said: "Do not perform Istinja with them for indeed they are provisions for your brothers among the Jinns."

حَدَّثَنَا عَلِيُّ بْنُ حُجْرٍ، أَخْبَرَنَا إِسْمَاعِيلُ بْنُ إِبْرَاهِيمَ، عَنْ دَاوُدَ، عَنِ الشَّعْبِيِّ، عَنْ عَلْقَمَةَ، قَالَ قُلْتُ لاِبْنِ مَسْعُودٍ رضى الله عنه هَلْ صَحِبَ النَّبِيَّ صلى الله عليه وسلم لَيْلَةَ الْجِنِّ مِنْكُمْ أَحَدٌ قَالَ مَا صَحِبَهُ مِنَّا أَحَدٌ وَلَكِنْ قَدِ افْتَقَدْنَاهُ ذَاتَ لَيْلَةٍ وَهُوَ بِمَكَّةَ فَقُلْنَا اغْتِيلَ أَوِ اسْتُطِيرَ مَا فُعِلَ بِهِ فَبِتْنَا بِشَرِّ لَيْلَةٍ بَاتَ بِهَا قَوْمٌ حَتَّى إِذَا أَصْبَحْنَا أَوْ كَانَ فِي وَجْهِ الصُّبْحِ إِذَا نَحْنُ بِهِ يَجِيءُ مِنْ قِبَلِ حِرَاءَ قَالَ فَذَكَرُوا لَهُ الَّذِي كَانُوا فِيهِ فَقَالَ ‏"‏ أَتَانِي دَاعِيَ الْجِنِّ فَأَتَيْتُهُمْ فَقَرَأْتُ عَلَيْهِمْ ‏"‏ ‏.‏ فَانْطَلَقَ فَأَرَانَا آثَارَهُمْ وَآثَارَ نِيرَانِهِمْ ‏.‏ قَالَ الشَّعْبِيُّ وَسَأَلُوهُ الزَّادَ وَكَانُوا مِنْ جِنِّ الْجَزِيرَةِ فَقَالَ ‏"‏ كُلُّ عَظْمٍ لَمْ يُذْكَرِ اسْمُ اللَّهِ عَلَيْهِ يَقَعُ فِي أَيْدِيكُمْ أَوْفَرَ مَا كَانَ لَحْمًا وَكُلُّ بَعْرَةٍ أَوْ رَوْثَةٍ عَلَفٌ لِدَوَابِّكُمْ ‏"‏ ‏.‏ فَقَالَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم ‏"‏ فَلاَ تَسْتَنْجُوا بِهِمَا فَإِنَّهُمَا زَادُ إِخْوَانِكُمْ مِنَ الْجِنِّ ‏"‏ ‏.‏ قَالَ أَبُو عِيسَى هَذَا حَدِيثٌ حَسَنٌ صَحِيحٌ ‏.‏
Grade: Sahih (Darussalam)
English reference : Vol. 5, Book 44, Hadith 3258Arabic reference : Book 47, Hadith 3567

Mtu kama huyu mipovu inakutoka kumtetea.
Are serious Abduls?
 
Usisahau John 4:16.
wanaipenda hiyo kuwa nitawaletea msaidizi. eti msaidizi ni Mudy muzung!
Swali, Kwanini Yesu aseme nitamleta msaidizi halafu huyo msaidizi anakuja kuwa na cheo kikubwa kuliko aliyemleta?( Kisilamu silamu - Yesu ni Nabii wa kawaida tu)
line hiyo tu ndiyo sahihi kwao, na ndiyo haijawa corrupted kwenye Bible. Ukisoma 4:1-15 na 17- 18 na kuendelea hawataki. maana huko hiyo mistari inawakamua ngama live.
Kwa uelewa wa kawaida Nabii anaweza mtuma /mchagua mtume? watakwambia hapana. Then Who is Jesus? just a normal guy.

Unajua Shida yao kuu, Bwana Kiongozi alikua hajasoma shule yoyote.
 
ni mapambo tu Ktk nyumba ya ibada! hata wewe unaweza ukapewa tenda kuichora!
Kati ya hizo picha mbili ipi utanipa tenda ya kuichora , inayofanana na Yesu huko kanisani kwenu ?ahahhahaahaahahaaaahhaahahaaahahahahaajaajajja
 
Kwa Mujibu wa Imani Yangu Yesu ni Mungu kamili [emoji117] View attachment 895542 na ni Mwanadamu Kamili [emoji117] View attachment 895546 [emoji123] [emoji123] Uwezo wa Kuwa Kama Hivyo Anao [emoji109] [emoji109] Nashangaa sanàã mtu anabishia [emoji12] kwani huyo ni mungu wako [emoji350] [emoji344] kama mungu wako uwezo huo hana kivyako, usitupigie kelele na kuona kijiba cha roho kwa sababu mungu wako hawezi na Mungu wangu Anaweza [emoji4] na kwa Mujibu wa Imani yangu Asie Amini kwamba [emoji117] HAKUNA MUNGU APASWAYE KUABUDiWA KWA HAQI ILA YESU NA PROF PAULO NI MTUME WAKE ni KAFIR [emoji53] HAIJALISHI anajiita mtume, mungu, malaika, jeen, ima ni mwanadamu ni kafir tu, ni kafir kafiiii...[emoji117] View attachment 895614 makafir, makaafir [emoji53]
Katika maelezo yako hakuna kauli ya Yesu hata moja hapa , hao ni watu ambao wanamsemea Yesu mambo ambayo katu ajawahi kuyasema haya msikilize Yesu alikuwa na mdomo na alifundisha kweupe
MATAYO 10:24
" Mwanafunzi hampiti mwalimu wake, wala mtumwa hampiti bwana wake"

sasa mwalimu kafundisha kitu gani wewe na wenzako mnafundisha nini? haya msikilize mwalimu Yesu kiswahili laini katumia
YOHANA 20:17
"Yesu akawaambia , usinishike ; kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba, lakini enenda kwa ndugu zangu ukawaambie,Ninapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu"

Tena Mungu gani hata siku ya mwisho haijui Ahahahahahahaa hatar sana
MARKO 13:32
"Walakini habari ya siku ile na saa ile hakuna aijuaye,hata malaika walio mbinguni, wala MWANA, ila Baba"
 
hapa hatulazimishani kula au kotokula nyama ya nguruwe [emoji12] wewe unayeona mungu wako kakuzuiakula basi kivyako usile na Mimi nilie shindwa kutoa ushahidi kwamba Mungu kapiga ban nyama ya nguruwe zaidi ya Wayahu nakula kwa raha zangu [emoji39] lazima tukubaliane kutokubaliana [emoji106] sio kila leo unarudia hoja hiyo hiyo kama azana [emoji15] [emoji53][emoji12] kama huna hoja nyingine jidunge ndoba usepe dogo [emoji15] [emoji12]
Huitaji kutoa ushahidi kijana unatakiwa UTII tu ahahhahaahaahhhahhhhahahajjaajjaja
Mambo ya walawi 11:8
"Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao; hao ni najisi kwenu";

ahahhahahhhahahajajjjajaj hapo hakuna longo longo tekeleza amri wacha uroho
 
hujui lugha imani ya Wafuasi wa Yesu [emoji12] funga bakuli lako [emoji53]
Yesu kazaliwa Israeli nchi ambayo hapo mwanzo Mungu wako aliwaua wenyeji wa maeneo hayo ili adhulumu nchi yao ahahahaahahhhahaaahahahahahahahaha hapo vip au Yule Mungu wa Musa haumtaki
 
Kwahiyo ndo maana Allah aka Muhammad akasema kuwa hata ufanye meema vipi maamuzi ya kuingia Mbinguni ni ya Allah?
Kijana za kuambiwa changanya na zako aahhahhhhahhahaahahaahhaajjaj kila mtu atalipwa kwa MATENDO yake wala hutodhulumiwa hii ndio kanuni
QURAN 40:40
"Mwenye kutenda uovu hatalipwa ila sawa na huo uovu wake, na anaye tenda wema,akiwa mwanamume au mwanamke , naye ni muumini , basi hao wataingia peponi, waruzukiwe humo bila ya hesabu"

ahahhahahhhahahajajjjaja ndio kanuni hiyo sawa kabisa na hii hapa msikilize Bwana sasa
YEREMIA 17:10
"Mimi ,Bwana , nauchunguza moyo , navijaribu viuno, hata kumpa kila mtu kiasi cha NJIA ZAKE, kiasi cha MATUNDA ya MATENDO yake"
 
Na

Na kama jambo hilo ni uongo basi kila kilicjoandikwa humo ni uongo mtakatifu.wametudanganya sana na mavitabu yao.
wacha malalamiko leta hoja mezani, unajua maana ya kuhadithia jambo , kama Nyerere alioa mkenya ni kosa kusema ameoa mganda , vinginevyo unahadithia habari za mtu mwengine na sio Nyerere , sasa unashangaa vip kwa Dhul Qarnaini ndio aliliona kwa upeo wake wa macho yake , sio Mungu ndio aliliona , rejea maandiko wacha blah blah
 
.
Jeremiah 17:9-10
[9] MOYO huwa mdanganyifu kuliko vitu vyote, una ugonjwa wa kufisha; nani awezaye kuujua?
[10]. Mimi, BWANA, nauchunguza MOYO, navijaribu viuno, hata kumpa kila mtu kiasi cha njia zake, kiasi cha matunda ya matendo yake.

NAYE YESU ANASEMA;

John 15:4-5
[4]. Kaeni ndani yangu, nami ndani yenu. Kama vile tawi lisivyoweza kuzaa peke yake, lisipokaa ndani ya mzabibu; kadhalika nanyi, msipokaa NDANI YANGU.

[5]. Mimi ni mzabibu; ninyi ni matawi, akaaye ndani yangu nami ndani yake, huyo huzaa sana; maana PASIPO MIMI ninyi hamwezi kufanya neno lo lote.
Ahahhhahhaahaahhahhaa kukaa ndani maana yake nini , mafunzo yake uyashike na uyatii , kama unafanya maovu wala hautende mema utakaaje kwa Yesu? bado unarudi pale pale kila mtu atalipwa kwa ATENDALO
YEREMIA 17:10
" mimi ,Bwana , nauchunguza moyo, navijaribu viuno , hata kumpa kila mtu kiasi cha njia zake ,KIASI CHA MATUNDA YA MATENDO YAKE";

ahahahahhahaahahahha matunda yanategemea MATENDO , halafu matendo ndio yatatoa tafsiri wewe ni mtu wa aina gani hili mbona liko wazi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom